kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
- Thread starter
- #141
Hiyo siijui mimiK 😋😋
Hiyo siijui mimiK 😋😋
Jmn pm ya mashart hivi tutafika kweli braza🤣🤣Njoo PM fasta
Iko wazi nusu saa tu kwa ajili yako 😂
Tango ni tunda siyo chakula...Tango
Eid ulikuwa wapi?Tango ni tunda siyo chakula...
Nyumbani...Eid ulikuwa wapi?
Umekula na nani?
Na kwanini?
Sawa,usiku mwema mkuuNyumbani...
Mungu wangu...
Sababu yeye yu mwema...
Hahaha muone kwanza ushanuna...Sawa,usiku mwema mkuu
Hongera bhana ila mapito ndiyo hufunza kitu.👍Hahaha muone kwanza ushanuna...
Wewe ulikua wapi...Hongera bhana ila mapito ndiyo hufunza kitu.👍
UmeolewaSijisikii hamu ya kula kabisa sijui ninaumwa au vipi, mchana nikaamua nijaribu hiiView attachment 3291137
👍Wewe ulikua wapi...
Umekula na nani?
Kwa nini?
Umefanya nini?
Jibu kabla hujalala...
Jumatatu naanza mitihani,naomba haya mambo yanipite kwanza... Asante SJibu kabla hujalala...
Pasaka inakuja utakula jeuri yako...Jumatatu naanza mitihani,naomba haya mambo yanipite kwanza... Asante S
Wow! nimekumiss upo wapi mbona kimyaLunch nimekula samaki makange na ugali
Mimi piaWow! nimekumiss upo wapi mbona kimya
It's nice leo nimeona hata comment yakoMimi pia
Ubize mwingi mpaka nakosa muda wa kuingia jf kabisa