Lucas Mwashambwa ni nani?

Lucas Mwashambwa ni nani?

GTs,

Naomba kuuliza hivi Lucas Mwashambwa ni nani? Maana enzi zile za Dkt Kikwete Malaria Sugu tulihangaika naye sana ila akaja kupotea, akaja FaizaFoxy naye akasumbuaaa, sasa hili li mtu linaitwa Lucas Mwashambwa ni nani?
Ni ng'ombe mmoja aliyejikuta tu kwa bahati mbaya ameletwa hapa duniani akiwa na mfanano wa binadamu. Ila ukimfanyia tathmini ya akili yake, utagundua hana tofauti kabisa na huyu mnyama anayeitwa NG'OMBE. 🐄
 
Back
Top Bottom