embu elezea manake nini chadema inaweza kushikwa pabaya enzi hizi enzi za MACCM zilishaisha wamebaki kupopolewa mawe kuna mahali Raisi inabidi aombe ruhusa kwa wenyewe ndio akanyage ardhi ya hukoChadema wameshikwa abaya sana this time!
embu elezea manake nini chadema inaweza kushikwa pabaya enzi hizi enzi za MACCM zilishaisha wamebaki kupopolewa mawe kuna mahali Raisi inabidi aombe ruhusa kwa wenyewe ndio akanyage ardhi ya hukoChadema wameshikwa abaya sana this time!
mkuu napa huamini yaliyotokea! taratibu unang'amua kuwa mna kikundi cha mafia
Ccm ndo imeshikwa pabaya, wameshindwa politics wamekuja na style tofauti kabisa na siasa, nadhani walianza kuona dalili za wazi kwamba through jukwaa hawawezi kupambana na M4C so better wabadili tecnics, and yes why not, wana serikali, wana pesa nini cha kuwazuia?Chadema wameshikwa abaya sana this time!
mkuu napa huamini yaliyotokea! taratibu unang'amua kuwa mna kikundi cha mafia
SINEMA ZA KIHINDI.
unasikia "PUF!" kabla ya 'PUF!' yenyewe.
Mimi naitwa Joseph Rwezahura Ludovick Mulokozi .cheti cha ubatizo
kinanitambulisha kama Rwezahura Joseph,kile cha kuzaliwa kama joseph
Ludovick,cha shule ya msingi hadi form six nimejulikana kama Joseph
Ludovick,lakini Chuo kikuu na sasa kwenye vyeti vya degree UDSM
natambulika kama Ludovick Joseph.
Bali nilisoma falsafa kwenye chuo cha kanisa,wao walitaka niandike
majina ya ukoo,huko vyeti vinaonyesha naitwa Rwezahura Mulokozi
Ludovick.Haya kwenye kusajili line za simu na kadi za benk wakataka
majina matatu.huko najulikana kama Joseph Rwezahura Ludovick na benk
Joseph Ludovick Rwezahura.sijawahi kurudia darasa acha mbali kufeli
wakati wowote ule.sasa juzi hapa nimenyimwa hela western union kwa
sababu ya mkanganyiko huu.hivi kwa mkato mimi majina yangu yanapaswa
kuwa yapi?
Kumbe mtu mwenye CHIZI sasa hiyo STORY na kupokea HELA western union wapi na wapi?
mtu anapokutumia hela western union lazima awe anakujua!!!! isitoshe wakati wa kupeana maelezo ya siri kama
jina lililotumika lina makosa alitakiwa kumwambia mtumaji, Western union wanataka kitambulisho chenye picha na kinachokubarika,
no wonder hata video ya Lwekatare ina makosa kibao kama watu wenyewe ni hawa
umesahau kwamba huyu ni mhaya?.
Na hii imekaaje?Nimekumbana na hii article ya Absalom Kibanda na sijui huyu jamaa aliyekuwa CRITIC ambaye jina lake linafanana na aliyekamatwa ndiye yeye au?. His comment is further below after kibanda article.
22/11/2012Juma Mzuri
Na Absalom Kibanda
Kwa mara nyingine tena, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandika historia
mpya baada ya kufanya mabadiliko mazito katika safu yake ya uongozi wa
kitaifa.
Uzi wenyewe unapatikana hapahttps://groups.google.com/forum/m/#!topic/wanabidii/j0hGBGnCOEw
Wazungu wanasema Huku ndiyo kuunga dots kwa kuangalia mtazamo wake kwa Absolom Kibanda
Maana katika upelelezi hakuna kuacha kitu.Tukio la Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda, kutekwa, kupigwa, kungolewa meno, kukatwa kidole na kungolewa kucha limeanza kuhusishwa na mlengo wa kisiasa.
Taarifa kutoka sehemu mbalimbali zinahusisha tukio hilo na msimamo wa mwanahabari huyo katika siasa za kitaifa. Kibanda anahusishwa moja kwa moja kwenye mtandao wa Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa kuwa watakiwakilisha kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.
Wanaofuatilia siasa za kitaifa wanasema kwamba uamuzi wa Kibanda wa kuhama kutoka Kampuni ya Free Media, inayomilikiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe kwenda New Habari (2006) Ltd inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz, umelenga kwenda kuimarisha nguvu za Lowassa. Kwa miaka mingi, Lowassa anatajwa kuwa na urafiki wa karibu mno na Rostam. Wawili hao ndiyo waliokuwa vinara wa mtandao uliomwingiza madarakani Rais Jakaya Kikwete mwaka 2005.
Kwa upande wake, JAMHURI imezungumza na Lowassa kuhusu ukaribu wake na Kibanda, na kama kweli hiyo ndiyo sababu ya mwanahabari huyo kujeruhiwa.
Lowassa amesema kwa kifupi, Jamani, tuna ushahidi gani? Haya ni maisha ya mtu, hata wakubwa tusiwatuhumu hivyo, tuwe na ushahidi tukitaka kutoa tuhuma nzito kama hizi.
Kibanda wanamhusisha na kundi la [Edward] Lowassa. Wanaona Kibanda analipa nguvu kundi hilo kwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na baadhi ya watu ndani ya vyombo hivi wanadhani kuwa Kibanda ana-set (anatengeneza) mazingira ya Lowassa kuwa rais. Hii inawaogofya wenye nia mbaya, kilisema chanzo chetu. Mara kadhaa Kibanda ameweka wazi msimamo wake wa kumuunga mkono Lowassa, akisema anastahili kuwa rais wa Tanzania baada ya Kikwete.
Usiturushe roho mkuu km ni kweli Ebu weka uthibitisho hapa stejini tuuchakate
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Huyu Manyerere anatakiwa ahojiwe na police, hii wiki ikiisha hajafanyiwa hivyo nitaanza kupata mashaka ni hii series. Jamaa anaonekana mchezo wote anaujua ameamua kuwahi kuja kupima upepo tu hapa baada ya mambo kuwa magumu kaamua kuwawahi wenzake kama alivyofanya Ben na movie yao ya masalia.