Nazani kutoka mbozi itaka ndani uko songweNi mtu wa zanzibar anatumia jina la kanda ya ziwa km sikosei
Ujasusi wangu unasema ni mzanzibar
Hahahaha😂😂😂😂😂 ni pacha yake na johnthebaptistGTs,
Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
A.k.a semaji!!!? 🤣🤣🤣HUYU LUCAS MWASHAMBWA NI MTAALAM WA KUWAKERA WAPINZANI..PIA NI MSHINDANI WA KWELI.
Wote wanatumia akili mnemba🤣🤣Hahahaha😂😂😂😂😂 ni pacha yake na johnthebaptist
Wanasema wewe na yeye ni pipa na mfuniko wakeNi viti maalum huko Tunduma 😂
TawireNamfahamu huyu kijana vizuri.
Ni kimbelembele sana.
Yuko Dodoma, ni mtumishi wa umma, kada ya Record management, ofisi naiweka kapuni
Huyu ni mwana CCM mwenzio. Sema yeye kakuzidi Uchawa…..😂😂😂😂😂😂😂GTs,
Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
Kwenye undelined red utaweza jua ni mtu wa aina gani!GTs,
Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
Lucas ni pacha wa ChoiceVariable 😂Wanasema wewe na yeye ni pipa na mfuniko wake
Acha moshi dogo.Ni mke mtarajiwa wa Prince Abdul mtoto wa Malkia wa Kizimkazi, msimshangae kumsifia Mama Mkwe wake jamani.
Aisee mitandao ingelazimisha kuweka taarifa za ukweli za mtu huyu jamaa ningemshampiga risasiGTs,
Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
Vipi mahari imeshalipwa?Acha moshi dogo.