Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,883
- 2,763
Naomba kuiamini taarifa hii. Manyerere Jakton hawezi kuongopa. Ishu ni kwamba nani kamkamata?
Jamani, mimi sibahatishi! Hapa nimeamua kupambana maana najua maisha yana mwisho. Hii habari ya kukamatwa kwake ni kweli kabisa. Watanzania tupambane tuhakikishe Tanzania inakuwa salama wa binadamu wote kuishi.
Naomba mods msingoje ifike 10 pages ndo muifungie, mimi napenda mtuhumiwa wa kweli akamatwe lakini cpendezwi na habari za kuungaunga kama hizi
Ludovick!
Daaa nasikia ni moderator wa mjengwa blog! Mungu ni mwema ukweli unaanza kuwa hadharani!
Ludovick!
itabidi na Manyerere sasa akamatwe maana na yeye ALIJUAJE??
CHAIN REACTION
Daaa nasikia ni moderator wa mjengwa blog! Mungu ni mwema ukweli unaanza kuwa hadharani!
ngoja nikanywe gongo yangu maana hata siwaelewi na siasa zenu maji tabu hela sina chakula sina bado manaleta maigizo yenu
itabidi na Manyerere sasa akamatwe maana na yeye ALIJUAJE??
CHAIN REACTION