Chumbageni
Member
- Oct 27, 2010
- 94
- 23
![]()
wengine hawa hapa
Duh! wako wengi!
![]()
wengine hawa hapa
nina imani na mwenyekiti wa ccm taifa. Hawa mapacha wa3 watu mnawaona kama miungu na wakati hawana chochote. My president will get rid of them within the next 90 days
watavuna wanachama wengi kwani wanakubalika sana miongoni mwa watanzania..vipi umefurahi sasa?ndicho ulichotaka kukisia hiki!
Mkuu inamaana mimi sijaelewa au? Hao mabwana watawasha moto au watagawa mapesa? Nielewesheni aisee!
You must be joking mkuu or you are out of your mind!
Yaani RO wa UWT,CDF wa JWTZ na IGP wa Police wako kwenye payroll ya RA,EL na AC?
That is a serious, irrelevant and unwarranted proposition.
I doubt you know what you are talking about.
I say thanks for this useful post, sijui prezidaa alikuwa anafikiri nini hapo, hii ni kuwafanya watanzania wajinga wasio na uwezo wa kifikiri, ni bora hata jk angeacha wakajipigia kampeni wenyewe, sidhani kama wangeshindwa bila kikwete, pili kwani jk aliwapigia kampeni wagombea wote wa ccm, sasa kwa nini hawa. This was a big mis-calculation.