Hivyo vyombo unavyofikiri viko alert, yawezekana viko kwenye pay list yao.Mkuu Son of Peasant, usije jidanganya hata kidogo juu ya EL,RA na Chenge.
Wakicheza na JK hawajui wanachezea nini.
Madaraka ya Rais wa Jamhuri ni makubwa saana and they wont know what hit them.
Sasa hivi JK na Rais ni kitu kimoja, ndani ya Jamhuri sasa hivi si ajabu vyombo vyote viko alert kwa tishio lolote toka kwao.
Kama una uhusiano nao hawa jamaa washauri waende Dubai au Costa Rica kutoa madudu yao hadharani.
ahami mtu hapa.nchii hii ni ya watanzania wote pamoja na raslimali zake. Watanzania watabaki lakini ufisadi wa ccm lazima ukome kama nguvu zote. Watanzania wenye akili timamu hawaitaji ccm tena katika maisha yao
Hawa mapacha watatu (EL, AC + RA) wameishatoswa na jahazi linasonga mbele.
Wao na mapesa waliokwiba, hawawezi kumfanya lolote Mh. J.K na serikali yake.
Mh. JK songa mbele nasi kupitia nguvu ya UMMA tunakuunga mkono kwa maamuzi magumu ya kuwatosa hao jamaa. Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe........!
BANGE NA HAKA KAMVUA INAPANDA SANA
enjoy
JK angekuwa anakubaliana na nguvu ya umma wasingeweza lolote lakini JK sio muumini wwa falsafa ya nguvy ya umma sasa hao jamaa kwakweli uwezo, sababu, pesa nk wanavyo na hata nia wanayo... subiri uone huo mziki sijui kama hawa jamaa (Mkama na wenzake) wateweza kuucheza