Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
Wama staafu liniNipo nasubiri Midekoo na Swahili AI waastaafu kuposti picha kwenye Uzi wa warembo worldwide ili nichukue nafasi
Wama staafu liniNipo nasubiri Midekoo na Swahili AI waastaafu kuposti picha kwenye Uzi wa warembo worldwide ili nichukue nafasi
Kazini mkuu. Nyumbani siwezi nunua pweza hakuna mpishiHongera mkeo anajua kukorofisha
Midekoo unaulizwa huku unastaafu lini au unataka uzeekee madarakaniWama staafu lini
Si hata wewe unaweza kupika mkuuKazini mkuu. Nyumbani siwezi nunua pweza hakuna mpishi
Dah! Wana mnakula vizuri si unipasie hiko mate yamenitoka
Hujafunga sita au kwaresma?Dah! Wana mnakula vizuri si unipasie hiko mate yamenitoka
BILA SHAKA MKUU.Hongera umejipata kuwa na mke raha unajipigia kila siku
Tar 9 April Dodoma ndugu yangu!
Safi sana mkuu,BILA SHAKA MKUU.
Hongera umekula vizuriMboga ya majani ya maboga, dagaa wale huwa wanauzwa tayari Wana viungo ,juice ya parachichi pembeni 😅
Dar unaacha Dodoma ndo unaniambia? We ni wa kudabua makofi na huyo ngozi nyeupe wako. Nyote hamfai! 😡😡😡Tar 9 April Dodoma ndugu yangu!
Usijesema sijakwambia,😅
Sikukuu bado haijaisha😁😁
😅😅😅Kukupa taarifa muhimu so unajua inakua live!?Dar unaacha Dodoma ndo unaniambia? We ni wa kudabua makofi na huyo ngozi nyeupe wako. Nyote hamfai! 😡😡😡
AsanteHongera umekula vizuri
We jibaraguze tu!😅😅😅Kukupa taarifa muhimu so unajua inakua live!?
Tv,redio ,you tube huna kisingizio..
Ngozi nyeupe yupi Tena jmn😚🤷
Asante nimeshashiba hadi tumbo linataka kupasuka hapa😁pole my Binti Sayuni03 wangu. kula kitimox rost yenye limao/ndimu/pilipili kwa wingi mamaa, km vp njoo apa kino chap mama la mama usiteseke.