Lucas Mwashambwa ni nani?

Lucas Mwashambwa ni nani?

Maadui wa taifa
1.ujinga
2.maradhi
3.umasikini
4.ccm
5.polisi
6.chawa
 
GTs,

Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
Kwanini umemtaja Kikwete kisha ukamruka JPM na kuhamia kwa Samia wakati hata kwa JPM watu aina ya Lucas walikuwepo tena kwa wingi zaidi nawe ukiwa mmoja wao?! Na kwanini umtaje Malaria Sugu na Faizal Fox na sio Lizaboni na Fox au na Sugu? Lucas Mwashambwa, huyu Chawa mwenzako anazunguka zunguka tu lakini anachotaka kufahamu ikiwa hilo Lucas ni geresha tu au nawe ni Mzee wa Makobasi na unampigania "wa dini yetu" kama ambavyo nae alikuwa anafanya kwa JPM?
 

Attachments

  • downloadfile-6.jpg
    downloadfile-6.jpg
    300.2 KB · Views: 12
Back
Top Bottom