MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,051
- Thread starter
- #141
Unaweza kuzitaja wewe.Tajeni mali za Kikwete kwanza
Mimi na Kikwete wapi na wapi.
Unaweza kuzitaja wewe.Tajeni mali za Kikwete kwanza
Chadema mna utaratibu huo wa kutaja mali? Kama uko na afanye hivyo. Najua CCM ya sasa haifanyi hivyo. Sijajua kuhusu CUF na ACT wazalendo.Unaweza kuzitaja wewe.
Mimi na Kikwete wapi na wapi.
vipi kwani mzee wa push up yeye kawatajia nyie wana ccm Mali zake,Lowassa anatakiwa awasaidie viongozi wa CHADEMA kwa kuwaambia mali zake ili kuepuka aibu ya kisiasa wanayoipata kwa sababu ya kukosekana uwazi wa mali zake.