Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,120
- 2,317
Tikitiki
Hongera mkeo anajua kukorofisha
Kabisa kwanza nyama ina mafuta mpaka rahaMwachiluwi amepatia kupika kweli???
Asante sana mkuuUwe na afya njema kiongozi
Sijisikii hamu ya kula kabisa sijui ninaumwa au vipi, mchana nikaamua nijaribu hiiView attachment 3291137
Nimeonja chumvi kama haijakolea...vip we mkuu unaionaje chumviKabisa kwanza nyama ina mafuta mpaka raha
Mpishi wa hii sehemu anajitahidiKabisa kwanza nyama ina mafuta mpaka raha
Hongera yako mkuuUgali kwa chainizi, sipendelei ugali wa maharage japo yalikuwepo
Awww umeenjoy sana mkuuNguna moja heavy na nyama choma pamoja na mnafu
Utakuwa umetisha sanaNaenda kujaribu kupika kama hivi leo 😍
Naona ipo vzr kabisaNimeonja chumvi kama haijakolea...vip we mkuu unaionaje chumvi
Mbona kama mzima huyu😁😁😁
Anawza piaMpishi wa hii sehemu anajitahidi
Long passSijisikii hamu ya kula kabisa sijui ninaumwa au vipi, mchana nikaamua nijaribu hiiView attachment 3291137
Kula lazima mkuuMnapata wapi mda wa kula lunch
Hakika, zile ndizi ulizopika juzi ni ndizi gani?Anawza pia