Hivi kumbe una uwezo wa kufikiri...hongera kwa kuliona hili na wewe....
kwa kifupi lazima audit procedure zimepindishwa,lakini serikali haiaminiki kwa namna ilivyo conclude,ni kama walipania kuwaumbua waliotuhumu bila kupima raia wanatarajia nini!
Vyombo vya usalama vipo?
Hivi kumbe una uwezo wa kufikiri...hongera kwa kuliona hili na wewe....
Udini umetumika hapo hawa jamaa wote ni Wakirstu wanasali Kanisa moja. Luhanjo hawezi kumuangusha Mkristu mwenzake Njairo
Never rest in peace coz i need u, hao Majairo achana nao<font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">am resting in peace now now.......please say its a joke.....</span></font></font>