makandokando
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 299
- 21
Hawa mafisadi watatu badala ya kuwaita MAPACHA WATATU kwa nini tusiwaite tu RACHEL
Rostam Azizi Andrew Chenge, Edward Lowassa = RACHEL
Rostam Azizi Andrew Chenge, Edward Lowassa = RACHEL
Hawa mafisadi watatu badala ya kuwaita MAPACHA WATATU kwa nini tusiwaite tu RACHEL
Rostam Azizi Andrew Chenge, Edward Lowassa = RACHEL
TAARIFA KUTOKA KWA MTU WA KARIBU NA EL
MAPACHA WATATU EL,AC NA RA ,WAMEKUWA WAKIFANYA VIKAO KWA SKYPE TOKEA TAMKO LA CHAMA LA KUTAKA WAACHIE NAFASI ZAO,MPASHAJI ANASEMA MAPACHA HAO WAMEKUWA WAKIFANYA ONLINE MEETING KILA SIKU KWA ZAIDI YA MASAA SABA KWA KUTUMIA SKYPE KWANI WAMEKUBALIANA WASIKAE PAMOJA KUTOKANA NA TISHIO LA KUWAUA AMBALO MMOJA WAO ALILINASA KUTOKA KWA SHUSHUSHU WAKE AMBAYE NI MMOJA WA VIONGOZI WA VIJANA WA CHAMA CHA MAGAMBA ALIYEWEKWA KWENYE MPANGO HUO NA CHAMA HICHO CHA MAGAMBA
MY TAKE;hawa mapacha wanajipanga kujibu mapigo na kuufutilia mbali utawala wa JK;;,UWEZO WANAO,SABABU WANAZO NA NGUVU WANAYO.
NGOMA INOGILE,VITA VYA PANZI KUNGURU TWALAAAA
natema mate chini mkuu.....jk hana ujasiri huo hata chembe.....labda hawa mapacha waamue kufa kifo cha huruma (eutanesia death)maana yake wafe kwa wakati mmoja, sababu za vifo zisijulikane, mda wa kufa usijulikane, na eneo liwe la mahali pamoja hapo ccm na jk atawini...lakini kwa ninavyomjua chenge na aziz hakika hawatakubali.......lazima ataropoka tu
Daga fijo na lori
TAARIFA KUTOKA KWA MTU WA KARIBU NA EL
MAPACHA WATATU EL,AC NA RA ,WAMEKUWA WAKIFANYA VIKAO KWA SKYPE TOKEA TAMKO LA CHAMA LA KUTAKA WAACHIE NAFASI ZAO,MPASHAJI ANASEMA MAPACHA HAO WAMEKUWA WAKIFANYA ONLINE MEETING KILA SIKU KWA ZAIDI YA MASAA SABA KWA KUTUMIA SKYPE KWANI WAMEKUBALIANA WASIKAE PAMOJA KUTOKANA NA TISHIO LA KUWAUA AMBALO MMOJA WAO ALILINASA KUTOKA KWA SHUSHUSHU WAKE AMBAYE NI MMOJA WA VIONGOZI WA VIJANA WA CHAMA CHA MAGAMBA ALIYEWEKWA KWENYE MPANGO HUO NA CHAMA HICHO CHA MAGAMBA
MY TAKE;hawa mapacha wanajipanga kujibu mapigo na kuufutilia mbali utawala wa JK;;,UWEZO WANAO,SABABU WANAZO NA NGUVU WANAYO.
NGOMA INOGILE,VITA VYA PANZI KUNGURU TWALAAAA
sasa mnaambiwa mapacha watatu wanapiga online meeting usiku na mchana wanataka kumngoa JK,kama JK ni kidume atangaze kuwafukuza aone cha mtema kuni
Mkuu;
Dont underestimate the power oj JK as a President. He is Command In Chief of the Armed Forces na kuna sheria zinampa nguvu ya ajabu mbali ya katiba.
Kama JK amedhamiria hakuna wa kumsimamisha. take it from me or leave it.
Na nyeti tulizonazo ambazo tulizipata kabla hata ya CC na NEC ni kuwa JK amedhamiria come whatever may. lazima EL atoswe tu maana amemchezea shere.
RA na AC hawana kitu. In fact RA si tishio kabisa kwa kuwa anweza hata kufukuzwa Nchi. AC ana pesa gani wakuu? hiyo 1 Billion +?
Peace and Love.
Respect.
JK anategemea power ya hapo kwenye red wenzie wanategemea power ya brain yao. Hapo wapi na wapi ingekuwa vema JK nae pia akategemea brain power!!
TAARIFA KUTOKA KWA MTU WA KARIBU NA EL
MAPACHA WATATU EL,AC NA RA ,WAMEKUWA WAKIFANYA VIKAO KWA SKYPE TOKEA TAMKO LA CHAMA LA KUTAKA WAACHIE NAFASI ZAO,MPASHAJI ANASEMA MAPACHA HAO WAMEKUWA WAKIFANYA ONLINE MEETING KILA SIKU KWA ZAIDI YA MASAA SABA KWA KUTUMIA SKYPE KWANI WAMEKUBALIANA WASIKAE PAMOJA KUTOKANA NA TISHIO LA KUWAUA AMBALO MMOJA WAO ALILINASA KUTOKA KWA SHUSHUSHU WAKE AMBAYE NI MMOJA WA VIONGOZI WA VIJANA WA CHAMA CHA MAGAMBA ALIYEWEKWA KWENYE MPANGO HUO NA CHAMA HICHO CHA MAGAMBA
MY TAKE;hawa mapacha wanajipanga kujibu mapigo na kuufutilia mbali utawala wa JK;;,UWEZO WANAO,SABABU WANAZO NA NGUVU WANAYO.
NGOMA INOGILE,VITA VYA PANZI KUNGURU TWALAAAA
Angalia kwenye red, hao heads inasemekana walikuwa wanawekwa na hao traingle kama PCCB nk.Kamanda Meddie;
Time will tell. Stay tuned. Mimi si shabiki wa JK lakini kama amedhamiria hakuna chakuwa na Brain wala nini. Muulize Mugabe, Muulize Kibaki walivyofanya nk. wana Brain gani hawa?
Usicheze na Urais as an Institution na kama alieshikilia nafasi hiyo anakusudia kufanya kitu.
Hata kama Triangle Twins wamewanunua watendaji, lakini head wa Instutution za dola bado ni wateule wa JK na ndo wenye nguvu. Unless hao Triangle Twins wanataka kufanya Uhaini.
Kama JK akiamua anaweza kabisa kubadili mwelekeo wa Nchi hii and no body can stop him.
- EL anajua
- RA anajua
- AC anajua
- Mafisadi wengine pia wanajua
So, uwezo anao, Swali muhimu ni kuwa: Je, anayo dhamira ya kweli?
Peace & Love.
Respect
Tatizi la CCM haliletwi na watu watatu hata wakiwatoa haitasaidia badala yake watazidisha mpasuko, tatizo ni kuiacha misingi waliyojiwekea kuwa CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi (wanyonge), mfano kuvunja maazimio ya azimio la Arusha CCM ilipo sasa chama kumilikiwa na wafanyabiashara ni matokeo ya ukengeufu huo. Kinachotakiwa CCM si kuwatimua tu mafisadi bali kukipeleka chama chini kwenye ground level kwa wenye chama wanachama wa kawaida kwa mfano wao pia washiriki kuchagua wajumbe wa NEC si kuteuliwa nk.
Angalia kwenye red, hao heads inasemekana walikuwa wanawekwa na hao traingle kama PCCB nk.
Mkuu;
Dont underestimate the power oj JK as a President. He is Command In Chief of the Armed Forces na kuna sheria zinampa nguvu ya ajabu mbali ya katiba.
Kama JK amedhamiria hakuna wa kumsimamisha. Take it from me or leave it.
Na nyeti tulizonazo ambazo tulizipata kabla hata ya CC na NEC ni kuwa JK amedhamiria come whatever may lazima EL atoswe tu maana amemchezea shere.
RA na AC hawana kitu. In fact RA si tishio kabisa kwa kuwa anaweza hata kufukuzwa Nchi na uraia wake wa kuchonga. AC ana pesa gani wakuu? hiyo 1 Billion +?
Peace and Love.
Respect.
MKUU
pona ya jk ni hawa mapacha kukaa kimya.........lakini wakithubutu kusela lolote dhidi yake atakwisha.......halafu amini kuwa jk kwa hawa jama a wawili aziz na edward hana la kusema......angekuwa chenge, na wengine nakwambia siku hiyo hiyo angewatimua chamani.....
NB: unajua nini kinajili kati yake na hawa twin wawili ? (RA na EL).....
Kamanda Meddie;
Time will tell. Stay tuned. Mimi si shabiki wa JK lakini kama amedhamiria hakuna chakuwa na Brain wala nini. Muulize Mugabe, Muulize Kibaki walivyofanya nk. wana Brain gani hawa?
Usicheze na Urais as an Institution na kama alieshikilia nafasi hiyo anakusudia kufanya kitu.
Hata kama Triangle Twins wamewanunua watendaji, lakini head wa Instutution za dola bado ni wateule wa JK na ndo wenye nguvu. Unless hao Triangle Twins wanataka kufanya Uhaini.
Kama JK akiamua anaweza kabisa kubadili mwelekeo wa Nchi hii and no body can stop him.
- EL anajua
- RA anajua
- AC anajua
- Mafisadi wengine pia wanajua
So, uwezo anao, Swali muhimu ni kuwa: Je, anayo dhamira ya kweli?
Peace & Love.
Respect
CCM wasiwabambike mzigo wa lawama RA, EL na Chenge. Ni lazima watafute chanzo cha tatizo ni nini bila kuona uvivu wa kufikiri.
Kwa upande wangu naona tatizo kubwa lililowafikisha hapo walipo ni kuliacha azimio la Arusha na kuanzisha azimio la Zanzibar. Karibu viongozi wengi ndani ya CCM walitumia madaraka yao katika kufanya biashara na kujilimbikizia mali kitu ambacho ni mwiko katika azimio la Arusha.
Sasa kwanini lawama zote ziwaende hawa watu watatu na wala si kwa CCM yote?. CCM ilibariki viongozi kujishughulisha na biashara. Ni sawa na mtu umevaa nguo zako bila ya kubadilisha kwa muda wa mwezi mzima, leo unavua na kubadilisha shati tu lakini soksi, chupi, suruali ni zilezile. CCM yote ni chafu hivyo inatakiwa kuondoka madarakani.