Lowassa, Rostam sasa kuwasha moto

Inafika sehemu nashindwa kuelewa. Mara ya kwanza nilijua kuwa ccm wanafanya makusudi wanayoyafanya kumbe kichwani 0000 ziro. Sasa mmemsafisha mtu vizuri na kwenye kamati ya bunge ni kiongozi wa kamati nyeti. Alafu sasa mnamzingua Mzee Lowassa eti mnampa siku 90 kwa nini hamkufanya zengwe kama kawaida yenu mapema. Kama mlivyomfanyia Samwel Sitta wa nguvu mkamuweka Bi. Kiroboto ambaye sasa hivi anachanganya madesa tu bungeni. Yaani hata kama anatuhumiwa si vyema mkamdhalilisha kiasi hiki. Kwanza umemtangaza kwamba yeye ni safi, Pili mmemkabidhi kamati nyeti ndani ya bunge, Tatu mmevunja sekretariet mkamwondoa, nne huyo Manape manauyee anawazalilisha live, sas ndo nashangaa. Kwa nini hamkuwaaambia wafanye kimya kimya mpaka muwafanye hivyo mbele ya umati. Naanza kukumbuka statement moja kwenye History kuwa 'You are planting the root of your own destruction" Chiligati alikiri kuwa CCM inaambiwa ufisadi, EPA , sijui nini lakini haina ushahidi, sasa ngoja ushahidi ukitolewa na hao mapacha watatu watakapoonesha nani alichota mkwanja wa Kagoda, n.k. Japo ni sherehe ila nimjuavyo mzee Lowassa sasa hivi yuko anasema "nyie sawa tuuuu" "mtaona tuuu eheeeeeeee" kama mtoto aliyenyimwa bajia na wenzake na siku akipata na yeye bajia atalipiza kisasi ile mbaya' ngoja tuone.

CCM haina uwezo wa kumzingua Lowasa wala Rostam wakithubutu ujue ndio mwisho wao.
Dah!walipo ifikisha CCM kwakweli inatia huruma .............''Kikwete komaa nao ulinde heshima''.
 
Hakuna chochote hapo,...ni moja kati ya mipango ya kuwapumbaza watanzania!
Hivi JK kwa ubavu gani amchafue EL au RA?

Hapa wamekubaliana,watolewe kafara ili chama kisichafuke zaidi na naamini yote
yalo tokea EL,RA,CH wali husishwa na waka ridhia!

Wizi mtupu,hatu danganyikiiii
 
hawa ndiyo waliomuweka jk mjengoni,mbinu zote za kimafia wanazijua,`system`yote wanaijua nao wako ndani,kosa kubwa sana walilofanya ccm,siwatetei mafisadi ila chama ndiyo kilichowajenga hivyo tusubiri tuone moto ukiwaka na cheche zake ni mbaya kupita kiasi.usimwone kobe kainama kakaa kimya anatunga sheriaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Hatoswi mtu hapo, Jakaya ni tunda la kazi za Lowassa na Rostam; bila ya hao wawili hakuna Kikwete wala Rais wa Tanzania!! Hawa jamaa wana uwezo wa kuingusha serikali ya Tanzania na hili lilikwishathibitishwa na Pinda bungeni aliposema kuwa anawaogopa hawa mafisadi kwani wana uwezo wa kuiyumbisha nchi!! Watch out those are words from the PM uttered in parliament!
 
Hawa mapacha watatu (EL, AC + RA) wameishatoswa na jahazi linasonga mbele.

Wao na mapesa waliokwiba, hawawezi kumfanya lolote Mh. J.K na serikali yake.

Mh. JK songa mbele nasi kupitia nguvu ya UMMA tunakuunga mkono kwa maamuzi magumu ya kuwatosa hao jamaa. Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe........!
 
Matatizo ya ccm ni zaidi ya ufisadi wa lowassa, chenge, na rostam. CCM imeoza tangu mjumbe wa nyumba kumi, wale wanauza ardhi ya watu maskini. Mfumo mzima wa CCM ni ufisadi. hata wabunge wake wote walichaguliwa na wanaccm wenzao kwa kutoa rushwa. Kupambana na hao watatu tuu ni kiini macho tuu. Nashauri CCM ifutwa alafu wale waadilifu waunde chama kingine kipya. CCM ya sasa haisafishiki, ufisadi umeota mizizi kwa miaka mingi. Ni sawa na nguo iliyochakaa sana, ikiendelea kufua inararuka vipande vipande. Ni heri ukaitupa mbali, au ukachoma moto then ukanunua nyingine.

CCM ifutwe, na wale waadifu waundee ccm nyingine.
 
CCM haitishiki na hicho unachokinadi leo,hao ni sehemu ndogo tu ya wanachama.Kama umafia hauko kwa Lowasa,Chenge wala huyo fisadi ambaye nyinyi kwa utashi wenu mnadhani ni Tishio.Kumbuka vita hii si ya chama pekee,itahusisha serikali na Wananchi pale hao unaodhani ni bora kwako watataka kugusa maslahi ya Taifa.

Narudia tena,nyie wenye kutaka kula Wachukueni na hao wawe timu ya ushindi kwenu.Hapa hakuna vita ya panzi wala ulaji wa kunguru.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
CCM haiwezi kufutwa na itadumu kuongoza nchi hii ya Tanzania, kama huipendi CCM hama nchi hii.
Matatizo ya ccm ni zaidi ya ufisadi wa lowassa, chenge, na rostam. CCM imeoza tangu mjumbe wa nyumba kumi, wale wanauza ardhi ya watu maskini. Mfumo mzima wa CCM ni ufisadi. hata wabunge wake wote walichaguliwa na wanaccm wenzao kwa kutoa rushwa. Kupambana na hao watatu tuu ni kiini macho tuu. Nashauri CCM ifutwa alafu wale waadilifu waunde chama kingine kipya. CCM ya sasa haisafishiki, ufisadi umeota mizizi kwa miaka mingi. Ni sawa na nguo iliyochakaa sana, ikiendelea kufua inararuka vipande vipande. Ni heri ukaitupa mbali, au ukachoma moto then ukanunua nyingine.

CCM ifutwe, na wale waadifu waundee ccm nyingine.
 
Hatoswi mtu hapo, Jakaya ni tunda la kazi za Lowassa na Rostam; bila ya hao wawili hakuna Kikwete wala Rais wa Tanzania!! Hawa jamaa wana uwezo wa kuingusha serikali ya Tanzania na hili lilikwishathibitishwa na Pinda bungeni aliposema kuwa anawaogopa hawa mafisadi kwani wana uwezo wa kuiyumbisha nchi!! Watch out those are words from the PM uttered in parliament!

Ni ukweli mtupu, yote hapo kwenye red ni KWELI NA NAKUBALIANA NAWE 100%
 
ccm haiwezi kufutwa na itadumu kuongoza nchi hii ya tanzania, kama huipendi ccm hama nchi hii.

ahami mtu hapa.nchii hii ni ya watanzania wote pamoja na raslimali zake. Watanzania watabaki lakini ufisadi wa ccm lazima ukome kama nguvu zote. Watanzania wenye akili timamu hawaitaji ccm tena katika maisha yao
 
Hawa mapacha watatu (EL, AC + RA) wameishatoswa na jahazi linasonga mbele.

Wao na mapesa waliokwiba, hawawezi kumfanya lolote Mh. J.K na serikali yake.

Mh. JK songa mbele nasi kupitia nguvu ya UMMA tunakuunga mkono kwa maamuzi magumu ya kuwatosa hao jamaa. Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe........!

BANGE NA HAKA KAMVUA INAPANDA SANA

enjoy
 
sasa mnaambiwa mapacha watatu wanapiga online meeting usiku na mchana wanataka kumngoa JK,kama JK ni kidume atangaze kuwafukuza aone cha mtema kuni
 
Hawa mapacha watatu (EL, AC + RA) wameishatoswa na jahazi linasonga mbele.

Wao na mapesa waliokwiba, hawawezi kumfanya lolote Mh. J.K na serikali yake.

Mh. JK songa mbele nasi kupitia nguvu ya UMMA tunakuunga mkono kwa maamuzi magumu ya kuwatosa hao jamaa. Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe........!

Nakwambia JK mbele ya EL hana ubavu na tukiwapima kiungozi ukiachilia mbali uovu wa EL,EL anjua leadership na anasimamia kauli zake.EL alijitahidi sana kumsaidia JK kuwa hapo alipo,sote tunajua.Acha tuone mpambano utaishia wapi.
 
nakubaliana na wewe ila wote JK na hao mapacha watatu ni MAJOKA na wamejitambulisha kuwa ni majoka na yamevua gamba kwa mara ya kwanza tokea chama chao kimeundwa sasa sisi kazi yetu ni kuua nyoka kwa kuwagonga kichwani
 
ukimwaga ugali na mimi namwaga mboga ukinizingua na mimi nakuzingua akikupiga ngumi ya sikio na wewe mpige ya jicho akikuliza unajisikiaje na wewe muulize umeionaje
 
Hakuna chochote hapo,...ni moja kati ya mipango ya kuwapumbaza watanzania!
Hivi JK kwa ubavu gani amchafue EL au RA?

Hapa wamekubaliana,watolewe kafara ili chama kisichafuke zaidi na naamini yote
yalo tokea EL,RA,CH wali husishwa na waka ridhia!

Wizi mtupu,hatu danganyikiiii

Mheshimiwa Speaker hoja yako ina mantik!
 
Hahahahahaaaa siasa za bongo raha kweli aisee. Sasa hawa jamaa wanaitwa triplets kama wale akina Khalid Chokoraa na wenzake.....
 
From Boys II Men to Mapacha Watatu, haya Mramba nae kundi gani?Zakia Meghji nae? mbona yako magamba meengi tu na hawatuambii muarabu wa Dowans kalipwa au hajalipwa?
 
nakumbuka sentensi ya kwanza JK alipoingia madarakani alisema URAIS HAUNA UBIA!
 
Back
Top Bottom