radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Kinachonishangaza ukitamka jina la Lowassa kwenye thread, wanajeshi wake wanaibuka kutoka mafichoni na kuanza kurusha risasi bila kuangalia hata sababu za jina lake kutamkwa.
Wengi hawatumii nguvu za hoja bali wanatumia jaziba na hoja za nguvu.
Unalitamka jina unafahamu kabisa iptl wanapokea pesa za bure toka tanesco serikali yako inachekacheka nae tu kwa nn hawaokoi pesa za umma wakat wanajua kuna upigaji ktk mkataba wa richmond? kamata mafisad peleka mahakaman fungia jela wakibainika sio mnakuja kujaza maupupu huku wakat kila kitu kipo wazi.
Ni muda wa serikali kuwa wazi sio kutumia huo mwanya kupaka bila kuchukua hatua tunaweza kusema chadema walikuwa hawana nguvu ya kumuwajibisha lowasa kwa kuwa alikuwa ccm sasa nanyie mmegeuka wale wale wakat kila kitu kipo waz. Mtu mmoja anasura mbili.
Kwa mlolongo huo kwa nn lowasa asitetewe ikiwa serikali ipo kimya toka 2008? Mtu mwenye hatia hana hata uwezo wa kuchukua fom ya kugombea uongoz mkubwa ikiwa tayar yupo nje ya maadili ya utumish wa umma unafikir yeye alipokuwa anajitangaza kuutaka urais hakufiria kama angedakwa kiurahis na serikali ya ccm kama yupo nje ya maadili?