Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,848
- 37,548
๐ ๐ ๐ ๐We jibaraguze tu!
Anyway, ukitaka ushauri kuhusu hao ngozi nyeupe nawafahamu vizuri sana hivyo usisite! ๐๐๐
Duh nimecheka
๐ ๐ ๐ ๐We jibaraguze tu!
Anyway, ukitaka ushauri kuhusu hao ngozi nyeupe nawafahamu vizuri sana hivyo usisite! ๐๐๐
Njoo PM fasta๐ ๐ ๐ ๐
Duh nimecheka
AHSant sana vipi wewe lini unaolewa.Safi sana mkuu,
Nakula kwanza ujanaAHSant sana vipi wewe lini unaolewa.
Madon wapi kawaida tu mkuuHuu mtaa wa madon kabisa
Leo kama mbwai na iwe mbwai, mpaka kiza kineneAngalia zisikupeleke peleke hizo
Shauri yako, kumbuka ukilewa usichatLeo kama mbwai na iwe mbwai, mpaka kiza kinene
Kuchati na watoto wazuri muhimu, we unafikiri tunawaingizaje kingi bila overconfidenceShauri yako, kumbuka ukilewa usichat
Sijapika mimi mkuu ni hapa Bar jiraniUmepika wewe ? Hongera sana kwa pishi,,, mboga za majani pia nimependa,,,! Jitahidi kupunguza mafuta kiasi, sawa kabinti ?
Safi sana bila shaka umeenjoyMaziwa fresh na matunda
Ukilewa unaweza ukachat ndivyo sivyo sasaKuchati na watoto wazuri muhimu, we unafikiri tunawaingizaje kingi bila overconfidence
Hahaha jioni itabidi na mi nikuige hiyo menyuMadon wapi kawaida tu mkuu
Utakuwa umetisha sana mkuuHahaha jioni itabidi na mi nikuige hiyo menyu
Sawa,,, umeshushia walau na flying fish ya baridi ili siku iwe Murua?Sijapika mimi mkuu ni hapa Bar jirani
Nalewa kila siku, ni mwendo wa appointments tuUkilewa unaweza ukachat ndivyo sivyo sasa
Hongera yako kwahiyo kila siku unazichapa tu?Nalewa kila siku, ni mwendo wa appointments tu
Hapana nimeshushia juisi ya matunda mimi siyo mpenzi sana wa pombeSawa,,, umeshushia walau na flying fish ya baridi ili siku iwe Murua?