kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
- Thread starter
- #41
Fanya ule mkuu kula lazimaLong pass
Fanya ule mkuu kula lazimaLong pass
BukokobaHakika, zile ndizi ulizopika juzi ni ndizi gani?
Chakula changu pendwaUgali dagaa
Hizi sipendi ladha yako napendaga kutumia mshaleBukokoba
Uwiii nile basi na wakati nimekula nimemalizaMabinti bhana....!
Naona unazitafuta zile message za "Kula bebiii, utapata vidonda vya Tumbo"
Sawa mkuu.....chakula chochote kitakachopostiwa JF nitakuita ufanye assessmentNaona ipo vzr kabisa
Heee huyu ndiyo mpishi wa JF 😁😁Sawa mkuu.....chakula chochote kitakachopostiwa JF nitakuita ufanye assessment
Mshale pia mzuriHizi sipendi ladha yako napendaga kutumia mshale
Safi sana. Kumbe unajua kupika namna hii. KinatamanishaSijisikii hamu ya kula kabisa sijui ninaumwa au vipi, mchana nikaamua nijaribu hiiView attachment 3291137
Hakika mkuuMshale pia mzuri
Sawa mkuu.....chakula chochote kitakachopostiwa JF nitakuita ufanye assessm
Sijapika mkuu nimekula hapa somewhereSafi sana. Kumbe unajua kupika namna hii. Kinatamanisha
Da. Basi sileti tena posa. Kumbe hujui kupika bali unazunguka kula kwa watu!Sijapika mkuu nimekula hapa somewhere
Mkeo hajapika leo😁😁Hata kunikaribisha hutaki
SawaKula lazima mkuu
Hiyo tamu sana hongera