Lowassa, Rostam sasa kuwasha moto

Lowassa, Rostam sasa kuwasha moto

Tujikumbushe yaliyotokea mwaka jana.....................

monduli11.jpg

Hapo ndipo patamu. Hakuna fisadi hapa, hawa ni watakatifu wa Chama. Hivi jamani tuhuma za ufisadi za Chenge zilianza lini? Jamani Chenge si ndiye alikuwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM wakati wa mchakato wa kuingia kwenye Uchaguzi wa 2010? Kamati ya Maadili si ndiyo iliwaengua baadhi ya wanachama wa CCM kwa kukosa maadili? Chenge kama alikuwa fisadi alipata wapi maadili ya kushiriki kuwaengua wanachama wasiokuwa na maadili? Au ndani ya CCM watu wasiokuwa na maadili ndio wanatumika kuwajua wenzi wao wasio kuwa na maadili? Hawa mapacha watatu si Mafisadi, wanaonewa tu
 
Wapende wasipende wanatoka,period

Usidanganyike na mazingaombwe ya CCM hayo!! Hivi kweli unafikiri wako serious??

Walipomuondoa Abdul Jumbe walimpa siku 90??

Walipomfukuza Maalim Seif Sharif, walimpa siku 90??

Jamaa hawako serious, period!!! Sijaona mtu anafukuzwa kazi halafu anapewa siku 90 za kuachia office?? Only CCM!!
 
CCM hawakusema watawafukuza. Wanawataka waachie nyadhifa zao kwenye chama. Watabaki kuwa "wanachama watiifu milele"! Kuna wakati JF tunapotoshana sana na hii inatokana na wanaodandia thread kwa mbele.
 
Kwanini mnawasemea?? Vyema wajitokeze wenyewe! Msitegemee hadithi ya fisi kudhani Mkono utaanguka.
 
Kuna habari kwamba mbunge wa Monduli mjini alikuwa amepanga kufanya maandamano makubwa mjini Arusha leo akiwashirikisha vijana wa CCM kutoka Monduli na Arumeru ambao wangeonesha kumuunga mkono na kupinga hatua ya CCM kutaka kumtosa yeye (EL) na mfadhili mkuu wa chama (RA).

Morani waliosheheni silaha za jadi ndio wangeulinda msafara mzima ambao unngeanzia CCM mkoa Arusha na kuelekea viwanja vya NMC lakini nasikia baadhi ya watu walimshauri asitishe au pengine yamepangwa kufanyika baadaye.
 
haya sisi yetu macho hawa ndio waliokuwa wakisema maandamano ya chadema yana nia ya kuvunja amani sijui haya yana lengo gani? lowassa komaa baba fisadi huko peke yako
 
Wacha Wafu Wazikane Wenyewe!! Ila nalo Hilo Neno!! Kwanini wamwone Kin$%5%^56si wakati Kula walikula pamoja? Ila strategy za Kutumia wamasai Ingekuwa Bora kama wangekuwa wamemtosa kwenye Ulaibony
 
Mkuu hii habari umeichoropoa wapi, kwa kuwa hata EL mwenyewe hana taarifa za maandamano hayo.
 
Haka kamchezo nakapenda sana. Go EL... Go RA... Go AC... Mpaka kieleweke
 
Yasemekana alikuwa nataka kupitia mgongo wa CCM ili kujiosha, lakini ikashindikana, na sasa anaandaa kupitia kabila lake ili kuhutubia na kutoa dukuduku lake, na kupata huruma yao kwa yaliyotokea kule DODOMA. Bado hajakata tamaa. Anajiandaa ku mobilize wamasai na kanda nzima kumuunga mkono. Kwa habari zaidi, fuatilia baada ya muda kidogo.
 
Kuna habari kwamba mbunge wa Monduli mjini alikuwa amepanga kufanya maandamano makubwa mjini Arusha leo akiwashirikisha vijana wa CCM kutoka Monduli na Arumeru ambao wangeonesha kumuunga mkono na kupinga hatua ya CCM kutaka kumtosa yeye (EL) na mfadhili mkuu wa chama (RA).

Morani waliosheheni silaha za jadi ndio wangeulinda msafara mzima ambao unngeanzia CCM mkoa Arusha na kuelekea viwanja vya NMC lakini nasikia baadhi ya watu walimshauri asitishe au pengine yamepangwa kufanyika baadaye.

Geshi la polisi kikosi cha intelenjia kinasemaje hizo sime na marungu ya wamasai kwenye maandamano?
 
huyu anataka kutuharibia nchi isitawalike heheee kweli mwosha huoshwa
 
Kwenye propaganda za siasa, huu unaweza ukawa mtaji mzuri sana kwa CDM kama wakichanga karata zao vizuri.
Kama CCM wanachochea kutokuelewana ndani ya CDM, na CDM inayo haki ya kuchochea hali tete ya CCM sasa hivi ili kujiimarisha zaidi kisiasa.
 
Yasemekana alikuwa nataka kupitia mgongo wa CCM ili kujiosha, lakini ikashindikana, na sasa anaandaa kupitia kabila lake ili kuhutubia na kutoa dukuduku lake, na kupata huruma yao kwa yaliyotokea kule DODOMA. Bado hajakata tamaa. Anajiandaa ku mobilize wamasai na kanda nzima kumuunga mkono. Kwa habari zaidi, fuatilia baada ya muda kidogo.
Hiyo kanda ni ngome ya CDM, 100% Ant-Lowassa
Kwa sasa Lowassa anaitaji kuungwa mkono ili aendelee kubakia CCM au hataki CCM tuendelee kuliita chama la mafisadi?

La muhimu kwetu ni mafisadi kuachia idara za serikali na si kuondoka ccm

KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA ANDENGENYE ALISEMA JANA KWAMBA AMEZISIKIA HABARI ZA MAANDAMANO ILA POLISI HAWAJAYAPATIA KIBALI KWA HIYO VIJANA WAKE WATAKUWA BARABARANI KUPAMBANA NA WAANDAMANAJI. anyways ni kweli tuache wafu wazike wafu wao, lakini lowassa usikubali kufa mwenyewe wakati mmekula wengi na siri unazifahamu, komaa nao kama barcelona. mkipanda mpande wote mkishuka vinyo hivyo halafu tena katikati mpaka mfe wote
 
Back
Top Bottom