Huyo ndo chef wa hii forum....kwa picha tu amejua kiwango Cha chumvi kwenye chakula chakoHeee huyu ndiyo mpishi wa JF 😁😁
Mke wangu anashinda home Mimi kaziniMkeo hajapika leo😁😁
Huwezi kuamini lakini ugali nyama pekee sipendi kabisa. Labda uweke na mboga za majani.
Kila mtu na sekta yake wengine wapo kwenye sekta ya mizagamuano ila we ya kwako ndiyo hiyoAcha zako bhna 😂
Njoo nitakuwekeaHuwezi kuamini lakini ugali nyama pekee sipendi kabisa. Labda uweke na mboga za majani.
Na wewe ipi 😂Kila mtu na sekta yake wengine wapo kwenye sekta ya mizagamuano ila we ya kwako ndiyo hiyo
Hongera umejipata kuwa na mke raha unajipigia kila sikuMke wangu anashinda home Mimi kazini
Asante sana. Nitakuja maana nina njaa ya mambo mengi.Njoo nitakuwekea
Kulike na kucomment🤣Na wewe ipi 😂
Huu mkono wa mtu au Sokwe?
Mke gani hapo wakati ni kwa mama ntilie! Huoni kijiko hicho?Hongera mkeo anajua kukorofisha
Angalia zisikupeleke peleke hizoMchana sijala kitu zaidi ya kunywa View attachment 3291194
Nilikuwa sijaangalia vizuriMke gani hapo wakati ni kwa mama ntilie! Huoni kijiko hicho?
Kwend tafut jimboKulike na kucomment🤣
Nipo nasubiri Midekoo na Swahili AI waastaafu kuposti picha kwenye Uzi wa warembo worldwide ili nichukue nafasiKwend tafut jimbo