G. Activist
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 482
- 125
Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo,ametoa ripoti na kusema Jairo anarudishwa kazini kuanzia kesho.

UPDATES:

Luhanjo anasema tuhuma zilikuwa za uwongo

Anasema taasisi za Wizara hazizidi 7 na si zaidi ya 20 kama ilivyodaiwa

Taasisi nne tu ndizo zilizochangia na zilichanga karibu TZS 500mil na si zaidi ya 1bil kama ilivyodaiwa

Pesa zilichangwa ili kuwawezesha watendaji watakaoenda kwenye bunge la bajeti

REA walichangia 50mil

TANESCO walichangia 40mil

EWURA waliombwa 40mil lkn hawakutoa, walichangia gharama za chakula na malazi kwa watendaji wa Wizara

Idara ya Uhasibu ya Wizara ilitoa 150mil

Idara ya mipango ya Wizara ilitoa 278mil

More updates to follow

Sasa huyu mzee Luhanjo ana maana gani kusema tuhuma zilikua za uongo kama amekubali kwamba kuna kiasi cha pesa ambazo zilichangwa?!? Au ndio kusema kwamba huo utaratibu ni sawa? Mbona Ngeleja alisema kwamba watendaji wa mashirika yaliyo chini ya wizara huwa wana bajeti zao (nje ya michango wa Jairo) za kuwezeshwa pindi wanapokuja bungeni?!

Afu nimemsikia huyu mzee akisema kuwa utaratibu huo ni wa kawaida katika wizara, hivi huyu si ndio wale wanaodai nchi yetu ni masikini?! Sasa kwa utaratibu huo kweli wa watendaji wa wizara kuhalalishwa kutumia milioni 500 kwa kipindi kisichozidi mwezi, kweli usemi wao wa nchi ni masikini unakua na uhalali?!?!

Hapa bila kushikishana adabu kwakweli tutaendelea kuwa mazoba wakuburuzwa na kupelekeshwa mpaka kiama!!

5,ataumbua wengi tunaizima ili afiche mambo pole kwetu wapenda nchii {watanzagiza}.
CAG alikuwa anachunguza kukusanywa kwa izo bil moja au kuwepo kwa tuhuma za rushwa au uwepo wa barua ya kuomba mlungula wa kupitisha bajeti.
Manake Luhanjo anasema hana hatia na anasema watachunguza nani kaitoa iyo barua!
Naona apa wanataka kumtisha mama shelukindo sijui?
Na akaongezea ati Jairo anaweza fungua kesi ya defarmation
Kwa upeo wangu mdogo nilidhani watachunguza uwepo wa iyo barua na matumizi ya izo ela so far!
mkuu kweli inashangaza sana juu ya aina ya uchunguzi ulioendeshwa. anasema idara zilizotoa hela c zile zilizotajwa awali hali kadhalika kiasi cha pesa. so was it legal/proper kuchangisha fedha hizo?waliotoa walizitoa wapi? matumizi hayo ni sawa? (kuhonga/kulainisha) baadhi ya wabunge? What i see here c suala la utawala wa sheria bali ni kulindana,, ukisema Jairo alifanya hatia linaibuka swali alifanya kwa muongozo wa nani na ndo kuumbuka/kuanguka kwa serikali ya ccm iliyojaa magumashi

Jairo ana kosailakosa lae limekuwa hlalai sabebu linafanyika across ministry. Imekukuwa nitabia.

Uliza hata wabunge wa CDM,CUF na NCCR kama zaidi ya posho zao halali je hawajapokea bahasha za "mawasaliano" za wizara mbali mbali. Sijawataja wabungewa CCM sababu hao ni obvius walishazoea

Yaani ukitaka kichwa kisukuume ni kwamba elewa huu ni ufisadi amabo umeshakuwa utaratibu wa kawaida unaokubalika na hata kwa vyamavya upinzani.

Maana nyingine ni kuwa hakuna finacial discpline na vik ao vya bajeti ni kupoteza muda na usaniii tu wa kuwadanganya wananchi. kwa nini nasemahivi

Kama bajeti imepitishwa pesa zikatumike idara fulani kwa nini tena wizara iombe ipewe pesa na idara ile ile zitumike kwa "mawasiliano" Nini maana ya kuwa na vitengo vya mipango na bajeti katika wizara? Kumbe inawezekanakwenye bajeti wabunge wanasowa kiasi fulani cha fungu la bajeti kinapelekwa TANROADS kumbe wajanja wanajua bajeti ikipta TANROADS wataagizwa pesa zile zije zifanye mawasialino ya wbunge