Lowassa watajie CHADEMA mali unazomiliki

Lowassa watajie CHADEMA mali unazomiliki

Hii ID zamani ilikuwa inatumiwa na kiongozi mkuu wa chama chenye mbunge mmoja bungeni kudhoofisha CHADEMA...
Sasa naona inatumiwa kimkakati either na mtu huyohuyo au imeuzwa CCM...
Inasemekana huyo kiongozi ni mole... aka snitch..

So mada kama hizi zitakuja sana na kushereheshwa na vilaza wa Lumumba waloingia JF mapema mwaka jana kwa mission maalumu...
 
Magu muongo sana:

Nitatoa salary slip yangu,wakuu nani ameiona?

Tutagawa sukari bure:jamani kuna mtu kapata walau nusu kilo?

Mmeshahoji?Au mzimu wenu lowassa unawakojoza usiku kucha!
 
You presented it as a partisan issue, so you cant claim impartiality katika hili. CCM ni chama kama ilivyo kwa Chadema.

The inference is quite clear. Lowassa doesn't exist in a Vacuum.

Likitamkwa jina la Lowassa hata ndani ya Kamati Kuu ya CCM, matumbo yanawasokota. Msingi wa hoja yako ni kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndugu Kikwete ameendelea kutoa tahadhari kwamba Lowassa bado ni Mwiba kwa CCM, na 2020 anaweza kuwapiga mweleka kama alivyowapiga mweleka 2015 mkaiba kura. Naomba nisaidie majibu kwa swali hili:

Kwanini Rais Magufuli hajatangazia CCM na umma kwa ujumla kuhusu mali zake?
Jaribu kutumia hata common sense unaposema likitamkwa jina la Lowassa eti matumbo ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM huwasokota. Lowassa yupi huyo unayemsema? Huyu ambaye kwa sasa hata kuongea dakika kumi ni majanga?

Lowassa huyu ambaye alikuwa anadekiwa barabara lakini jina lake likakatwa na kalamu ya shilingi mia sita halafu leo matumbo yawasokote? Hebu acha utani. Hili siyo jukwaa la utani na udaku.
 
Magu muongo sana:

Nitatoa salary slip yangu,wakuu nani ameiona?

Tutagawa sukari bure:jamani kuna mtu kapata walau nusu kilo?

Mmeshahoji?Au mzimu wenu lowassa unawakojoza usiku kucha!
 
Jaribu kutumia hata common sense unaposema likitamkwa jina la Lowassa eti matumbo ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM huwasokota. Lowassa yupi huyo unayemsema? Huyu ambaye kwa sasa hata kuongea dakika kumi ni majanga?

Lowassa ambaye alikuwa anadekiwa barabara lakini jina lake likakatwa na kalamu ya shilingi mia sita halafu leo matumbo yawasokote? Hebu acha utani. Hili siyo jukwaa la utani na udaku.
Udaku upo kwenye bandiko namba moja. Jibu swali, acha kujiuma uma:

Kwanini Magufuli hatangazii CCM na wananchi wa ujumla ana miliki mali gani???
 
Udaku upo kwenye bandiko namba moja. Jibu swali, acha kujiuma uma:

Kwanini Magufuli hatangazii CCM na wananchi wa ujumla ana miliki mali gani???
Nyie si wana mabadiliko mwambieni atangaze basi??au mnaongelea mabadiliko ya mikono tu
 
Swali la kujiuliza ni je, kama kuna dhamira ya kweli, kwanini Wabunge wa CCM wamepinga wazo la muswada wa kutenganisha biashara na siasa? Hapa ndio utajua jinsi gani CCM ni wanafiki. Kwani kwa biashara ya real estate kati ya Lukuvi na wafanyabiashara WAKUBWA WAKUBWA, na pia biashara za viongozi wengine wengi tu ngazi 'zooooote', wataathirika.

Mimi sipingi suala la viongozi kutangaza mali zao, nachopinga ni mchezo mchafu wa kisiasa wa CCM unaotumika kutenga walio wenzetu na wasio wenzetu. Basi. Njooni na objective approach, tutawaunga mkono.

cc MsemajiUkweli
Ndiyo maana tunasema hivi, tuache unafiki jamani.

Hayo yote yalijulikana miaka mingi, mbona serikali haikuwahi kuyafanyia kazi? Tukitaka kupiga hatua tuache unafiki. Kingunge alisemwa anamiliki Ubungo termina na kulikuwa na mauza uza, mbona hayo hatukuwahi kuyasikia na yalifunikwa wakati huo?

Mbona hatujaelezwa kamati iliyochunguza EPA iliyoundwa na mwanasheria mkuu, IGP na PCCB ilitupa matokeo gani?
Mbona tunaambiwa 'kujadili nyumba za serikali' ni tambiko?
Kama tunajua mashamba yaliyouzwa kwa njia haramu, kwanini nyumba za umma hata kutajwa ni 'taboo'?

Hoja hapa si kusema hili zuri lile baya, hoja ni kuwa kama tunasimama katika sheria basi hizi habari za 'matambiko' kama nyumba za serikali ziachwe.
Nyumba juu ya bomba imebomolewa! kama ni kinyume cha sheria ni halali.
Tukimaliza hapo turudi kwenye nyumba za serikali zilizouzwa. Kulikoni?
Halafu tuendelee na kasi hiyo hiyo kujua Lugumi ilikuwaje?

Narudia tena, tukisimama katika sheria basi tuhakikishe msumemo unakata mbele na nyuma. Kinyume chake tutakuwa tunazidhulumu nafsi zetu
 
You presented it as a partisan issue, so you cant claim impartiality katika hili. CCM ni chama kama ilivyo kwa Chadema.

The inference is quite clear. Lowassa doesn't exist in a Vacuum.

Likitamkwa jina la Lowassa hata ndani ya Kamati Kuu ya CCM, matumbo yanawasokota. Msingi wa hoja yako ni kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndugu Kikwete ameendelea kutoa tahadhari kwamba Lowassa bado ni Mwiba kwa CCM, na 2020 anaweza kuwapiga mweleka kama alivyowapiga mweleka 2015 mkaiba kura. Naomba nisaidie majibu kwa swali hili:

Kwanini Rais Magufuli hajatangazia CCM na umma kwa ujumla kuhusu mali zake?
Ndugu yangu Mchambuzi, Tafadhali sana... Unajinajisi mno kubishana na haya mazalia ya laana!! Ufahamu wao upo ktk robot system!! Kwa uwezo na hadhi yako si viumbe wa kufanya nao mjadala!! Please achana nao hao vinyaa.
 
nasubiri kwa hamu serikali iligawe hilo shamba kwa wananchi halafu nione kama watazira kulichukua huyu ndie mgombea aliyekuwa akitangaza kuchukia umasikini wakati yeye ndio anawapa umasikini wananchi wake
Yule Mbunge wa CHADEMA alishangaa sana baada ya kuambiwa lile ni shamba la Edward Lowassa.

Hakuweza hata kupata nguvu za kuchangia zaidi kwa sababu kwa muda mrefu wananchi wa Jimbo lake la Monduli wamehangaika kuhusu kupatiwa hilo shamba na hawakufahamu kama mmiliki ni familia ya Edward Lowassa.
 
MsemajiUkweli katika suala la kutaja mali ninapata wakati mgumu kukuelewa

Kuna kamisheni ya maadili ya viongozi inayowalazimu wataje mali zao wanapoingia na kutoka.

Tuambie nani anajua mali za viongozi waliotangulia wakati wanaingia au wanatoka? Na kuna umuhimu gani wa watu katika vyama kutaja mali zao, ikiwa wale wanaosimamiwa na kamisheni hatujui wanamiliki nini chini ya sheria?

Pili, kama nyumba inabomolewa kwa kukiuka sheria sina tatizo na hilo.
Kama inafanyika kwa nia njema sina tatizo na hilo.

Nina tatizo iwapo hilo linafanyika katika kulipa visasi vya kisiasa
Huo utakuwa mwanzo mzuri mbele ya safari na hata sasa

Tungependa kujua zile meli zenye meno ya tembo kesi ziliiashaje?
Tungependa kujua mkataba wa Lugumi ulikuwaje, ulitekelezwaje na akina nani?
Tungependa kujua hivi nyumba za umma ziliuzwajwe kwa kina nani na kwanini?
Orodha ni ndefu inaendelea

Tukianza kubomoa nyumba ya milioni 80 au 100 au 150 kwa mfano tu, tutakuwa tunachukua hatua nzuri. Twende mbele ili tujue Bilioni 37 zilitokaje?
Hizi ni nyingi sana zinaweza kujenga bomba kubwa zaidi kuliko nyumba moja

Tusibomoe nyumba, tukifumbia macho Lugumi!

Sheria ni msumemo inakata mbele na nyuma. Ikianza kwenye nyumba hizo isiishie hapo iendelee kutupa majibu ya maswali yanayosumbua akili zetu
Mkuu Nguruvi3 heshima yako.... Kubishana na hivyo viumbe ni sawa na kuweka dhahabu kwenye pua ya nguruwe... Nafikiri umenielewa.
 
Mkuu kwa jinsi nilivyoilewa hii mada ni kwamba Lowasa awatangaze mali zake wabunge wa Chadema ili kuondoa mkanganyiko kwa wabunge wake huko Chadema isije kuonekana wanamsaliti bosi wao bila kujua.

Mimi Mwenyewe nilicheka sana baada ya kuona Lukuvi anaonyesha hati iliyosainiwa Na Lowasa kuhusu shamba linalolalamikiwa Na kijana wake....
Huyo atakuwa amesoma heading pekee na kuanza kujenga hoja za nguvu!
 
Vinginevyo Kiongozi wenu wa social media MsemajiUkweli kwa kweli needs a new strategy. Kuelekea 2020, mnachofanya humu hakiwezi kupunguza kibaba cha kura mlichokitoboa 2015 na kubakiza milioni sita kwa ajili ya lowassa.
Usinipe cheo ambacho sina.

Kama mimi ni kiongozi wao, kwa hiyo wewe ni kiongozi wa nani katika social media?

Nimekuambia acha kujenga hoja kwa kutumia hisia.
 
Hii ID zamani ilikuwa inatumiwa na kiongozi mkuu wa chama chenye mbunge mmoja bungeni kudhoofisha CHADEMA...
Sasa naona inatumiwa kimkakati either na mtu huyohuyo au imeuzwa CCM...
Inasemekana huyo kiongozi ni mole... aka snitch..
So mada kama hizi zitakuja sana na kushereheshwa na vilaza wa Lumumba waloingia JF mapema mwaka jana kwa mission maalumu...

Hapa ishu sio ukongwe JF, kituko ni Mbunge wa CHADEMA alieteuliwa na CHADEMA na kupitishwa na CHADEMA kwa ushawishi wa Lowasa kwenda bungeni kulalamikia shamba lilliporwa na Lowasa.

Sidhani kama angejua lile shamba ni miliki ya Lowasa angethubutu hata kufungua mdomo bungeni kuhoji umiliki wa hilo shamba.!
 
Back
Top Bottom