yaser
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 1,361
- 299
wewe mbona hujatulia unaandika kama ffu wamekuunganishia
Hahaha dunia ina wehu hii dah....
wewe mbona hujatulia unaandika kama ffu wamekuunganishia
Baada ya kukatwa kwa Mzee wetu wingu zito limetanda miongoni mwa sisi wafuasi wake hasa kutokana na ukimya huu wa Mzee wetu.
Mzee Lowasa kumbuka siku tunaianza safari yetu pale arusha ule umati mkubwa wa watu,kumbuka pia wakati wakutafuta wadhamini ule utitiri wa watu uliokua nyuma yako.
Hakuna mkoa ulipita usitikisike kwa kishindo chako. Wakumbuke wadhamini elfu 87 tulio nyuma yako.
Mzee wangu naomba ututulize sisi wafuasi wako mana kuna sintofahamu kubwa ndani ya mioyo yetu. Kumbuka sisi ni wengi kuliko wale walioamua kwa utashi wao.
Kama ukiamua kusema chochote sisi tutafuata tu tuko tayari siku zote na muda wote.Asikudanganye mtu eti CCM haijapasuka njoo uku uone watu walivyosusa na kuchukizwa na walichokifanya.
Nakusihi mzee tutulize watu wako lasivyo unatuacha kwenye wakati mgumu.Fanya hima jembe langu nakutegemea sana.
#Lowasa watulize watu wako
Lowasa ana watu wengi sana wa jamii ya kimasai, hao wote ni wapiga kura wa wakubwa wa ccm miaka mingi leo kutopiga au kupiga kinyume na ccm si hadith nzuri.Lowasa pia na makundi makubwa sana ya vijana wa maofisini wanaopenda sana dili na kubebwa,na hao wengi ndio wa ccm.Lowasa pia ana watu wanaofuata mkumbo ktk ile ikoa ambayo ccm ni ina nguvu.Idadi haiwezi patikana kwa haraka kwani waliopandishwa bangi(morali) ni wengi sana ..sasa inategemea watatulizaje hizo bangi,au wataongezaje..hata huko mwanza si kwamba wana ccm ni wachache km ilivyo eneo zima la kanda ya ziwa.Ila upiga kura ulitegemea sana wagombea wenye kukubalika ktk upinzani na hivyo kuupa upinzani nguvu.Pia idadi itastabilize au kuruka juu kutegemea na jinsi Lowasa anatajibehave,pamoja na mienendo ya CCM.'Watu wa Mwanza' wamechana kadi...Mwanza ina watu wangapi?..wana CCM wangapi?...Kusema watu wamechana/wamerudisha kadi za CCM/CDM/CUF bila kuonesha idadi haina maana yoyote...Kuhusu 'kunisaidia nini' muulize huyo uliyejipa jukumu la kumjibia ni kwa nini alisema 'watu wa Mwanza wamechana kadi za CCM mbele yake'...
kwani mnamdai kitu?baada ya kukatwa kwa mzee wetu wingu zito limetanda miongoni mwa sisi wafuasi wake hasa kutokana na ukimya huu wa mzee wetu.
Mzee lowasa kumbuka siku tunaianza safari yetu pale arusha ule umati mkubwa wa watu,kumbuka pia wakati wakutafuta wadhamini ule utitiri wa watu uliokua nyuma yako.
Hakuna mkoa ulipita usitikisike kwa kishindo chako. Wakumbuke wadhamini elfu 87 tulio nyuma yako.
Mzee wangu naomba ututulize sisi wafuasi wako mana kuna sintofahamu kubwa ndani ya mioyo yetu. Kumbuka sisi ni wengi kuliko wale walioamua kwa utashi wao.
Kama ukiamua kusema chochote sisi tutafuata tu tuko tayari siku zote na muda wote.asikudanganye mtu eti ccm haijapasuka njoo uku uone watu walivyosusa na kuchukizwa na walichokifanya.
Nakusihi mzee tutulize watu wako lasivyo unatuacha kwenye wakati mgumu.fanya hima jembe langu nakutegemea sana.
#lowasa watulize watu wako