Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga amemnadi waziri mkuu aliye timuliwa uwaziri EL. kuwa amewekeza na amejiimarisha zaidi ktk siasa za tanzania! hata akitaka kugombea uraisi nchini hakuna wa kushindana naye, 'Benard Membe hata afanye nini lowasa hamuwezi'
My take! je ndo kampeni za mbioza za uraisi 2015? Nawasilisha!
My take! je ndo kampeni za mbioza za uraisi 2015? Nawasilisha!