Lowassa, Pesa unazozitumia hivi sasa utazirudishaje?

Lowassa, Pesa unazozitumia hivi sasa utazirudishaje?

Kuna hotuba moja ya Nyerere, alisema ukioana mtu anatumia pesa ili aingie Ikulu muogopeni kama ukoma. Sasa haya mambo nayashuhudia kupitia Lowasa, siongelei pesa alizotawanya makanisani, leo naongelea pesa anazotumia kwa ajili ya kampeini za chini kwa chini. Amefadhili vikundi vya kutunga nyimbo za kumsifu, nyimbo hizi zimesambazwa kwa njia ya Watsap, hata mimi nilitumiwa. Pia kupitia mitandao, unaweza kuona pop up unapojiunga na internet, ni kama matangazo hivi yanayomsemea Lowasa. Ni dhahili kwamba mambo yote haya yanatumia pesa, sasa naanza kukumbuka ile kauli ya Nyerere ambayo nimeanza nayo hapo juu

= dhahiri
 
Mbona mimi sijawahi kukutana na hizo pop ups?am not a fan of Lowassa ila natamani mumuengue and see the consequences
 
si ajabu, anatoka mgonjwa mmoja anaingia mwingine

Soggy Doggy Hunter alishasema nchi ina usingizi... na huo ndio ugonjwa wetu

Ugonjwa na maradhi huzidiana, mtu anaonekana wazi kabisa kuongea hawezi, hapo sasa itakuwa pesa ni mshenzi au mpokea ndiyo mshenzi?
 
Eti uhadirifu,eti mamburura nayo yanafikiri yanayo hadhi ya kumjadili Lowassa!
 
Ugonjwa na maradhi huzidiana, mtu anaonekana wazi kabisa kuongea hawezi, hapo sasa itakuwa pesa ni mshenzi au mpokea ndiyo mshenzi?

ni kweli kabisa, wapo wengine walianguka hadharani na kufanyiwa passuaji kubwa wakiwa nyumba nyeupe, achilia mbali makwekwe ya misimu
 
mbona hamuuliz kuhusu chadema hakuna kampeni isiyotumia pesa tuwe tunafikiri kwanza swali hilo waulizen wagombea wote akiwemo slaa
 
Hili ndo tatizo LA watu wenye akili ndogo.kutwa hukaa kumjadili MTU.yaaan ni aina za tabia ambazo ni za kike kike.hivi MBNA hamuwahoji hapo wengine wanaotoa misaada kila siku kua watarudishaje??hivi lowasa pekee kutoa msaada ndo imekua habari ya mjini???MBNA haujahoji amezipataje???wachaga umbea na kuchafua chafua watu kama mwanamke Malaya aliekimbiwa na bwanake.mnakela sana.kila siku lowasa lowasa.ngoja aingie ikulu mtaenda kuishi uamishoni somalia..time will tell na mtajibeba!!

Kwa hiyo na wewe una tabia za kike kike kuwajadili wanaomjadili Lowasa?
 
Binadamu siku zote hufanya mahesabu kabla ya kufanya jambo lolote lile. Hakuna binadamu anayefanya jambo ilimradi tu, ukiona binadamu anafanya jambo ujue ana mategemeo fulani.

Kuna dalili zote kuwa ndugu Lowasa anataka kugeuza uraisi ni biashara. Kwamba ukiwa na mtaji wa laki mbili baada ya biashara kufanyika utakuwa na laki tano.

Lowasa, hizo pesa unazozitumia utarudisha vipi?

Nikipata majibu ya kuridhisha ya hili swali nakuhakikishia kukupa kura yangu pamoja na watu wote wanaonizunguka.

Hizo pesa utazirudishaje?

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

ccm nzima umemuona lowassa tu mnavyoweweseka naye ngoja achukue nchi mgeuke wakimbiz ccm inabid mpambane na wez wote co lowassa tu.
 
Last edited by a moderator:
mbona hamuuliz kuhusu chadema hakuna kampeni isiyotumia pesa tuwe tunafikiri kwanza swali hilo waulizen wagombea wote akiwemo slaa
hii mada inahusu hizo pesa Lowasa anazogawia watu atazirudisha vipi
 
Ataemuingiza mgonjwa Ikulu na yeye ni mgonjwa.

ugonjwa huko wapi wakati mkuu anamkubari kuwa hawakukutana barabarani ni lazima afate nyayo
11080949_651468951647155_7472427758435633200_n.jpg
 
Tatizo la wabongo mnapenda sana umbea na fitina,wengine Lowassa hamjawahi hata kumwona kwa ukaribu hata wa mita 100 zaidi ya kuona picha zake kwenye magazeti na kwenye TV.Unaposema Lowassa anatumia fedha si useme pia ametumia kiasi gani hadi sasa?Otherwise wewe ni mzushi,mchimvi na hauko serious na kila jambo unalotenda au unalosema,na kwanini basi uchague kuwa mtu wa hovyo kiasi hicho?!!!
Pili,hata kama anatumia hela,wewe kinakusumbua kitu gani,si za kwake?Roho zinawauma kwa mambo ya mtu,si mfanye yenu?Mbona Membe amesema ana timu yake inazunguka mikoani na mwezi huu watampa taarifa,wao wanatumia mawe?Shame on you
Mhza
we ----- nini kama Hela zake zinamtekenya si akanunuwe ng'ombe kwanini anunue urais?
O
 
Back
Top Bottom