VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Jamani, mimi sibahatishi! Hapa nimeamua kupambana maana najua maisha yana mwisho. Hii habari ya kukamatwa kwake ni kweli kabisa. Watanzania tupambane tuhakikishe Tanzania inakuwa salama wa binadamu wote kuishi.
Je ni yule anayetajwa kwenye clip ya Lwakatare?
Hahaa, huyu si ndio alikuwa antuhumiwa kurecord huo Mkanda?
Kwa hio inaonekana jina lake lilitajwa kimakosa kwenye ile recording ya Lwakatare? na kama lilitajwa kwa makusudi inawezekana Lwakatare kamtaja au?
Mungu mkubwa! Habari za uhakika nilizozipata dakika kadhaa zilizopita zinasema mtuhumiwa mkuu wa utekaji na utesaji wa Kibanda, Joseph Ludovick, amekamatwa punde tu mjini Iringa.
Hahaaa jambo usilolijua.....
vipi hana matatizo ya kichwa!Huyo mtuhumiwa ni raia wa Kenya kama kawaida?