Hivi kumbe una uwezo wa kufikiri...hongera kwa kuliona hili na wewe....Hii serikali inatupeleka wapi sasa. Mtu ambaye ametuhumiwa kwa uwazi kabisa anarudishwaje tena kazini. It beats me!
Hii serikali inatupeleka wapi sasa. Mtu ambaye ametuhumiwa kwa uwazi kabisa anarudishwaje tena kazini. It beats me!
Kumbe hata wewe Kuwadi wa Mafisadi inaanza kukuuma! Hii ndio Tanzania ya Mkweree. Na bado utayaona mengi. Fumbua macho!Hii serikali inatupeleka wapi sasa. Mtu ambaye ametuhumiwa kwa uwazi kabisa anarudishwaje tena kazini. It beats me!
am resting in peace now now.......please say its a joke.....
Unafikiri ni mjinga sana ni uchizi tu wa kujifanya.Hivi kumbe una uwezo wa kufikiri...hongera kwa kuliona hili na wewe....
Preta ndo maana sijagi huku maana unaweza haribu keyboard kwa hasira ukijua unapigana na Luhamjo
bora niende zangu kwenye thread yangu ya Ileje kule......khaaa.......kweli nahitaji fresh air......
Unbelievable! Mwita25, aren't you cutting the tree branch you are sitting on?!!!Hii serikali inatupeleka wapi sasa. Mtu ambaye ametuhumiwa kwa uwazi kabisa anarudishwaje tena kazini. It beats me!
Sasa source wako nani??? Na kwanini unaongea issue sensitive namna hiyo kwa ufupi kiasi hicho bila details? Yaani umeniharibia siku yangu leo mara mbili, kwanza kwa kuandika jambo zito kwa ufupi sana, pili kama ni ukweli basi siku yangu leo ndo imekuwa mbaya zaidi!