Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,986
- 5,708
Kamanda Edson;
Let us wait and see, time will tell.
Nape ni Mpinzani asilia wa Mafisadi hasa EL. Sasa jiulize kwa nini JK alimweka Nape na dogo huyu anawabomoa bila huruma kila kukicha na babu yao Mukama anawapa Chagizo?
Hii ni Ngoma ya wakubwa Mkuu, tusubiri dakika 90. I tend to believe JK atawatosa na asipowatosa CCM inakufa na tai shingoni.
Peace & Love.
Respect.
katika post zangu huko nyuma nimekwambia hawa kina nape kelele zao ni ndani ya hizi siku 90 walizopeana........hata yeye nape anajua
baada ya dk tano check pm yako