nitajie mwingine nchi hii aliyetoa rushwa ya bil 7 ?
Ifafanue zaidi io bil7
nitajie mwingine nchi hii aliyetoa rushwa ya bil 7 ?
Binadamu siku zote hufanya mahesabu kabla ya kufanya jambo lolote lile. Hakuna binadamu anayefanya jambo ilimradi tu, ukiona binadamu anafanya jambo ujue ana mategemeo fulani.
Kuna dalili zote kuwa ndugu Lowasa anataka kugeuza uraisi ni biashara. Kwamba ukiwa na mtaji wa laki mbili baada ya biashara kufanyika utakuwa na laki tano.
Lowasa, hizo pesa unazozitumia utarudisha vipi?
Nikipata majibu ya kuridhisha ya hili swali nakuhakikishia kukupa kura yangu pamoja na watu wote wanaonizunguka.
Hizo pesa utazirudishaje?
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
Lowasa akiwa Rais nitajiunga rasmi na kina Kiranga na Nyani Ngabu kutoamini uwepo wa Mungu maana huyo atakuwa Mungu Kanjanja tu na mimi siwezi kuabudu kanjanja anayeweza kubaliki mateso kwa viumbe wake, maana tumeaminishwa Mungu ni muweza wa vyote. Mimi namsubili ajidhihirishe.
Hana haja ya kurudisha maana anatoa alichonacho kusaidia watanzania,huyu ndie kiongoz anayelifaa taifa letu kwani anajali na hana ubinafsi
Binadamu siku zote hufanya mahesabu kabla ya kufanya jambo lolote lile. Hakuna binadamu anayefanya jambo ilimradi tu, ukiona binadamu anafanya jambo ujue ana mategemeo fulani.
Kuna dalili zote kuwa ndugu Lowasa anataka kugeuza uraisi ni biashara. Kwamba ukiwa na mtaji wa laki mbili baada ya biashara kufanyika utakuwa na laki tano.
Lowasa, hizo pesa unazozitumia utarudisha vipi?
Nikipata majibu ya kuridhisha ya hili swali nakuhakikishia kukupa kura yangu pamoja na watu wote wanaonizunguka.
Hizo pesa utazirudishaje?
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
Mkuu, kwa leo unapaswa kupunguza ukali wa maneno ili usilazimike kuzaliwa upya kama ulivyofanya tarehe 24 AgostiHuo ni msaada,sio mkopo kaa kimya
duh!
Eeee bhana eeee !
Wewe hebu acha kucheka kama manguberi wenzio walioko bunge la katibaHa ha ha ha ha ha langu jicho wakuu make hii hali inatisha.
Hii kufulu kwani!kwani Mungu hupanga yalio mema tu?
mtake msitake lowasa ndio rais ajaye