Lowassa, Rostam sasa kuwasha moto

Hahahahahaaaa siasa za bongo raha kweli aisee. Sasa hawa jamaa wanaitwa triplets kama wale akina Khalid Chokoraa na wenzake.....

Bongo noma mm nikataka kumpalamia mtoa mada kwamba heading inaonekana imekaa kiburudani kama si kimuziki how come anaiweka kwenye siasa? Niliposoma nikagundua mm ndio nina makosa.

Anyway, mimi ninakubaliana 100% na wanaosema jk hana jeuri ya kuwatosa hao mapacha wa3. Hili liko so obvious hata kama hufuatilii sana siasa za bongo hutalipinga hilo. Kuwatosa mapacha wa3 kwa jk ni sawa kabisa na kuvaa bomu kujilipua kitu ambacho hajawahi kufanya na hatakuja kufanya hata siku moja.Huo mshipa hakuumbwa nao bahati mbaya.
 
hawa ndiyo waliomuweka jk mjengoni,mbinu zote za kimafia wanazijua,`system`yote wanaijua nao wako ndani,kosa kubwa sana walilofanya ccm,siwatetei mafisadi ila chama ndiyo kilichowajenga hivyo tusubiri tuone moto ukiwaka na cheche zake ni mbaya kupita kiasi.usimwone kobe kainama kakaa kimya anatunga sheriaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

usisahau mwenzao ana vyombo vya dola vinavyopokea na kutii amri.
 
Pamoja na kuwa CCM imeoza kwakuacha uadilifu nakuamua ku institutionalize rushwa na unethical practice za biashara lakini wapo ambao wali over do na hawa ushahidi umekuwepo hapa JF kila grand corruption walihusika na mbaya zaidi wanataka hadi kumiliki na power ili waendelee kutunyonya na ku dictate kila kitu as if wao tu ndo watanzania nchi hii. Acha tuanze nao hawa ambao ni main roots hao subsidiary roots na branches watakufa tu mzizi mkuu ukikatwa.
Tatizi la CCM haliletwi na watu watatu hata wakiwatoa haitasaidia badala yake watazidisha mpasuko, tatizo ni kuiacha misingi waliyojiwekea kuwa CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi (wanyonge), mfano kuvunja maazimio ya azimio la Arusha CCM ilipo sasa chama kumilikiwa na wafanyabiashara ni matokeo ya ukengeufu huo. Kinachotakiwa CCM si kuwatimua tu mafisadi bali kukipeleka chama chini kwenye ground level kwa wenye chama wanachama wa kawaida kwa mfano wao pia washiriki kuchagua wajumbe wa NEC si kuteuliwa nk.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
From Boys II Men to Mapacha Watatu, haya Mramba nae kundi gani?Zakia Meghji nae? mbona yako magamba meengi tu na hawatuambii muarabu wa Dowans kalipwa au hajalipwa?

mimi pia najiuliza hilo swali, hili gamba isije ikawa ni kiini macho watu wakalipwa mihela yao, sisi tukabaki tunazozana hapa gamba gamba!!!
 
TAARIFA KUTOKA KWA MTU WA KARIBU NA EL

MAPACHA WATATU EL,AC NA RA ,WAMEKUWA WAKIFANYA VIKAO KWA SKYPE TOKEA TAMKO LA CHAMA LA KUTAKA WAACHIE NAFASI ZAO,MPASHAJI ANASEMA MAPACHA HAO WAMEKUWA WAKIFANYA ONLINE MEETING KILA SIKU KWA ZAIDI YA MASAA SABA KWA KUTUMIA SKYPE KWANI WAMEKUBALIANA WASIKAE PAMOJA KUTOKANA NA TISHIO LA KUWAUA AMBALO MMOJA WAO ALILINASA KUTOKA KWA SHUSHUSHU WAKE AMBAYE NI MMOJA WA VIONGOZI WA VIJANA WA CHAMA CHA MAGAMBA ALIYEWEKWA KWENYE MPANGO HUO NA CHAMA HICHO CHA MAGAMBA

MY TAKE;hawa mapacha wanajipanga kujibu mapigo na kuufutilia mbali utawala wa JK;;,UWEZO WANAO,SABABU WANAZO NA NGUVU WANAYO.

NGOMA INOGILE,VITA VYA PANZI KUNGURU TWALAAAA

Imenikumbusha kauli ya IGP Mwema kuwa mafisadi waliopo nchini sio mchezo, mkiwakamata nchi inaweza kulipuka. Sasa ngoja tuone kitakachotokea. Rafiki yangu mmoja ameniambia kuwa jumla ya mafiisadi walengwa ni 90.

Nchi itawaka moto. Mimi natabiri kifo cha CCM.
 
afukuzwi mtu pale hizi ni propaganda za kuwasahaulisha wananchi mgawo wa umeme, mfumuko wa bei, na wizi wa kula walioufanya ccm katika uchaguzi. nafikiri tuwe wazalendo wa kutosahau matatizo yetu kwa vitu vya kupita.
 
Huu ni mwendelezo wa sinema wanayotuonyesha Chama Cha Magamba. Ulishawahi kuona wapi mtu anatoswa kwa kubebembelezwa? Ulishaona wapi mtu anayekata mkono unaomlisha? Nina hakika hata akina Nape wanacheza ngoma wasioijua. Wanapiga makelele majukwaani bila kujua kuwa gamba ni Mzee mwenyewe! Hivyo vikao hata Bwana Mkubwa Kabisa anahudhuria. Alivyo dhaifu, masikiini hajui hata cha kufanya, anabaki anaugilia moyoni

jana katika moja ya post zangu humu nilisema nape na mwenzake januari mda wao wa kupiga kelele ni ndani ya siku hizi 90 walizopeana......kikwete amecheza mchezo mbaya sana na kibaya zaidi siku hizi hakuna usalama wa taifa......wengi wao sasa watanunuliwa na hawa mapacha na kama kuna mpango dhidi yao lazima jamaa wataujua tu.......ndio maana tunasema mbinu za jk kuwaondoa hawa jamaa ni za kiajabu kweli na hazina ujasiri.........kama umedhamilia kweli medhamilia naangetoa msimamo wa chama pale na sio ndani ya siku 90.......amewapa mda mrefu sana wa kujipanga nakuficha pesa zao huko nje.......aliambiwa mwaka jana awatose wakati wa kampeni yeye akauthibitishia umma kuwa wako safi....leo anawatosa wazima namna hiyo........hakina nakwambia jua limeshazama na atautwanga ukiwa mbichi hivyo hivyo

 
jana katika moja ya post zangu humu nilisema nape na mwenzake januari mda wao wa kupiga kelele ni ndani ya siku hizi 90 walizopeana......kikwete amecheza mchezo mbaya sana na kibaya zaidi siku hizi hakuna usalama wa taifa......wengi wao sasa watanunuliwa na hawa mapacha na kama kuna mpango dhidi yao lazima jamaa wataujua tu.......ndio maana tunasema mbinu za jk kuwaondoa hawa jamaa ni za kiajabu kweli na hazina ujasiri.........kama umedhamilia kweli medhamilia naangetoa msimamo wa chama pale na sio ndani ya siku 90.......amewapa mda mrefu sana wa kujipanga nakuficha pesa zao huko nje.......aliambiwa mwaka jana awatose wakati wa kampeni yeye akauthibitishia umma kuwa wako safi....leo anawatosa wazima namna hiyo........hakina nakwambia jua limeshazama na atautwanga ukiwa mbichi hivyo hivyo

sahihi mkuu,kweli hii ngoma tamu wapambane mpaka mwisho ikibidi wauane nani anataka mafisadi hapa,wafie mbali
 
Mkuu Son of Peasant, usije jidanganya hata kidogo juu ya EL,RA na Chenge.
Wakicheza na JK hawajui wanachezea nini.
Madaraka ya Rais wa Jamhuri ni makubwa saana and they wont know what hit them.
Sasa hivi JK na Rais ni kitu kimoja, ndani ya Jamhuri sasa hivi si ajabu vyombo vyote viko alert kwa tishio lolote toka kwao.
Kama una uhusiano nao hawa jamaa washauri waende Dubai au Costa Rica kutoa madudu yao hadharani.

natema mate chini mkuu.....jk hana ujasiri huo hata chembe.....labda hawa mapacha waamue kufa kifo cha huruma (eutanesia death)maana yake wafe kwa wakati mmoja, sababu za vifo zisijulikane, mda wa kufa usijulikane, na eneo liwe la mahali pamoja hapo ccm na jk atawini...lakini kwa ninavyomjua chenge na aziz hakika hawatakubali.......lazima ataropoka tu
 
EL,AC NA RA bado wanatamani madaraka ya kisiasa hawawezi kuachia mkate wao kirahisi lazima watapambana na JK mpaka mwisho

HAPA NI PATAMU SANA SISI TULIO NJE TUENJOY MAGAMBA YAKIVULIWA NA KUVALISHWA KWA UWAZI NGOJA SIKU 90 SIO NYINGI
 
Ama kweli watz bado sana, hawa Ccm wanakuja na thread zao hapa jamvin ili kuatract G thinker, mnaweza kufanikisha plan yenu. Ila mtawapata wachache
 
Ama kweli watz bado sana, hawa Ccm wanakuja na thread zao hapa jamvin ili kuatract G thinker, mnaweza kufanikisha plan yenu. Ila mtawapata wachache

sasa wewe umesoma yote mpaka hapo umeamua kukosoa kama kweli unafikiri zaidi yao usingefungua hapa kabisa MAPACHA WATATU NI KWELI WANA MPANGO MKAKATI MZITO NA HUENDA CHAMA CHA MAGAMBA KIKAWAKA MOTO SOON
 
Back
Top Bottom