Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

Wakati ninakuwa wazazi wangu walinifundisha penda kusikia zaidi na kusema kidogo, ndani ya machache kuna hekima zaidi kuliko maneno mengi, Mtela tumekusikia ila kuwa makini kuna siku utakuwa peke yako unatetea ushahidi wako. Mimi ni mwanachama hai wa Chadema na hakuna mtu anayenijua hapo makao makuu, na ni mpenzi wa chadema zaidi ya miaka kumi sasa, na haya unayoyaona wewe sasa ni mapito ya kawaida sana katika chama chochote cha siasa. Karume alipo uwawa usidhani watu walikaa kimywa walisema, Kolimba ndugu yangu alipo uwawa siyo kuwa tulikaa kimywa tuliumia, lakini CCM bado ipo na wale ndugu zangu anakotoka Kolimba hawaambiliki juu ya CCM hata baada ya Kolimba kufa, jua CHADEMA ipo na haitakufa, fanya lolote kaka na hata ukaloge CHADEMA haitakufa. Ukidhani unaongea point leo tutaonana 2015 Vwawa, mimi nitakusikia.

Umetumwa na chama chako kuomba msamaha kwa MWAMPAMBA nini? mkuu ukumbuke Mwampamba anawafungua watanzania waelewe kinachoendelea ndani ya vyama vyetu vya siasa, hana lengo na sidhani ana uwezo kukiua CHADEMA lakini ukweli ni kwamba kupitia post zake watanzania watakuwa wamejifunza na hata wanapokurupuka kuvishabikia vyama hivi wajue wakabisa ni majanga na havina nia njema kwa msatakabali wa taifa letu ambalo amani yake mwasisi wake ni CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Nitasema kama nilivyokutangulia kusema hapo awali juu ya hatma ya vijana ndani ya chadema, na leo nitasema hivi;IKIWA HII MITI MIBICHI INATENDEWA HIVI., JE NINYI MITI MIKAVU MTATENDEWA VIPI..? ambao hata makao makuu ya Chama hamyajui wala hakuna anayewajua zaidi ya kuwatumia kwenye maandamano na mikakati yao.

Ungeyasema haya ukiwa CDM walau ungeonekana mvulana. Lakini sasa hivi unaonelana kama mwanamke aliyeachika kwa umalaya, na sasa anaropoka kilabuni kwa mahawara zake kuwa mume wake alikuwa na kibamia ili aongezewe lita ya komoni...

Mtela, bila shaka ofa ya trip za mikutano ya CCM imeisha na umetakiwa kutoa matusi mengine ili uzawadiwe trip nyingine... Hebu tuona lakini, maana naona kama hizi single zako za jana na leo ni laini sana, na sina uhakika kama zitamkosha Mwigulu...
 
Mkuu mwampamba;
kwanza: Heshima yako
pili: Hivi haya mambo unayoyaleta muda huu au wakati huu ulikuwa wapi kuyaweka hadharani kabla hayajatokea haya ya sasa?

Tatu: Je tukitaka kuamini kwamba labda ni mipango yenu kuileta muda huu halafu muitumie kueneza propaganda zenu tutakuwa tumekosea?

Nne: Kama mwigulu mchemba alidai kuwa ana video inayoonesha kuwa chadema wanapanga mipango ya kigaidi wewe kama kada ulichukua hatua gani ndani ya chadema ukiwa kama mwanachama usiyependa usaliti?

Tano: Je kama umetumwa uyaseme haya unayoyasema au ni dhamira yako wewe mwenyewe sisi vijana tutakuamini vipi maana naona kama na wewe ni msaliti pia ungeweza kuyasolve haya kabla hayajatokea.

Nb: Mzambia si mwanachama wa chama chochote cha siasa bali ni kijana mwadilifu kwa nchi yake
 
Nimeamini adui mwombee njaa

Unachofanya ww hapa ni nini? Hivi CDM haijawahi kukuweka mjini wewe??

Anyway, mwageni ugali na mboga tupate info za kuchuja 2015.

Ama kweli "Maskini akikosa ------ hulia mbwata"
 
Wahenga husema jihadhari na anayekuambia habari za watu manake na zako pia anawaambia hao watu..

Mkuu Mtela Mwampamba mimi naona unazidi kujiaibisha tu..kiongozi wako yeyote wa CCM hawezi kukushirikisha kwenye jambo lolote lenye usiri kwa sababu unadhihirisha hapa kuwa 'huna kifua' cha kuyahifadhi..

Labda nikuulize tu, kama umekimbilia CCM sasa hivi, ni lipi ambalo ulikuwa ukilipinga CCM lakini sasa hivi limerekebishwa hata kukufanya uone kunafaa sasa hivi? Kila nikisoma mabandiko yako humu unazidi kunionesha kama unayetapatapa hivi, kama vile bado unaumia kwa kuondolewa kwenye chama. Jifunze siasa mkuu..ungeweza kupitia hii transition period vizuri na CCM wakakupa walau ukuu wa wilaya...
 
Last edited by a moderator:
Mtela Mwampamba,

Jana nilikwambia wazi ya kwamba, unatafuta laana na hata saa 24 hazijaisha, inaanza kujidhihiri kuwa umepata laana. Utahaha na kuhangaika sana; wewe na wenzako lakini fahamu kuwa chuki yako kwa CHADEMA na viongozi wake waandamizi isikufanye ukawatukana watu na kuwazulia uongo kila uchao.


Ulikuwa wa kwanza kuongea maneno ya kashfa juu ya WL; wewe na Shonza. Haya sasa amefutiwa mashtaka ambayo ulikuwa unayashadadia. Tuone sasa atapewa mashtaka yapi mengine. Kila siku husali kwa MUNGU anipe maisha marefu nishuhudie mabalaa makubwa makubwa yanayokutokea kutokana na kulaaniwa na watanzania. Na hakika, MUNGU hutenda kwa haki. Time Will Tell.
 
Maji taka na wivu wa kike,ushakula talaka tatu CDM endelea ku2mika kwa bwn ako mpya,kabla ya kukata pumzi ya mwisho kisiasa ndipo uje nikupe shule ya kata maeneo ya Laela pale ufundishe na kulima mahnd.
Akili zilizo ingia kutu hizi, kweke CDM ni kama mungu ( haikosei )
 
Go to hell! Siamini kama kweli una akili pevu katika duru za siasa; kwa umri wako na elimu yako kukitetea ccm unajidhalilisha. Bora ungejiunga chama chochote cha upinzani uwe salama kuliko uzushi unaofanya sasa. Ya Mungu mengi 2015 chochote chaweza kutokea halafu utaabika
 
Mtela Mwampamba... Kusema kweli haijalishi kama haya ni kweli ama ni uongo. Inachojalisha ni kuwa wewe ndiye umeyatoa, baada ya kuwa mwana CCM baada ya kushindikana kuwa mwana CDM. Kwamba siku zote uliona sawa kumezea na sasa ndiyo wakati wa kuyaanika?

Kwa mwananchi yeyote atakae kuwa anatumia habari hizi ama Siasa za gutter politics zinazotumika kama kigezo pekee cha kuki judge Chadema atakuwa bado ni mchanga katika kutambua vigezo vya kuchagua chama na ni dalili ya kuwa ndiyo wale washabiki hata kura siku ya mwisho hapigi!

Hakuna Chama kisicho na madhaifu, kama ilivyo Chadema na madhaifu yake... Ila hii nguvu na devotion yenu juu ya Chadema na Viongozi wake inatupa walakini wa nia yenu huku ikitoa picha ya woga mkubwa mlio nao juu ya Chama na viongozi wa Chadema.

Kinachosikitisha zaidi ni kuwa inafanywa na vijana ambao wanawaza kuwa tegemezi katika taifa kwa kuwawakilisha wananchi ipasavyo badala ya kukesha kila siku kwa kuwaza namna ya uharibifu na uteketezi wa chama kingine! Punguzeni selfshness jamani... Mfikirie na m'Tanzania wa kawaida anaye hitaji ukombozi toka hali mbaya tuliopo sasa!

Napenda sana busara zako dada..
 
Nimeamini adui mwombee njaa

Unachofanya ww hapa ni nini? Hivi CDM haijawahi kukuweka mjini wewe??

Anyway, mwageni ugali na mboga tupate info za kuchuja 2015.

Hiyo tu kweli inaweza kumfanya mtu asiseme ukweli anaoujua? Mwacheni Mwampamba atupashe yale ambayo hatukuyajua.
 
Kesi hii ipo mahakamani,kama unaweza kuja huku na kuandika haya,ningekushauri ukawe shahidi,vinginevyo nakuomba uache kuchafua watu wengine.Porojo zimezidi na ujue unazungumzia maisha ya watu wasio na hatia.Kama unaugomvi nao binafsi ni vyema ukamalizana nao.
 
Kuna watu wakutumwa rafiki, siyo mimi. Kwa miaka niliyo ishi najua, huyo Mtela ni mtoto mdogo sana kwangu, sisi ndio tulio mpa jina hilo Vwawa, ila sasa tumekuja jua hana nidhamu. hafai kuwa kiongozi na hatakuja kuwa kiongozi wa kuchaguliwa labda ateuliwe na mabwana zake. Nakuambia hivyo nawe pia kama ni wa style hiyo ya Mtela huwezi shika madalaka makubwa.


Umetumwa na chama chako kuomba msamaha kwa MWAMPAMBA nini? mkuu ukumbuke Mwampamba anawafungua watanzania waelewe kinachoendelea ndani ya vyama vyetu vya siasa, hana lengo na sidhani ana uwezo kukiua CHADEMA lakini ukweli ni kwamba kupitia post zake watanzania watakuwa wamejifunza na hata wanapokurupuka kuvishabikia vyama hivi wajue wakabisa ni majanga na havina nia njema kwa msatakabali wa taifa letu ambalo amani yake mwasisi wake ni CHAMA CHA MAPINDUZI
 
hata wakati KARL MAX anaandika maandiko yake alionekana kichaaa na punguwani! leo machapisho yake yanaheshimika na kutambulika nchi nzima! hongera kijana ipo siku wananchi watakumbuka ulichokisema, si mara ya kwanza chadema kukana vijana wake!
 
Unataja watu kwa uangalifu mkubwa wewe siku zote ni sahihi ila wenye majina ya kutukuka na kuaminika na watu ndio unawataja lakini msaliti Zitto Kabwe mlezi na kiongozi wa masalia kwa post zenu wenyewe kama mlivyosema hatajwi popote
Inatuaminisha kwamba wewe mtera,Shonza na zitto muna mpango wa kuchafua viongozi wa chadema,na chadema yenyewe, unahitajika kwenda polisi kutoa ushahidi naonaje suruali unayovaa mwaka mzima bila kufua itakavyokuvuka
 
Mimi naona hoja za Mwampamba zina mashiko sana, na kwa wale vijana na watu wanaoona Mwampamba anatapata hapa wamelamba galasa. Mtela kabadirika sana kwa sasa anakuja na hoja za maana zinazoamsha fikra na mawazo ya vijana kujitambua. Kuna thread iliwahi kuletwa humu kwamba Mtela Mwampamba na Juliana Shonza ni watu hatari sana kwa ustawi wa Chadema watu watu wakachukulia mzaha.
at least wewe umeongea sense kuliko CDM wengine wote
 
Hivi huwa unalipwa?. Au nini hasa kinakusukuma?.

Sent using wireless by wire
 
hata wakati KARL MAX anaandika maandiko yake alionekana kichaaa na punguwani! leo machapisho yake yanaheshimika na kutambulika nchi nzima! hongera kijana ipo siku wananchi watakumbuka ulichokisema, si mara ya kwanza chadema kukana vijana wake!

Labda baba yake na mama yake diwani viti maalumu chadema pale mbozi asiyejua kusoma na kuandika mrs zero
 
maelezo marefu...lakini lengo lako ni kujaribu kumhusisha Deus na kifo cha Wangwe...unaposema deusi alipelekwa Urusi kwa mafunzo maalumu unamaanisha nini.??
 
Back
Top Bottom