Kijana, kuwa makini. Katika harakati zako za kukifanya chama kilichokutimua uongozi kionekane hakifai usoni mwa jamii unaweza kuishia kujiingiza kwenye matatizo ya kisheria. Sina hakika ya uelewa wako wa sheria lakini nadhani unakoelekea si kuzuri.
Unajaribu kujenga picha kuwa ulikuwa mtu muhimu sana ndani ya Chadema. Sidhani kama wangetimua laiti ungekuwa na umuhimu huo unaojiaminisha. Lakini inabidi uonyeshe una umuhimu ili CCM waendelee kukutumia hadi expiry date yako itapofika.
Mtatumika sana kipindi hiki lakini ni muhimu kuzingatia mambo haya mawili:
1. Historia inaonyesha kuwa CCM ina tabia ya kuwatumia wapinzani waliosaliti vyama vyao in similar way na matumizi ya condom yalivyo: muhimu kabla na wakati wa tendo la ndoa,but uchafu usiostahimilika baada ya tendo. Mtatumika kama condoms muda huu kwa vile angalau mnaonekana mna umuhimu japo wa kufikirika.You'll them get dumped after having been used&abused as political prostitutes.
2. Mnatumikia political conmen: Nape na Mwigulu ni matapeli wa kisiasa.Ni wahuni ambao mahala pekee wanapoweza kupewa dhima ya uongozi ni pale tu siasa za majitaka+ufisadi ni itikadi ya chama/nchi. Lakini wahuni hawa wawili si "wenye CCM" as such. Hawa ni kama waajiriwa tu,na mwisho wao ni 2015. CCM mliojiunga nayo ipo katika civil war kubwa kati ya wanaowania kumrithi Kikwete in 2 yrs' time.Kwa baadhi ya walio ktk vita hiyo,wapinzani wao ndani ya CCM wana umuhimu mkubwa kuangamizwa kuliko Chadema. To make things even worse for you guys, Nape na Mwigulu sio key players ktk harakati hizo za ndani kwa ndani ya CCM kumrithi Kikwete.
Finally, you're just cowards. And as Tupac said, "A COWARD DIES A THOUSAND DEATHS, a soldier dies but once."