Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

mbona slaa na mbowe hawajitokezi kujibu hizi tuhuma, jamani ama ndo tuseme wameamua kukubali yaishe.

toka siku ile tarehe 14 machi 2013 slaa alipotoka povu mdomoni kueleza uongo wake dhidi ya vyombo vya dola lakini mwishoni akakiri maelezo ya lwakatare kwenye ile clip naona hawana hoja za kutueleza tena. Maana jamaa aliwaita waandishi wa habari akawaeleza pumba na kutoa nyaraka feki tena waliandaa wenyewe lakini akataka kuwaaminisha watu kuwa zimetoka nje ya cdm
 
Fact ipi ya nani kamkana nani ni fact ndio maana nyie na mwenyekiti wenu wa CCM mumekosa maono utasikia mwenyekiti wa CCM ana simama kutukana serikali ya CCM ambayo raisi wake ni Kikwete ,utasikia mabilioni yameibwa na serikali ya kikwete eti wanamuasa aache duh hata walimu wa propaganda hawapo

huku ni kutapa tapa mkuu, CCM hapa inaingiaje? tusimame katika ukweli.
 
Kwa hiyo kazi yako ni kutetea mapandikizi ya Usalama wa taifa ndani ya CHADEMA. Wote nyie, wewe, shoza, Deus Mally na wengine mulikuwa mapandikizi na mnaspecial task ambazo mumeshindwa. CHADEMA ndio mkombozi wetu hamna aibu hata kidogo. Mtatueleza tuu kwani tunawajua.
 
Chadema na viongozi wake mjitaidi kuwasaidia na kuwakumbuka wanachama wenu. Huo usaliti utawafanya msiaminike mbele ya jamii na taifa kiujumla!
 
toka siku ile tarehe 14 machi 2013 slaa alipotoka povu mdomoni kueleza uongo wake dhidi ya vyombo vya dola lakini mwishoni akakiri maelezo ya lwakatare kwenye ile clip naona hawana hoja za kutueleza tena. Maana jamaa aliwaita waandishi wa habari akawaeleza pumba na kutoa nyaraka feki tena waliandaa wenyewe lakini akataka kuwaaminisha watu kuwa zimetoka nje ya cdm
Wanasheria wamewatwanga ngumi ya uso DPP,maprosecutor,na ajuza CCM,na mwenyekiti jakaya kikwete ,leo mahakama imeonyesha kwamba povu la Dr Slaa lilikuwa la kweli,leteni kesi nyingine tunawapa za uso vile vile Dr Slaa atakuja na povu lingine DPP,maprosecutor,wanasheria waserikali,ajuza CCM,na mwenyekiti mtambo wa CCM jakaya kikwete tena watakuwa chali ,ngoma ndio imeenza umma wa watanzania wanapiga za uso tuu ajuza CCM na mwenyekiti wao wanalowa kaa wamejikojolea
 
Wewe ni sawasawa na pira linalotumika katika tendo la ndoa, likimaliza kazi yake linatupwa chooni. Hadi sasa pira hili halina msisimuko wala marashi ya banana, straberry! Ni harufu tupu humu ndani!.
 
Naomba uwabainishie Umma wa wanaJF kuwa lipi katika niliyoyaandika hapo juu si sahihi kuhusiana na DEUS na kukanwa kwake na watu hao. Na kwa bahati nzuri hatukuwa tunafanya mazungumzo ya mdomo pekee, ninazo meseji za simu na hata kauli za Mallya kwenye inbox yangu ya facebook yanaeleza haya niliyoyaeleza hapa.

Naomba kabla haujachelewa na kuonekana ni miongoni mwa wenye ukame wa fikra, njoo hata kwa kutunga uongo wako ubainishe ni kipi si sahihi ama ni uongo katika hayo niliyoyaandika.
Yes ndugu Mtela Mwampamba, naomba unijibu maswali mawili tu ambayo kwangu nayaona ya msingi sana...
INAWEZEKANA ULIVYOVISEMA VYOTE NI VYA KWELI, TOKA PART ONE NA HII PART TWO YA SASA....KWA NINI HUKUYASEMA HAYO YOTE UKIWA NDANI YA CDM? ULISHAWAHI KUMUULIZA YEYOTE (Mnyika, Slaa n.k) UNAYEDAI AMEMKANA MTU JUU YA KUKANA HUKO? If NO, they WHY? If YED wlisema nini?
 
Chadema na viongozi wake mjitaidi kuwasaidia na kuwakumbuka wanachama wenu. Huo usaliti utawafanya msiaminike mbele ya jamii na taifa kiujumla!

Wanachama wa kuchongwa na ajuza CCM wabaki huko wasaidiwe na kibabu Kikwete mwenyekiti wa CCM mbona hawasemei viwavi vyake anavyovipandikiza vikipanguliwa bila huruma
 
Mtela, unapoteza heshima yako na ya vijana wenzio hapa Tanzania! nadhani hata hao CCM si muda mrefu watakuchoka na kukutupa jalalani. Panga mikakati yenye manufaa kisiasa kwako na kwa taifa, acha kupanga mikakati ya hila kama hii. Wewe bado ni kijana utachokwa sio muda mrefu.
Unatakiwa utuonyeshe wapi kaongea uongo sio povu linakutoka tatizo la watanzania badala ya kujadili hoja mnamjadili mtu
 
CCM iwe makini na huyu mtu kwa kutomshirikisha siri za chama la sivyo atakuja kuzimwanga CHAUMMA 2017. Huyu siye mwanaume kamili ila suruali. Nawatahadharisha na mabinti, ukiwa na mchumba kama huyu jamaa, siku mkiaachana basi utakuta picha zako kwenye mtandao au magazeti ya udaku. Hufaai kuaminiwa kabisa. Mambo mengi hayasemwi na wanaume hadharani kama unavyofanya. Usifikiri CCM wanawaona wa maana sana zaidi munapopayukapuka majukwaani na mwezio Shonza, katu hawatawaamini kabisa katika uongozi wake.

umesema kweli mkuu! Huyu ni wa kiume! Na ninaamini kuna tofauti kati ya wakiume na mwanaume Mtela Mwampamba we ni wakiume tu!
 
Last edited by a moderator:
Samahani ndg Mtela Mwampamba, hivi katika hoja hoja uliyoileta ni wapi ambapo Ludovick ameoneshwa kusalitiwa, lakini pia yeye amekosea kitu gani hadi uandike kuwa ana/mesalitiwa? Lakini pia kwa kuwa ulikuwa ni sehemu ya uongozi wa CHADEMA, ulichukua jukumu gani kukomesha 'usaliti' huo,iwapo muda wote huo uliyanyamazia tu matukio hayo.
BTW;Labda kwa kuwa sijaiona sehemu ya kwanza, ngoja niitafute kwanza labda ina mengi yanayoweza kueleweka.
 
Naomba uwabainishie Umma wa wanaJF kuwa lipi katika niliyoyaandika hapo juu si sahihi kuhusiana na DEUS na kukanwa kwake na watu hao. Na kwa bahati nzuri hatukuwa tunafanya mazungumzo ya mdomo pekee, ninazo meseji za simu na hata kauli za Mallya kwenye inbox yangu ya facebook yanaeleza haya niliyoyaeleza hapa.

Naomba kabla haujachelewa na kuonekana ni miongoni mwa wenye ukame wa fikra, njoo hata kwa kutunga uongo wako ubainishe ni kipi si sahihi ama ni uongo katika hayo niliyoyaandika.

Kwa jinsia yako tabia ya kuzungumza mambo ya watu tutakufikiria tofauti. Wenyewe hawajalalamika iweje mburula wewe uwazungumzie?.
 
Sasa wewe binadamu tukuweke kwenye kundi gani?.Ulipo kuwa CHADEMA uliiona ni kama malaika huku ukiimwagia sifa kedekede kana kwamba hakuna chama kizuri duniani kama Chadema.wakati huohuo kila usimamapo jukwaani ulikuwa shujaa wa kuinenea Ccm kila lililo baya na kuifanya Ccm kionekana kuwa ndiyo chama pekee kibaya dunia.Leo hii umegeuka hata bila ya kuyakanusha yale uliyokuwa unayasema majukwaani.Umeanza kukinenea kila aina ya ubaya kile chama ulicho kiona kama malaika na sasa kile chama ulicho kuwa umekifanya kama jalala la kila aina ya uchafu kimegeuka kuwa lulu kwako.
 
U're a lier,foolish lier uso na haya wala kujitambua kwa kufikiria tumbo lako lisona shukran.Nyonyonyo nyonyonyo,nyonyonyo nyonyonyo.
 
Mkuu, nimekusoma lakini unapotosha kwa makusudi mwanzo mwisho, hakuna ukweli. Hata kama unapiga proganda kwa niaba ya ya ccm hii imezidi. Na hii haitawasaidia ccm 2015.

mkuu achana naye, kashamaliza kufua boksaaa za Nape pale Lumumba
 
U're a lier,foolish lier uso na haya wala kujitambua kwa kufikiria tumbo lako lisona shukran.Nyonyonyo nyonyonyo,nyonyonyo nyonyonyo.
 
Wahusika hawasemi lolote.ni yeye tu ndiyo anaweweseka.kwanini asitumie muda wake mwingi kukiimalisha chama alichohamia?.Yaani pamoja na digrii yake anaitumia kuendeleza siasa za majungu? atakomaa lini kisiasa.kwanini asiizungumzie chadema na udhaifu wake, na badala yake anazungumzia watu binafsi.Na huko alikoenda kwa mdomo huo alionao sijui amepokelewa na kundi gani, nahisi amepokelwa na kundi linaloondoka madarakani.aendelee kukalia kuti kavu kwa kuwa hajui 2015 atavuna nini ndani ya chama hiki kikongwe
Ni lini Deus Mallya au Ludovick wamesema kuwa wamesalitiwa na CHADEMA? Huyu mleta uzi ni msemaji wa nani?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom