Lowassa watajie CHADEMA mali unazomiliki

Lowassa watajie CHADEMA mali unazomiliki

Mkuu kwa jinsi nilivyoilewa hii mada ni kwamba Lowasa awatangaze mali zake wabunge wa Chadema ili kuondoa mkanganyiko kwa wabunge wake huko Chadema isije kuonekana wanamsaliti bosi wao bila kujua.

Mimi Mwenyewe nilicheka sana baada ya kuona Lukuvi anaonyesha hati iliyosainiwa Na Lowasa kuhusu shamba linalolalamikiwa Na kijana wake....
Na kuvunjwa kwa nyumba ya kaka wa lowasa dar ili kupisha bomba inauhusiano gani na monduli.chuki zinamtoa kuwa na sifa za msema kweli
Mkuu kwa jinsi nilivyoilewa hii mada ni kwamba Lowasa awatangaze mali zake wabunge wa Chadema ili kuondoa mkanganyiko kwa wabunge wake huko Chadema isije kuonekana wanamsaliti bosi wao bila kujua.

Mimi Mwenyewe nilicheka sana baada ya kuona Lukuvi anaonyesha hati iliyosainiwa Na Lowasa kuhusu shamba linalolalamikiwa Na kijana wake....
 
Hoja yangu haihusu CCM. Mambo ya CCM yanaingia vipi hapa?

Nani amekuambia nataka CHADEMA itangaze Mali za Lowassa? Soma vizuri mada yangu na uelewe vizuri.

Tatizo likitamkwa jina la Edward Lowassa mnaibuka haraka kutoka kwenye mapango bila hata kuelewa msingi wa hoja na matokeo yake mnaanza kujenga hoja za nguvu badala ya nguvu za hoja.

Kinachonishangaza zaidi, wewe unajifanya unaifahamu CHADEMA kuliko wenye CHADEMA!

Unakuwa kama wale watu wanaobadilisha dini ambao mala nyingi wanakuwa fanatics ukilinganisha na wale waliozaliwa na kukua katika mazingira ya imani hiyo ya dini. Baada ya wewe kutoka CCM na kuhamia CHADEMA, umekuwa kama unaifahamu zaidi CHADEMA kuliko wenye CHADEMA! This is fun to say the least!

Kwa hisia zako unanibandika majina mengine ili uhalalishe hoja zako za nguvu.

Siko hapa kumtetea Lowassa, lakini katika mambo yanayotuacha hoi wananchi ni pamoja na hili. Hakuna asiyejua jinsi viongozi wa CCM walivyozitumia nafasi zao kulihujumu taifa hili. Kila mtu anajua Lowassa pamoja na viongozi wengine wa CCM wamejimilikisha mali nyingi ya taifa hili isivyo halali kwa kutumia nafasi ya chama chao kushika dola kuhozi mali za umma isivyo halali. Na sio viongozi tu wa CCM bali hata chama chenyewe cha CCM kinamiliki vitega uchumi vingi vililetwa na wananchi wote wakati wa mfumo wa chama kimoja. Hili la shamba la Lowassa unaliongea kama mtaji wa kisiasa ili CCM ionekane iko vizuri, lakini ukweli unabaki palepale viongozi karibia wote wa CCM waliowahi kupata madaraka hasa ya serekali katika nchi hii wanamiliki mali nyingi kinyume na sheria za nchi.

Hali hiyo ndio inafanya CCM iwe tayari hata kwa machafuko kubaki madarakani ili kulinda maslahi ya viongozi wake wachache, kwani inajua pindi watakapopoteza dola wenye kumiliki mashamba kama Lowassa, viwanja vya wazi na viwanda isivyo halali watakuwa ni wengi kupita kiasi. Rais Magufuli alianza na kasi kubwa kwenye awamu yake, lakini kadiri siku zinavyokwenda anazidi kushindwa kutekeleza majukumu yake, kwani anaopaswa kuwabana ndio hao wanaojiita vigogo wa CCM. Usishangae sasa Lowassa kuanza kuibuka kwa kasi kwani ameshajua rais ameanza kuujua ukweli na hana la kufanya zaidi ya kuwa mpole. Kwa maneno marahisi hawezi kukata tawi alilokalia. Kasi yake naifananisha na jinsi alivyoanza JK, lakini akaishia kuwa mtalii wa kiwango cha guiness book of record.
 
Taja kwanza mpaka anahama CCM alikuwa anamiliki mali kiasi gani. Maana kama sio mada ya kinafiki utakuwa na rekodi ya viongozi kama Alina lowassa,
 
You presented it as a partisan issue, so you cant claim impartiality katika hili. CCM ni chama kama ilivyo kwa Chadema.



The inference is quite clear. Lowassa doesn't exist in a Vacuum.



Likitamkwa jina la Lowassa hata ndani ya Kamati Kuu ya CCM, matumbo yanawasokota. Msingi wa hoja yako ni kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa Ndugu Kikwete ameendelea kutoa tahadhari kwamba Lowassa bado ni Mwiba kwa CCM, na 2020 anaweza kuwapiga mweleka kama alivyowapiga mweleka 2015 mkaiba kura. Naomba nisaidie majibu kwa swali hili:

Kwanini Rais Magufuli hajatangazia CCM na umma kwa ujumla kuhusu mali zake?
Kwel akili hazijawarudia!!;mlishindwa 2015 mshinde 2020!?;lbd muweke mgombea mwingine!!;hata mi ntampigia kura!
 
Ndiyo maana tunasema hivi, tuache unafiki jamani.

Hayo yote yalijulikana miaka mingi, mbona serikali haikuwahi kuyafanyia kazi?

Tukitaka kupiga hatua tuache unafiki. Kingunge alisemwa anamiliki Ubungo termina na kulikuwa na mauza uza, mbona hayo hatukuwahi kuyasikia na yalifunikwa wakati huo?

Mbona hatujaelezwa kamati iliyochunguza EPA iliyoundwa na mwanasheria mkuu, IGP na PCCB ilitupa matokeo gani?

Mbona tunaambiwa 'kujadili nyumba za serikali' ni tambiko?

Kama tunajua mashamba yaliyouzwa kwa njia haramu, kwanini nyumba za umma hata kutajwa ni 'taboo'?

Hoja hapa si kusema hili zuri lile baya, hoja ni kuwa kama tunasimama katika sheria basi hizi habari za 'matambiko' kama nyumba za serikali ziachwe.

Nyumba juu ya bomba imebomolewa! kama ni kinyume cha sheria ni halali.
Tukimaliza hapo turudi kwenye nyumba za serikali zilizouzwa. Kulikoni?

Halafu tuendelee na kasi hiyo hiyo kujua Lugumi ilikuwaje?

Narudia tena, tukisimama katika sheria basi tuhakikishe msumemo unakata mbele na nyuma. Kinyume chake tutakuwa tunazidhulumu nafsi zetu
Hasa nafsi yako!!;wengine ahahaaa!! kiroho safiii
 
Ndugu yangu Mchambuzi, Tafadhali sana... Unajinajisi mno kubishana na haya mazalia ya laana!! Ufahamu wao upo ktk robot system!! Kwa uwezo na hadhi yako si viumbe wa kufanya nao mjadala!! Please achana nao hao vinyaa.
Mmelazimishwa kuchangia!!?;c mngekaa kimya nan angewaita!!?;tatizo sindano ikichoma lazima ushtuke tu hamna namna!!
 
Yule Mbunge wa CHADEMA alishangaa sana baada ya kuambiwa lile ni shamba la Edward Lowassa.

Hakuweza hata kupata nguvu za kuchangia zaidi kwa sababu kwa muda mrefu wananchi wa Jimbo lake la Monduli wamehangaika kuhusu kupatiwa hilo shamba na hawakufahamu kama mmiliki ni familia ya Edward Lowassa.
Ahahaa!!;nadhani hata swali la nyongeza halikuwepo!!;kamati ya CHADEMA lazima imjadiri!!
 
Na kuvunjwa kwa nyumba ya kaka wa lowasa dar ili kupisha bomba inauhusiano gani na monduli.chuki zinamtoa kuwa na sifa za msema kweli

Maana yake ni kwamba asilimia kubwa ya yanayolalamikiwa na wapinzani kwa muda mrefu.... Lowasa ni sehemu ya kikwazo kwa utekelezaji wake...sababu ni ngumu kumtenganisha Lowasa na uovu wa CCM.
Kuhusu hiyo nyumba anamkumbusha Mnyika kuwa kikwazo cha kilio chake na Lowasa alikuwa anachangia .
 
Hapa ishu sio ukongwe JF, kituko ni Mbunge wa Chadema alieteuliwa na Chadema na kupitishwa na Chadema kwa ushawishi wa Lowasa kwenda bungeni kulalamikia shamba lilliporwa na Lowasa.

Sidhani kama angejua lile shamba ni miliki ya Lowasa angethubutu hata kufungua mdomo bungeni kuhoji umiliki wa hilo shamba.!
Ndo maana tunasema kazi mbunge ni kufanya tafiti ndo ukajimwayemwaye mjengoni!!;ona sasa wanavojidharirisha!!;ahahaa ingekuwa live sijui wangeweka wap misura yao!
 
Watu wasioweza kujenga hoja zenye nguvu za hoja hukimbilia kuangalia mleta hoja ili watumie character assassination kwenye hoja za nguvu.

Kutaka kuifahamu ID ya mleta mada ni moja ya haiba ya watu walioshiwa nguvu za hoja.

Kunifahahamu mimi hakuwezi kubadilisha ukweli wa hoja ninazozileta.

Jikite kwenye hoja na kama unadhani hakuna hoja, basi hata kusoma na kuondoka pia ni moja ya mchango kwenye mada!
Ndo maana tunasema y msikae kimya mbona mtaeshika tu!!?;ila ndo hvo ukichomwa na sindano lazima ushtuke!!
 
nasikia vijana wa lumumba wameongezewa ulaji baada ya kulalamika kuwa buku saba haiwatoshi kisa sukar imepanda!!!!!!

Naoma mmekuja na Kasi ya 4G baada ya kuongezewa posho. Kila saa lazima mkamuongelee lowasa hivi kawafanya nini huyu mwanaume?

Naomba magu ahakikishe hwa vijana wa lumumba wawe wanalipa kodi pia pesa wanayopokea ni nying aseee.

Mnajua na nyie mnapashwa mwemnalipa kodi? Hii pesa sio ndogo aseee.
 
Siko hapa kumtetea Lowassa, lakini katika mambo yanayotuacha hoi wananchi ni pamoja na hili. Hakuna asiyejua jinsi viongozi wa ccm walivyozitumia nafasi zao kulihujumu taifa hili. Kila mtu anajua Lowassa pamoja na viongozi wengine wa ccm wamejimilikisha mali nyingi ya taifa hili isivyo halali kwa kutumia nafasi ya chama chao kushika dola kuhozi mali za umma isivyo halali. Na sio viongozi tu wa ccm bali hata chama chenyewe cha ccm kinamiliki vitega uchumi vingi vililetwa na wananchi wote wakati wa mfumo wa chama kimoja. Hili la shamba la Lowassa unaliongea kama mtaji wa kisiasa ili ccm ionekane iko vizuri, lakini ukweli unabaki palepale viongozi karibia wote wa ccm waliowahi kupata madaraka hasa ya serekali katika nchi hii wanamiliki mali nyingi kinyume na sheria za nchi.

Hali hiyo ndio inafanya ccm iwe tayari hata kwa machafuko kubaki madarakani ili kulinda maslahi ya viongozi wake wachache, kwani inajua pindi watakapopoteza dola wenye kumiliki mashamba kama Lowassa, viwanja vya wazi na viwanda isivyo halali watakuwa ni wengi kupita kiasi. Rais Magufuli alianza na kasi kubwa kwenye awamu yake, lakini kadiri siku zinavyokwenda anazidi kushindwa kutekeleza majukumu yake, kwani anaopaswa kuwabana ndio hao wanaojiita vigogo wa ccm. Usishangae sasa Lowassa kuanza kuibuka kwa kasi kwani ameshajua rais ameanza kuujua ukweli na hana la kufanya zaidi ya kuwa mpole. Kwa maneno marahisi hawezi kukata tawi alilokalia. Kasi yake naifananisha na jinsi alivyoanza JK, lakini akaishia kuwa mtalii wa kiwango cha guiness book of record.
Ni lkn lowasa ni mmojawapo!!;xo kukaa kimya ujue mfumo taratibu uanaanza kukolea hasa baada ya kunyoosha mlimopinda!!
 
Mi ckuiz post za hiv hta sipotez muda kusoma. Nikiisha soma kichwa cha hbar na paragrap ya kwanza inatosha. Kwanini nijichoshe na hiz propaganda zilezile hkuna hta jipya.

NIMEZUNGUKA MADUKA YA KITAANI KWETU LEO YOTE HKUNA SUKARI.
 
Back
Top Bottom