kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,898
Mtela, unapoteza heshima yako na ya vijana wenzio hapa Tanzania! nadhani hata hao CCM si muda mrefu watakuchoka na kukutupa jalalani. Panga mikakati yenye manufaa kisiasa kwako na kwa taifa, acha kupanga mikakati ya hila kama hii. Wewe bado ni kijana utachokwa sio muda mrefu.
yaani kuongea ukweli kunampotezea heshima mtu? wewe kweli Box