gongolamboto
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 1,185
- 570
huu ni mwisho wa mafisadi na chama chao
Hakuna lolote hapo. CCM inawapiga changa la jicho tu. Sibirini muone
huu ni mwisho wa mafisadi na chama chao
Na asiye na dhambi na awe wa kwanza kumpiga jiwe, Yesu akatazama chini na kuandika ardhini alipoinua macho wakawa wameondoka wote, nasema, JK umejipalia makaa, ndugu yangu, unawatosa watatu, wakati kunawengi, umeshau aliyekuwa MP wwa Rombo? hukumtosa, unajua ufisadi unaofanywa Maliasili umeamua vp?I say thanks for this useful post, sijui prezidaa alikuwa anafikiri nini hapo, hii ni kuwafanya watanzania wajinga wasio na uwezo wa kifikiri, ni bora hata jk angeacha wakajipigia kampeni wenyewe, sidhani kama wangeshindwa bila kikwete, pili kwani jk aliwapigia kampeni wagombea wote wa ccm, sasa kwa nini hawa. This was a big mis-calculation.
Nilipe Ng'ombe wangu....! Puta na mimi nipute...! Thubutu!!!!! Niguse uone!!!
Tusubiri Suparing Ngumi za Majeba!!!!
TOBAAA, Hivi wewe unamshirikisha mungu kusaidia MAFISADIII, Umechanganyikiwa mwenzetu wewe tafuta mtu akuzinguweHatma ya CCM imefika ukingoni, kwa hatua ya kuwavua EL, AC & RA ni sawa na laana kwa chama. JK katu hatoweza kuitawala nchi hii na atapata laana kali ya muumba toka kwa watanzania wote (waislamu & wakristo), nayasema haya kwani ni jambo ambalo...WAMEKUWA PAMOJA, WAMEPANGA MIPANGO PAMOJA, WAMEFAULU PAMOJA, WAMEINGIA IKULU PAMOJA leo hii uwashushie dhambi kama hii wao tu?
Ni uonevu usio kifani, mkuu wa nchi anapaswa kutazama mara mbili hayo aliyoongoza NEC kuamua kwani hata (hao watatu) wakipotezwa bado laana itaendelea kuwepo.
MY TAKE:
Ilipaswa wote wajiuzulu kuanzia mkuu wa nchi ambapo makamu wake ashike hatamu...NDIPO SALAMA ITAKUWEPO.
Mola hawezi kuwaacha viumbe wake waliokuwa pamoja na sasa wanadhulumiana ilhali walisaidiana wakiwa ni 'boyz 2 men', kwa sasa kuwatupa tena kwa kashfa nzito shauri ya fahari hizi fupi za dunia ni uonevu na kukithiri kwa kupokea majungu toka kwa wapambe,, HAPANA;JK ANAPASWA AJITAZAME NA ATAZAME HATMA YAKE IKOJE, atakuwa hatarini abadan.
Huyo aliye kwenye micOneni...nani gamba kubwa
..ukimwaga ugali nami namwaga mboga, sisi ngoja tukae pembeni tuangalie chezo zima linavyochezwa
halafu hao wabunge wa ccm,mwenyekiti, spika na wengine ni vilaza wa ajabu.. sasa kama EL alikua anajulikana hata ndani ya chama kama fisadi? walimpigiaje kura ya kuwa mwenyekiti kamati ya mambo ya nje na usalama?