Lowassa, Pesa unazozitumia hivi sasa utazirudishaje?

Lowassa, Pesa unazozitumia hivi sasa utazirudishaje?

Kwanza ni tamaa ya madaraka,pili ni kutaka kutuachia msiba wa kitaifa bila sababu za msingi kampeni yenyewe sijui kama atamaliza salama.


Bora akae hata siku kumi tu, kuliko kumchagua mtu dhaifu sana sana kama Membe......mtaani wanakuambia bora Wema Sepetu kuliko Membe kuwa rais wa nchi hiiiiiii....
 
Lowasa akiwa Rais nitajiunga rasmi na kina Kiranga na Nyani Ngabu kutoamini uwepo wa Mungu maana huyo atakuwa Mungu Kanjanja tu na mimi siwezi kuabudu kanjanja anayeweza kubaliki mateso kwa viumbe wake, maana tumeaminishwa Mungu ni muweza wa vyote. Mimi namsubili ajidhihirishe.
Heeeee!! hii ni funga kazi mkuu.Nakusapoti mia kwa mia.
 
Last edited by a moderator:
Ushabiki wakijinga sana huu,yan huyu Matola anafikia hatua yakumkufuru mungu!Laa haulaa!

Huyo mungu wa kutuletea mateso kwa miaka mingine mitano huyo ni mungu wako ni kanjanja tu.
 
Last edited by a moderator:
Bora akae hata siku kumi tu, kuliko kumchagua mtu dhaifu sana sana kama Membe......mtaani wanakuambia bora Wema Sepetu kuliko Membe kuwa rais wa nchi hiiiiiii....

mtaumizana bure jamani , rais ajaye atatokana na UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI .
 
Ushabiki wakijinga sana huu,yan huyu Matola anafikia hatua yakumkufuru mungu!Laa haulaa!

naungana na matola katika hili , MUNGU WA KWELI HAWEZI KUSAIDIA FISADI , BALI ATAMPOROMOSHA vibaya sana ! MUNGU HAJAWAHI KUFAGILIA WEZI .
 
Last edited by a moderator:
Kwanza ni tamaa ya madaraka,pili ni kutaka kutuachia msiba wa kitaifa bila sababu za msingi kampeni yenyewe sijui kama atamaliza salama.

Mbona kikwete alimaliza kampeni pamoja na kudondokadondoka kwake usipende kugeneralize vitu.Kampeni kumaliza atamaliza na nchi atachukua tu.
 
Unakaa kumchafua baba wa watu mtu mwenyewe sio mpiga kura....kama hafai waachie wenyewe watajjua nani anafaa...ningekuwa mchawi ningekutokea leo usiku
 
Binadamu siku zote hufanya mahesabu kabla ya kufanya jambo lolote lile. Hakuna binadamu anayefanya jambo ilimradi tu, ukiona binadamu anafanya jambo ujue ana mategemeo fulani.

Kuna dalili zote kuwa ndugu Lowasa anataka kugeuza uraisi ni biashara. Kwamba ukiwa na mtaji wa laki mbili baada ya biashara kufanyika utakuwa na laki tano.

Lowasa, hizo pesa unazozitumia utarudisha vipi?

Nikipata majibu ya kuridhisha ya hili swali nakuhakikishia kukupa kura yangu pamoja na watu wote wanaonizunguka.

Hizo pesa utazirudishaje?

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Team Juliana Shonza and co mna kazi! Naona mmesakiziwa kwa Lowassa kama mbwa... kazi yenu ni kubweka tu...
 
Kuna hotuba moja ya Nyerere, alisema ukioana mtu anatumia pesa ili aingie Ikulu muogopeni kama ukoma. Sasa haya mambo nayashuhudia kupitia Lowasa, siongelei pesa alizotawanya makanisani, leo naongelea pesa anazotumia kwa ajili ya kampeini za chini kwa chini. Amefadhili vikundi vya kutunga nyimbo za kumsifu, nyimbo hizi zimesambazwa kwa njia ya Watsap, hata mimi nilitumiwa. Pia kupitia mitandao, unaweza kuona pop up unapojiunga na internet, ni kama matangazo hivi yanayomsemea Lowasa. Ni dhahili kwamba mambo yote haya yanatumia pesa, sasa naanza kukumbuka ile kauli ya Nyerere ambayo nimeanza nayo hapo juu
 
FaizaFoxy mswahili fanya kazi yako hapo ktk kichwa cha habari kama Babu Kifimbo Cheza wa gazeti la Sani.
 
Last edited by a moderator:
Wa Tz cku zote sio watu wa kufikiri kama mtu ana tumia hela nyingi kwenye kampeni muwekeeni ? Maana izo pesa ana weza akawa ame zaminiwa na wazungu sasa fikiri akipa iko cheo izo hela ata rudishaje?
 
Back
Top Bottom