Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,317
- 33,814
lusungo nimekusikia mkuu, ahsante kwa ushauri elekezi naufuata.Mkuu Nguruvi3
Wanaojua mali za viongozi ni viongozi wenyewe na pia taasisi iliyokabidhiwa jukumu la kujua mali za viongozi.
Umuhimu upo ndiyo maana kwa sasa wabunge wa CHADEMA wanajikuta wanamshambulia Lowassa bila kufahamu kwa sababu hawafahamu mali zake.
Hata mimi sifahamu kama linafanywa kwa kulipa kisasi lakini ninachokiona ni kuwa nyumba zinabomolewa kwa sababu sheria imevunjwa.
Kufahamu ni kisasi au siyo kisasi ni vigumu sana kama kinachofanyika kiko kisheria.
Haya maswali siwezi kuyajibu kwa sababu sihusiki na masuala unayoyauliza.
Suala la Lugumi kuna Kamati Ndogo ya Bunge inafanya kazi nani matumaini yangu mwisho wa mwezi huu itakuja na majibu ya maswali yako.
Mambo ni kama haya