KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,291
Muulize Maalimu Seif na serikali yke ya umoja wa kitaifa.
Itachukua Muda kwa CCM achilia Mbali Lowasa kusimamisha kasi na mkondo uliopo nyuma yake km kaamua kunyoosha mikono.Mapambano bado yanaendelea! Tuendelezi mapambano hadi kieleweke!
Wewe usijifariji kwa kauli za pale kamati kuu kama kwenu hakuna sintofahamu basi ww uko Msumbiji sio Tanzania
Baada ya kukatwa kwa Mzee wetu wingu zito limetanda miongoni mwa sisi wafuasi wake hasa kutokana na ukimya huu wa Mzee wetu.
Mzee Lowasa kumbuka siku tunaianza safari yetu pale arusha ule umati mkubwa wa watu,kumbuka pia wakati wakutafuta wadhamini ule utitiri wa watu uliokua nyuma yako.
Hakuna mkoa ulipita usitikisike kwa kishindo chako. Wakumbuke wadhamini elfu 87 tulio nyuma yako.
Mzee wangu naomba ututulize sisi wafuasi wako mana kuna sintofahamu kubwa ndani ya mioyo yetu. Kumbuka sisi ni wengi kuliko wale walioamua kwa utashi wao.
Kama ukiamua kusema chochote sisi tutafuata tu tuko tayari siku zote na muda wote.Asikudanganye mtu eti CCM haijapasuka njoo uku uone watu walivyosusa na kuchukizwa na walichokifanya.
Nakusihi mzee tutulize watu wako lasivyo unatuacha kwenye wakati mgumu.Fanya hima jembe langu nakutegemea sana.
#Lowasa watulize watu wako

Leo hii watu mwanza wamechana.kadi zao mbele yangu
To Hell ccm
Lowasaa - "Wakifunga mlango tutapita dirishani" hii mi ndiyo nasubiri
Mapambano bado yanaendelea! Tuendelezi mapambano hadi kieleweke!

Very powerful msg ...km kila dot itakuwa kweli..basi nilichoamini kwamba hata Lowasa hana uwezo wa kuwatuliza au kuwabadili njia wpenzi wake.! ! If i go follow me. If i stop push me. And if i quit kill me.
Huku wapi? Au watu wa team washaelewa?Kama ukiamua kusema chochote sisi tutafuata tu tuko tayari siku zote na muda wote. Asikudanganye mtu eti CCM haijapasuka njoo uku uone watu walivyosusa na kuchukizwa na walichokifanya.
#Lowasa watulize watu wako
itakusaidia nini?hao wana ccm wa lowasa wengi hawatapiga na wakipiga watapiga kinyume na ccm.Watu wangapi wamechana kadi mbele yako?
'Watu wa Mwanza' wamechana kadi...itakusaidia nini?hao wana ccm wa lowasa wengi hawatapiga na wakipiga watapiga kinyume na ccm.
B-w-e-g-e hebu nenda ku flush u-ji-n-g-a wako chooni.Baada ya kukatwa kwa Mzee wetu wingu zito limetanda miongoni mwa sisi wafuasi wake hasa kutokana na ukimya huu wa Mzee wetu.