Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

Naomba kuiamini taarifa hii. Manyerere Jakton hawezi kuongopa. Ishu ni kwamba nani kamkamata?
 
Jamani, mimi sibahatishi! Hapa nimeamua kupambana maana najua maisha yana mwisho. Hii habari ya kukamatwa kwake ni kweli kabisa. Watanzania tupambane tuhakikishe Tanzania inakuwa salama wa binadamu wote kuishi.

Manyerere heshima kwako mkuu, watu walipondea ulipoweka thread yako juu ya huyu mtu. Naamini umeisaidia polisi. JF MWANZO Na MWISHO!
 
Mkakati unaendelea , jiulizeni muunganiko wa hawa watu leo........
 
Wakiwakamata na kuwahoji basi wawe wanatueleza na nia za hao watuhumiwa.
 
itabidi na Manyerere sasa akamatwe maana na yeye ALIJUAJE??

CHAIN REACTION
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Daaa nasikia ni moderator wa mjengwa blog! Mungu ni mwema ukweli unaanza kuwa hadharani!

aibu ilioje, hakika Mungu hawafichi wanafiki...natetemeka Ninavyosoma mjengwa anahusika kwa namna yoyote ile
 
Hahaha hii itakuwa hadith kama ya yule askari aliyemuua Mwangosi, huyu Ludovick Joseph ametengenezwa ili amtaje Lwakatare kuwa ndie aliyemtuma!
 
Nimeangalia page yake Facebook ni rafiki wa Mwigulu Nchemba!,angalia profile yake huyu Joseph Ludovick!
 
kama amekamatwa mtuhumiwa serikali ya mtembezi j imeumbuka,Manyerere Jackton nakufahamu na ni jinsi gani umeumia zaidi yetu wengine kwa fani husika,naomba Mungu itende haki serikali,namkumbuka 'rais' wa ukweli alivotamka!Mungu awe nasi daima
 
Daaa nasikia ni moderator wa mjengwa blog! Mungu ni mwema ukweli unaanza kuwa hadharani!

Ni moderator wa Mjengwa? Mmm hiyo sasa kazi imeanza hata mjengwa anatakiwa kukamatwa! Awamu hii hakuna rangi wataacha ona!
 
Aliyekamatwa nadhan atalipwa donge nono ili akubali kukiangamiza CDM.
Mmemsahau Mkenya wa Ulimboka alivyokuwa akilazimishwa kuikubali kesi?
Sasa,tumuombe Mungu Kibanda awe mzalendo kwa hili.
 
Back
Top Bottom