Let's be serious on this please, please, please!!!!!!!!!!!!, ARE YOU SURE?Nimeangalia page yake Facebook ni rafiki wa Mwigulu Nchemba!,angalia profile yake huyu Joseph Ludovick!
Cwezi shangaa kuckia mtu kakamatwa na kusema "nilitumwa na mbowa na dr slaa" hao ndio watu wanaotafutwa kwa gharama yoyote
mkuu unataka kumaanisha Ludovick aligeukwa na aliotaka kuwauzia dili.?Ukifungua page ya Joseph Ludovick kwenye facebook anasema alitekwa na majambazi siku ya tukio la kupigwa Kibanda na majambazi ila hawakumpiga zaidi ya kumvua nguo na kuchukua vitu alivyokuwa navyo kama flash disk, laptop na pesa elfu 35. Inabidi tuconnect dots hapa. Kuna uwezekano flash disk na laptop ndo ali-save hiyo clip na recordings nyingine. Ishu inaweza kuwa kweli na kumbuka jamaa wangeipeleka polisi wasingepata hela hivyo kunauwezekano kuipeleka CCM ndo waliona jamaa watatoa hela.
Ukimsikiliza Dr slaa anasema walishapata habari kwamba kitu kama hicho kitatokea na walikuwa wanajiandaa jinsi ya kudeal nayo
Mimi CDM ila tuangalie mlolongo wa matukio hapo na hakuna lisilowezekana
Inawezekana Lwakatare alifanya kweli pengine kuwalizisha wakubwa, na theories nyingine tu hapo
Hivi unamfahamu Ludovic?. Usishangae kuona CHADEMA wanaikimbia hii thread. Hii imekaa vibaya kwa CHADEMA, fanya kwanza utafiti and then come back.aibu ilioje, hakika Mungu hawafichi wanafiki...natetemeka Ninavyosoma mjengwa anahusika kwa namna yoyote ile
Jamani, mimi sibahatishi! Hapa nimeamua kupambana maana najua maisha yana mwisho. Hii habari ya kukamatwa kwake ni kweli kabisa. Watanzania tupambane tuhakikishe Tanzania inakuwa salama wa binadamu wote kuishi.
mkuu kama Tusker zimeisha piga hata kisichana (konyagi) kidogo.Naomba CHAMAAAA! sthitaki POP CORN zenu!
Kaka ni kama tuna akili moja..Aliyekamatwa nadhan atalipwa donge nono ili akubali kukiangamiza CDM.
Mmemsahau Mkenya wa Ulimboka alivyokuwa akilazimishwa kuikubali kesi?
Sasa,tumuombe Mungu Kibanda awe mzalendo kwa hili.
Vipi akiwa CUF, Mungu anamficha?Naona CHADEMA wanashindwa ku comment kwenye huu uzi, wanasubiri mwongozo!
Toweni maoni yenu kulingana na Mtiririko wa taarifa mlizonazo.
Mungu hamfichi mnafiki, awe CCM au CHADEMA mwisho tutamjua tu.