Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

Tatizo lililopo wengi wetu tumelewa propaganda za CDM inafika wakati hata jambo la maslahi linapo kuja ambalo lina pingana /linaenda kinyume na CDC tunaliona halina maana namleta jambo hilo tunamuona kilaza.
 
hata wakati KARL MAX anaandika maandiko yake alionekana kichaaa na punguwani! leo machapisho yake yanaheshimika na kutambulika nchi nzima! hongera kijana ipo siku wananchi watakumbuka ulichokisema, si mara ya kwanza chadema kukana vijana wake!
mkuu nafikiri kuliko watu kukaa na kumjadili Mtela wasimame kidete kujadili hoja aliyo ileta.
ukweli kijana huwa anaongea point sana sijui kwann haya yanakuwa under estimated.
 
Mimi naona hoja za Mwampamba zina mashiko sana, na kwa wale vijana na watu wanaoona Mwampamba anatapata hapa wamelamba galasa. Mtela kabadirika sana kwa sasa anakuja na hoja za maana zinazoamsha fikra na mawazo ya vijana kujitambua. Kuna thread iliwahi kuletwa humu kwamba Mtela Mwampamba na Juliana Shonza ni watu hatari sana kwa ustawi wa Chadema watu watu wakachukulia mzaha.

Ni mtanzania asiyeelimika tuu ndiye atakayeweza kutetea ujinga tunaofanyiwa na viongozi tuliowakabidhi nchi yetu.Vinginevyo nitamsupprot yoyote ambaye ameweka Uzalendo kwanza.Na kwa kaka yangu Mtela nimekuondoa katika wale wanaoutetea utaifa wetu,upo kichama na kisiasa zaidi.
 
Go to hell! Siamini kama kweli una akili pevu katika duru za siasa; kwa umri wako na elimu yako kukitetea ccm unajidhalilisha. Bora ungejiunga chama chochote cha upinzani uwe salama kuliko uzushi unaofanya sasa. Ya Mungu mengi 2015 chochote chaweza kutokea halafu utaabika

Kwa hiyo anayoyasema ni ya kweli ita tatizo ni mahali anapoyasemea? Kweli CDM imewaathiri.
 
Umetumwa na chama chako kuomba msamaha kwa MWAMPAMBA nini? mkuu ukumbuke Mwampamba anawafungua watanzania waelewe kinachoendelea ndani ya vyama vyetu vya siasa, hana lengo na sidhani ana uwezo kukiua CHADEMA lakini ukweli ni kwamba kupitia post zake watanzania watakuwa wamejifunza na hata wanapokurupuka kuvishabikia vyama hivi wajue wakabisa ni majanga na havina nia njema kwa msatakabali wa taifa letu ambalo amani yake mwasisi wake ni CHAMA CHA MAPINDUZI
Mwampamba anajifungua mwenyewe zipu na kujitekenya yote aliyoposti hapa kama verified user na facebook yote tumeyaprint kwenye ushahidi manake ndani ya masaa 24 kalopoka habari zaidi ya alfu zote zikionekana hana akili hata moja ila ubongo wake umebunguliwa na mchwa manake anaunganisha hadithi zisizounganika Deus Mally alifungwa,Kikwete akampa msamha hata kabla ya kumaliza mwaka gerezani,hembu atuambia Deus -Ridhiwani na Kikwete na Othman wanamahusiano gani,kipi kilimfanya Kikwete atoe msamha ndani ya miezi mitatu ya Deusi kuwa gerezani wewe mtoto watakujaka kukuchomeka majiti bure
 
Siku ya leo sitopost chochote zaidi ya kusoma post zenu nyinyi wasaliti na kufwatilia inshu ya video fake mliyoitengeneza. Lakini najikuta navunja taratibu niliyo anzanayo,kwa kuamasika kukuuliza swali langu la uzushi kama ifuatavyo:eti nasikia mkakati wenu kuifuta ccm na kuanzisha chama kingine kitakacho tokana na muungano wa vyama kaza kikiwamo NCCR-Mageuzi,TLP,CUF,UDP,CHAUMA, nasikia dr.dr.dr.dr.dr.Baba kiziwi 1 akampatia ubunge wa kupewa bwana mbatia baada ya kukubaliana mapendekezo yenu?pia nasikia ndio maana nccr imeamua kuwarudisha kundini mlio watimua ili kujisafisha na kuhalalisha argument iliyo mezani? Tafadhari niweke wazi! Pia nasikia kunauwezekano mkubwa kama wa kuunganisha vyama utashindikana,nasikia mnaplan kuwanunua memba waliomo kwenye baadhi ya vyama vya upizani ili kuweza kuformulate new-political part? Niayo 2 ila ninamengi nahitaji ufafanuz,naomba tuanzie na aya kwanza.
 
kijana Mtela Mwampamba, kama utakuwa unatumika sio jambo jema kwako na itakuletea hatari huko mbeleni pale wanaokutumia wakifikia sehemu waka achieve walichokitaka au wakafail kukipata. Huenda wakataka 'kuondoa ushahidi'
 
Tatizo lenu ni kufikiri kuwa kila kijana au kila mtu anayejiunga/kushabikia CHADEMA ni anataka connection au kujuana na Makao makuu. Kwa kijana anaye jitambua atatekeleza na kufanya mapambano popote alipo na ni kwa manufaaa ya jamii yake inayomzunguka na Taifa kwa ujumla, na si kwa manufaa ya Makao makuu au kutaka kujuana au kuwa maarufu.
Vijana wengi wa JF wanao shabikia na kusupport CHADEMA, hawahitaji kumjua mtu yeyeyote makao makuu ili kuleta mabadiliko kwenye Taifa Ili.
Tatizo ni wachacha mlio tegemea Kula na Kulala makao makuu na hilo ndio linalowasumbua.
 
Ni mtanzania asiyeelimika tuu ndiye atakayeweza kutetea ujinga tunaofanyiwa na viongozi tuliowakabidhi nchi yetu.Vinginevyo nitamsupprot yoyote ambaye ameweka Uzalendo kwanza.Na kwa kaka yangu Mtela nimekuondoa katika wale wanaoutetea utaifa wetu,upo kichama na kisiasa zaidi.

uko tayari kumsupport yeyote mwenye uzalendo au yeyeote anakuwezesha kwenda chooni mkuu? MWAMPAMBA anastahili support zote jamani mbona anawaanika viongozi ambao kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakikingiwa kifua na MODS humu JF pale waliguswa kwa namna yoyote ile. Hongera kaka Mwampamba kwa kuweka jina lako halisi na sasa twapata ukweli.
 
Nadhani sio vizuri kukubeza kwa hoja yako, mnyika na Deus waje wajibu hoja hapa. Vinginevyo wataichafua chadema kwa kutoaminika.
 
Afadhali Mtela anaelezea facts tupu, CHADEMA wanakesha kwa majungu tu humu JF. Mwacheni kijana afunguke halafu tutamkaribisha SHONZA naye afunguke ili taifa liendelee kutawalika na amani yetu idumu.

haswaaa maana sisi wengine tulikuwa tunashindwa kusoma hata magazeti maana kila kurasa zilijaa uchochezi wa cdm kwa wananchi dhidi ya serikali yao.
 
UNAJIDHALILISHA BROTHER PIA UNAWADHALILISHA HATA WALE WALIMU WAKO WALIOKUFUNDISHA,
UNADHALILISHA KABILA LAKO NA WANAUKOO WAKO WOTE.
Ebu jaribu kuwa mtu mzima kidogo na uwe na staha mbele ya jamii ya Watanzania, wanaokandamizwa kwa kunyimwa haki zao kila uchao.
Ebu waonee huruma mama zetu wanaolala chini huko maospitalini wakisubiri kujifungua,wanaolazimishwa kujinunulia gloves, oxytocin, nyembe, uzi wa kufungia kitovu cha vichanga vyao, wanaolazimishwa hata kununua dawa.

Ebu waonee huruma wadogo zako waliojazana kwenye vyumba vinavyoitwa madarasa, bila kufundishwa, na hatimae kuambulia ZERO......SABABU YA CCM.
ACHA UNAFIKI KAKA!
 
Tatizo lenu ni kufikiri kuwa kila kijana au kila mtu anayejiunga/kushabikia CHADEMA ni anataka connection au kujuana na Makao makuu. Kwa kijana anaye jitambua atatekeleza na kufanya mapambano popote alipo na ni kwa manufaaa ya jamii yake inayomzunguka na Taifa kwa ujumla, na si kwa manufaa ya Makao makuu au kutaka kujuana au kuwa maarufu.
Vijana wengi wa JF wanao shabikia na kusupport CHADEMA, hawahitaji kumjua mtu yeyeyote makao makuu ili kuleta mabadiliko kwenye Taifa Ili.
Tatizo ni wachacha mlio tegemea Kula na Kulala makao makuu na hilo ndio linalowasumbua.

Hakika MWAMPAMBA ni kiboko yenu, mtajikuna sana ila ukweli ni kwamba vivyo vipele vimekaa pabaya hamtavifikia.
 
nadhani sio vizuri kukubeza kwa hoja yako, mnyika na deus waje wajibu hoja hapa. Vinginevyo wataichafua chadema kwa kutoaminika.

watakanusha nini wakati kilichoelezwa na mwampamba ni facts. Ndiyo maana tunasema kuwa ukitaka kuachana achaneni kwa heri maana mkiachana kwa kashfa ziri zenu zote zitakuwa hadharani.
 
Kwa hiyo anayoyasema ni ya kweli ita tatizo ni mahali anapoyasemea? Kweli CDM imewaathiri.
Ana kweli huyo aliyebeba kapu la lana tangu aanza kufanya kazi ya Nape tumbo ndio linazidi kuchana,Kikwete ndio ana zidi kuwa miserable anaongea na wananchi utafikiri analia hana hamu nchi imemshinda,Kinana yeye anazunguka dunia kwenda kutafuta viwanda vizuri vya kuchapisha karatasi,Mangula yeye sasa anapokea fedha za wachina wa bomba la mtwara,mara ooh Dowans wanalipwa fedha inaaingia kwenye kapu la CCM, lakini yote tisa kiboko chao kinakuja
 
Naomba uwabainishie Umma wa wanaJF kuwa lipi katika niliyoyaandika hapo juu si sahihi kuhusiana na DEUS na kukanwa kwake na watu hao. Na kwa bahati nzuri hatukuwa tunafanya mazungumzo ya mdomo pekee, ninazo meseji za simu na hata kauli za Mallya kwenye inbox yangu ya facebook yanaeleza haya niliyoyaeleza hapa.

Naomba kabla haujachelewa na kuonekana ni miongoni mwa wenye ukame wa fikra, njoo hata kwa kutunga uongo wako ubainishe ni kipi si sahihi ama ni uongo katika hayo niliyoyaandika.

Ni heri wenye ukame wa fikra,kuliko wenye fikra mgando kama zako,unayeota bila kulala na kujifariji kuwa
kwa maneno yako ya kuokoteza unaweza kuiua CDM au kuondoa imani ya watanzania waliyoiweka kwa
CHADEMA,its too late,kwa hali ilivyo sasa kuendea 2015,si wewe Mtela,si baba ako si yeyote unayemfikiria
anayeweza kuondoa imani hii na tumaini hili la watanzania kwa CHADEMA'
 
kama kweli wewe akili zako zinafanya kazi vizuri na pia kama ww ni mzalemndo na s mchumia tumbo, ulipaswa kuitoa taarifa hii kipindi kile kile ambacho suala la deus mallya lilikuwa mahakamani ili haki itendeke na wahusika wachukuliwe hatua stahiki.unachokifanya sasa kinaonyesha nmna ambavyo huna akili timamu na jinsi ambavyo hata ccm unaweza kuwatujkana kama tapatikana "bwana" mwingine atakayekupa mkate wa kushibisha tumbo lako.
 
Naomba uwabainishie Umma wa wanaJF kuwa lipi katika niliyoyaandika hapo juu si sahihi kuhusiana na DEUS na kukanwa kwake na watu hao. Na kwa bahati nzuri hatukuwa tunafanya mazungumzo ya mdomo pekee, ninazo meseji za simu na hata kauli za Mallya kwenye inbox yangu ya facebook yanaeleza haya niliyoyaeleza hapa.

Naomba kabla haujachelewa na kuonekana ni miongoni mwa wenye ukame wa fikra, njoo hata kwa kutunga uongo wako ubainishe ni kipi si sahihi ama ni uongo katika hayo niliyoyaandika.

CCM iwe makini na huyu mtu kwa kutomshirikisha siri za chama la sivyo atakuja kuzimwanga CHAUMMA 2017. Huyu siye mwanaume kamili ila suruali. Nawatahadharisha na mabinti, ukiwa na mchumba kama huyu jamaa, siku mkiaachana basi utakuta picha zako kwenye mtandao au magazeti ya udaku. Hufaai kuaminiwa kabisa. Mambo mengi hayasemwi na wanaume hadharani kama unavyofanya. Usifikiri CCM wanawaona wa maana sana zaidi munapopayukapuka majukwaani na mwezio Shonza, katu hawatawaamini kabisa katika uongozi wake.
 

unajidhalilisha brother pia unawadhalilisha hata wale walimu wako waliokufundisha,
unadhalilisha kabila lako na wanaukoo wako wote.
Ebu jaribu kuwa mtu mzima kidogo na uwe na staha mbele ya jamii ya watanzania, wanaokandamizwa kwa kunyimwa haki zao kila uchao.
Ebu waonee huruma mama zetu wanaolala chini huko maospitalini wakisubiri kujifungua,wanaolazimishwa kujinunulia gloves, oxytocin, nyembe, uzi wa kufungia kitovu cha vichanga vyao, wanaolazimishwa hata kununua dawa.

Ebu waonee huruma wadogo zako waliojazana kwenye vyumba vinavyoitwa madarasa, bila kufundishwa, na hatimae kuambulia zero......sababu ya ccm.
Acha unafiki kaka!

ukweli haufichiki hata kama unauma. Mwache kijana afunguke. Tutajua mengi kwa sisi tusiokuwemo humo ndani
 
Back
Top Bottom