Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,090
We mwenyekiti wa Shinyanga acha kuwa mwanzilishi wa majungu ndani ya chama chetu kitukufu cha CCM. watakuambia mtu mzima OVYOO bure !!
Yaani wewe unaamini ndani ya CCM hakuna majungu na muombe Lowasa asiwe rais mbona mtanyooka, pole sana