lucas mwashambwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AI BRAINFULL

    JamiiForums Tanzania WanaJF mara moja moja muwe vaeni uhusika wa Lucas Mwashambwa na Tlatala

    Kuna siku nilijaribu kumtukuza mtukufu madam na taasisi yake humu JF Nilitaka kutupa simu na nilijiona kweli mimi sina uvumilivu tena hapo nilijiandaa Sipati picha hao jamaa wana mioyo gani hata kama wanalipwa na wamejificha
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa uzushi dhidi VC wa CHADEMA Mh John Heche hapa JF unaongozwa na chawa wa CCM wa4 wana: Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Troll J na Dr wa Manesi

    Hawakosi kuposti thread hata kumi kwa siku zote zikimshambulia.. Hawa chawa Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Dr wa Manesi, Retired, Troll J kwa mrengo wao na kujinasibu kwao hujitanabaisha kwa ujasiri na bila kificho kuwa ni wana CCM na watetezi wa Samia Suluhu Hassan wakiapa kuwa hata ikitokea...
  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ndugu lucas mwashambwa una maoni gani juu ya kauli ya "YUDA"

    Lucas Mwashambwa karibu.
  4. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa amedhihirisha haijui Tanzania

    Leo Lucas kaanzisha Thread anasema Mama amebadilisha maisha ya Watanzania Mimi nikamjibu kwa picha kumuonesha maisha ya Watanzania Sasa hizi ni picha za Mbeya, nimemwonesha akauona umasikini hadi akashangaa akaanza kusema ni picha za mitandaoni na sio picha halisi za Tanzania The fact...
  5. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kumuambia chochote Lucas mwashambwa

    Katika Uzi huu naomba sote kwa pamoja tumuambie neno ndugu yetu Lucas Mwashambwa .Linaweza kua neno la faraja au lakufedhehesha ila kwa kifupi ujumbe ufike kwa ndugu yetu huyu kulingana na vile utakavowiwa
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuhamasisha kutochangia chochote kwenye nyuzi za Lucas mwashambwa na Tlahtlaa

    Ndugu wana jf binafsi nimechoshwa na uchawa wa hayo mazimwi hapo juu nawaomba ili kutowapa airtime yoyote kama alivyoshauri comrade Mshana Jr nawaomba wakipost chochote kikaushieni msikoment Wala ku react Kwa namna yeyote ile hii itapelekea manyuzi yao kupotea na kujifia haraka na mwisho hata...
  7. Richard

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuunganisha doti kwamba Lucas Mwashambwa ni Abdul Halim Hafidh Ameir mwenyewe au mtu alie karibu nae kumsaidia kwenye PR.

    Bado nafanya uchambuzi wangu kumhusu huyu Lucas Mwashambwa khasa baada ya kuendelea kutoa mada zake mbili baada ya kuapishwa waziri mkuu Mwigulu Nchemba na baada ya hotuba ya raisi mteule aliepatiana kwa wizi wa kura Samia Hassan. Moja ya mada zake mbili za hivi karibuni ni hii ya leo alotoa...
  8. Nedago

    JamiiForums Tanzania Bila Rasilimali Tulizonazo,kwa Mifumo Ya Nchi Yetu,na Viongozi Wanaotuongoza Tungekuwa Nchi MASIKINI ZAIDI DUNIANI.

    Wakuu, Hebu Jaribu Kufikiria Kwa Tanzania Hii Iliyo Na Rasilimali Zote Tulizonazo Kama, -Madini Aina Zote&unique -Mbuga Za Zenye Wanyama Aina Zote. -Tuna Gas Mfano Helium Ziwa Rukwa Na Sea Natural Gas -Tuna Bandari Za Kutosha Na Tuko Na Geoposition Nzuri, - Population Nzuri Nk Check...
  9. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Maswali 10 kuhusu maandiko ya Lucas Mwashambwa na hoja zake

    Wana Jamiiforums huyu Member mwenye kuitwa Lucas Mwashambwa amekuwa na maandiko yenye ushabiki usio na hoja, unaokusudia kusifia kwa lugha ya mihemko badala ya kutathmini uhalisia wa utawala wa Rais Samia kwa hoja na takwimu. Nimetumia muda mwingi kufuatilia maandiko yako ambayo yamenipelekea...
  10. Setfree

    JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa ni mfano bora wa kuigwa!

    Hapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao ni Lucas Mwashambwa — mtu ambaye licha ya kupingwa vikali, kushambuliwa hoja zake, na kukosolewa...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi alioutoa Lucas Mwashambwa kuhusu Gwajima ulieleweka, hakuna haja ya kufungua nyuzi mpya kuhusu hilo

    Nashangaa kuna nyuzi nyingi sana kuhusu Gwajima wakati tulishakubaliana kuwa ufafanuzi alioutoa komredi Lucas Mwashambwa ndo msimamo wa JF kuhusu kauli za Gwajima?! Mods futeni nyuzi zinazojirudia wakati ufafanuzi ulishatolewa. soma huo ufafanuzi hapa; Haya ndio majibu na uchambuzi wangu mzito...
  12. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hapa Vwawa kwa akina Lucas Mwashambwa panachekesha sana

    1.Mijanaume na nguvu zao kabisa imevaa t-shirt za ccm. 2.saa 7 mchana wa jua kali mtu kavaa rain boots. 3.Chadema office zao zimefungwa nasikia ni mwezi wa nne huu sasa eti wameahindwa kulipa kodi ya pango ambayo ni elfu 15 kila mwezi 4.Maji ni changamoto 5.kuna lodge za hadi elfu 5 mpaka...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa karibu ujibu hoja za Gwajima. Ahadi ni deni

    Naona siku imeisha na bado Lucas Mwashambwa anafikiria namna ya kupangua hoja za Gwajima. Nitumie nafasi hii kumkumbusha kuwa Watanzania tuna kiu ya kusikia akizivunjilia mbali hoja za mchungaji Gwajima. Lucas ukisoma hili bandiko, haraka haraka njoo upangue nondo za Gwajima.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa et al, ebu nijibu swali hili, be honest!

    Suppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST 1. Lema 2. Mbowe 3. Boni Yai 4. Mnyika 5. Heche 6. Martin maranje masese 7. Brenda 8. Erythrocyte 9. Retired to mention but a few .
  15. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa ni nani?

    GTs, Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya kupuuza ushauri wa Lucas Mwashambwa itawatafuna sana CHADEMA.

    Kwa mnyukano unaoendelea ndani ya chama kinachoongozwa na adui wa demokrasia Tundu Lissu ni wazi kuwa laana mbalimbali za kupuuza ushauri uliwahi kutolewa na wabobezi wa siasa za nchi hii nikiwemo mimi, Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah zinawatafuna kwa sasa. Mwaka 2021 nilitahadharisha kuwa bado...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Bwana Lucas Mwashambwa kumbuka internet nayo inatunza ujinga na uongo

    Lucas Mwashambwa Shukuru sana utimize umri kama Wassira ili ukiwa unayapitia maelezo yako ushindwe kufuta labda ukapige bomu internet ilipotokea. Mada zako sasa ni lugha gongana haya tunauza nje kwa kununua umeme nje...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwana CCM Mwenzangu Lucas Mwashambwa naamini hata Wewe unakubaliana nami kuwa Umati wa Pangani sasa umekuja Wenyewe wala haujalazimishwa au kubebwa

    Hakika Watanzania wote wanampenda sana Mgeni rasmi Pangani Tanga na Chama chake pia hivyo aongoze na dunia. Cc: Lucas Mwashambwa
  19. Acehood

    JamiiForums Tanzania Bwana Lucas Mwashambwa akiongoza maandamano ya kububujikwa na machozi

    Baada ya uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kumalizika na ndugu TAL kuibuka na ushindi dhidi ya bilionea FAM, makada mbalimbali wa Chama cha mapinduzi walionyesha kutokuridhishwa na matokeo hayo. Kada Mojawapo akiwa ni Lucas Mwashambwa alionekana mitaa ya mlowo Mbozi...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Washauri wake Wakuu ni hawa Members wetu hapa Mwanafunzi wangu Lucas Mwashambwa na Mchovu ChoiceVariable mlitegemea Jipya Kwake jana?

    Na bahati nzuri 97% ya Wanafunzi wangu wote niliowafundisha kuanzia Mwezi August, 2010 hadi November 2013 hivi sasa Wanafanya vyema kabisa huko waliko na wengi wao huwa Wananishukuru mno kwa Madini Tukuka niliyokuwa nawapa lakini sijui kwanini huyu Lucas Mwashambwa hakuchukua Ujiniasi wangu ili...
Back
Top Bottom