Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

Hii serikali inatupeleka wapi sasa. Mtu ambaye ametuhumiwa kwa uwazi kabisa anarudishwaje tena kazini. It beats me!
Mura Mwita25 kumbe mara moja moja huwa unakuwa na akili timamu. Kama ulikuwa hujafahamu, Rushwa na Ufisadi ndizo sera za chama chetu na serikali yake.
 
mi nashangaa wabunge wanakazania watunge sheria maalum kwa waunza unga kuliko sheria za mafisadi. THIS IS MORE THAN WAUNZA UNGA!
 
well.. I know I was right on this one. Shelukindo na wenzake hawakuwa na mkakati wa kweli wa kumlipua Jairo it was just the same theatrics of political triangulation. This one was easy.

Katika hili I beg to differ with you. Kwa ufahamu wangu mdogo alichafany Jairo ni kutoa maelekezo kwa walioko chini yake kuvuruga bajeti iliyopitishwa na bunge la 2010/11 kwa kila idara kunyofoa Milioni 50 ili zikztumike kinyume na bunge lilivyopitisha.

Hivyo ni kosa kubwa alilotenda, hizo blah blah wanazotuleta Utoh na Luhanjo san sana zinamshushia hadhi Utoh kwa kuwa tayari Luhanjo ameshakuwa katika black list ya ufisadi. All in all wamefany vizuri kushindwa kutosana kwa kuwa sasa watasubiri hukumu ya umma 2014 na 2015.
 
Siku zote msema kweli ndio anaonekana mbaya...but kaza buti we toa maneno ya ukweli yasiwe na lugha chafu mkuu...duu hi serikali yetu ni ya kupelekwa tuu kama wajinga...
 
Kama taarifa hii ni kweli najiamini zaidi kwa kuwa siku Mh Pinda alivyokuwa anatoa cheche nilijua ni mkwara tu na anacheza na akili za wabunge na watz kwa ujumla.

I can even believe kuwa hata kumpigia JK hakumpigia, atakuwa alimpa taarifa tu kuwa kuna ka ishu nshakasolve kiutu uzima,he knew how to play with the emotions of mps and watz kwa ujumla...huu ni USANII ULIOJE??

Kweli JK anatawala.
 
katika hili I beg to differ with you. Kwa ufahamu wangu mdogo alichafany Jairo ni kutoa maelekezo kwa walioko chini yake kuvuruga bajeti iliyopitishwa na bunge la 2010/11 kwa kila idara kunyofoa Milioni 50 ili zikztumike kinyume na bunge lilivyopitisha. Hivyo ni kosa kubwa alilotenda. Hizo blah blah wanazotuleta Utoh na Luhanjo san sana zinamshushia hadhi Utoh kwa kuwa tayari Luhanjo ameshakuwa katika black list ya ufisadi. All in all wamefany vizuri kushindwa kutosana kwa kuwa sasa watasubiri hukumu ya umma 2014 na 2015.

Thats was the allegation lakini ilitokana hasa na kutwist maneno yaliyokuwa kwenye ile barua; niliwauliza watu hapa hayo maneno ambayo kila mtu alikuwa anayasema yako kwenye barua yako wapi watu hawakuonesha. Kama wa kumlaumu katika hili ni Shelukindo.
 
pinda amebaki ameinama....wamesema huwa anatumia ten second decision.....na ndio maana alikurupuka siku ile bungeni kusema angekuwa ni yeye alimteua jairo angemtimua..........
 
Heshima Halisi.

Hii maneno ni kweli au umeamua kutupandisha presha.Kuna kila dalili bunge letu ni kama jibwa zee lililokosa meno linabweka hovyo ili mweye[wapiga kura] kulipatia chakula afikiri bado mbwa wake ana faida.

Hivi hawa wakubwa uchwara wakifanya dhambi kubwa kiasi gani ndiyo uadhibiwa ?.Nimechoka nadhani nikiendelea zaidi naweza pata ugonjwa wa moyo bure labda mnihakikishie Cardiocologist anakuwa karibu yangu.

Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo,ametoa ripoti na kusema Jairo anarudishwa kazini kuanzia kesho
 
Kwa habari zilizofika hivi punde kupitia ITV na Radio One kuwa katibu mkuu wa Nishatı na madını amerejeshwa kazını baada ya uçhunguzı kufanyıka
 
source yako ni nini kaka maana habari nyeti kama hii haitakiwi kuwa ina hang hang tu.
 
pinda amebaki ameinama....wamesema huwa anatumia ten second decision .....na ndio maana alikurupuka siku ile bungeni kusema angekuwa ni yeye alimteua jairo angemtimua..........
Pinda hakukurupuka mkuu,he knew what he was doing.alikuwa anacheza na saikolojia ya wabunge na watz kwa ujumla...
 
Thats was the allegation lakini ilitokana hasa na kutwist maneno yaliyokuwa kwenye ile barua; niliwauliza watu hapa hayo maneno ambayo kila mtu alikuwa anayasema yako kwenye barua yako wapi watu hawakuonesha. Kama wa kumlaumu katika hili ni Shelukindo.


shelukindo alisoma ile barua wala hakuongeza lolote katika ile barua...kwa kifupi ni kwamba serikali hii wanabebana na wala kwa hili mkuu usipindishe maneno na kumtupia lawama shelukindo.....
 
.....na hakuna maelezo zaidi sio?
 
<br />
<br />
Pinda hakukurupuka mkuu,he knew what he was doing.alikuwa anacheza na saikolojia ya wabunge na watz kwa ujumla...


hilo neno ''ten second decision'' alilisema katbu mkuu kiongozi dhid ya pinda
 
Pamoja na kwamba zilikuwa tuhuma, natamani kusoma hiyo ripoti kwa urefu.
 
Back
Top Bottom