Lowassa, Pesa unazozitumia hivi sasa utazirudishaje?

Lowassa, Pesa unazozitumia hivi sasa utazirudishaje?

Lowassa like mshipa wa Chn like nduli like fisadi like all ccm like change like ijukatiba like the kila like mwizi wa kalamu like Mobutu.likes ikulu na c watanzania
 
UK Nyerere quoted anaetaka kwenda ikulu kwa Pesa muogope kama ukoma.embu tuangalie ukoma ukoje.huu ugonjwa ni sawa name kutu inavyokula chuma alike wenyewe unakula vidole Vila huruma na ujue hakuna duka la vidole.mwanasiasa Huyu alimaanisha kidonda kitokanacho na mnunua madaraka hakiponi mpaka MTU anapokufa an anaenda Nao.watanzania wenzangu tuepuke ukoma PRECAUTION IS BETTER COZ LIPROSY CANT BE CURED
 
hivi ikitokea amekosa huo urais itakuwaje?!
najaribu tu kufkiria jamani
 
Hizi Pesa anazomwaga lowasa tukimchagua tumekwisha mana ataanza kurudisha Pesa zake ndo aanze kuwatumikia wananchi shauli yenu
 
Mnaweweseka sana. Oktoba mtaharisha. Naona wote mmepatwa na kipindupindu cha mdomo.
 
Wago wago sijui una mkataba nae mana unavyomtetea.hatumtaki rahisi wa kununua madaraka we kama unakula kwake kimpango wako habari ndo hiyo.
 
Naungana na wewe kumchagua lowasa ni sawa na kuchagua kitanzi cha kutunyonga kwanza mwizi,anaroho mbaya nenda monduli utashangaa wanamuogopa siyo kumheshimu ukihoji kuhusu Lowasa utapata matatizo makubwa sana.

Dah hili nilipata bahati ha kulisikia huko. Ukweli Kama mtu angelikuwa na uwezo wa kufahamu nini mtu anawaza juu yako basi haya yote yasingetokea
 
Wanajamiforum nimejaribu kuzisoma sifa kumi na tatu (13)anazotakiwa kuwa nazo mgombea kusudi aweze kupewa kijiti cha kuwania Urais kupitia CCM.Mimi mara baada ya kuzisoma nimeona ni mmtiania mmoja tu mpaka sasa kwa ambao wameshatia atakayepata point kuanzia 12 na kwenda juu au zoote. Sipendi kumtaja jina ila naomba mzisome pengine mnisaidie Mimi na wengine.Maskini wengi wao watashindwa na vipengele muhimu na vipengere vitakavyowapiga nchini ni kipengere number 6 na number 11.Nawalilisha. Tufanye uchambuzi na kutaja majina sio kishabiki
 
hivi ikitokea amekosa huo urais itakuwaje?!najaribu tu kufkiria jamani
mkuu Liky, kwanza wapambe lazima watawanyike kwani kuna kudaiwa, Halafu akhera itakuwa haiepukiki,
 
Mnaelewa maana ya SHINDU NAMWAKA?
Nimetumia kabila la kimwera maana yake -kitu mwaka huu- nyie mnaemshabikia lowasa kama yeye ndo Mwenye nnchi hii mutaona anavyotaka kupigwa chini tuombe uzima.....
 
Tupe ushahidi wa kutosha kuhusu pesa alizotumia Lowassa, kama upo kwenye kamati ya kugawa pesa tupe uhakika.
 
c mtakamliwa nyie ngoja wajinga wasimamishe maskio na kumshangilia km mszuzu mwisho wa cku walia!wana macho hawaon, ns maskio wanayo lakin hawaskii. MUNGU awafanyeje sasa au awpe nini sasa!.
 
Alikozitoa unapajua? Kila mtu anatumia hela hadi madiwani ila lowassa ndo hela zake zinaonekana za tofauti....uoga huo
 
Back
Top Bottom