Lowassa ni zaidi ya Rais, Vivuko vyote kutoa huduma bure

Lowassa ni zaidi ya Rais, Vivuko vyote kutoa huduma bure

Hata umeme ni huduma, maji pia, zahanati na elimu pia, hata kula chakula majumbani kwetu ni huduma, kila kitu ni huduma!Iam just expanding your thoughts, akili za bavicha hizi lazima!Mtaomba mpaka hela za kuchepukia mwaka huu

Ungekuwa unaishi Kigamboni ungefahamu kwanini raia wa kawaida wanatamani kivuko kiwe bure. Pale ferry ukishakuwa Government Officer au ukiwa kwenye gari yenye namba za STL, DFPA, JW au SU basi hutakaa kwenye foleni na unavuka bure, sasa wanaokulipia kuvuka ni nani?
 
Jamani Kuna Nyimbo Mpya Katoa "Chidi Benzi" Inamaudhui Ya Kumjibu "Roma" Mwenye Link Anitumie Plz
 
haaaah kumbe ccm ni wapinzani wazuri hivyo!!!!!! i wonder y mnang'ang'ana kuwa chama tawala ili hali mnafaa kuwa wapinzani , bt not bad practise makes permanent tutaelewana tu after 25
 
Nenda kenya kaone mwenyewe pale likoni watuwanavuka free without any payment, sio watu pikipiki, mikokoteni ni free tozo ya magari ipo chini sana.

Tujifunze kwa wezetu
 
Lile Daraja Linalojengwa Ni La Wap?

Hizi ndiyo kauli za watu waswahili na wavivu kutenda.

-upembuzi

-upembuzi yakinifu

-mchakato

-makadirio

-drafti ya kwanza na zitafuta zingine

-wataalam kutoka china watakapokuja...

-budget ikiruhusu

-tunasubiri msaada tulioahidiwa

-geologist wanaendelea na utafiti

Nk nk nk nk

Sijuwi walianza lini na sijuwi watamaliza lini?

Tuambie litakamilika lini?
 
Hizi ndiyo kauli za watu waswahili na wavivu kutenda.

-upembuzi

-upembuzi yakinifu

-mchakato

-makadirio

-drafti ya kwanza na zitafuta zingine

-wataalam kutoka china watakapokuja...

-budget ikiruhusu

-tunasubiri msaada tulioahidiwa

-geologist wanaendelea na utafiti

Nk nk nk nk

Sijuwi walianza lini na sijuwi watamaliza lini?

Tuambie litakamilika lini?

litakamalika lini mimi sio mhandisi lakini si limeanza kujengwa au halijaanza??afu kuhusu hizo process ni kawaida hata ukitaka kuoa kuna process vilevile...
 
Watz na siasa za chifu mangungo. Wape peremende wakupe almasi! Kweli watu wamechoka kufikiri
 
Asante Mzee wa kila kitu bure hata km unataka kitu tumia kupunguza thaman na si kusema tu bure,kwa tz wengi tutaona ni ahadi hewa mzee na hautoaminika.
 
lowasa ndio alikua anaiendesha ccm sasa ivi hayuko ccm inayumba hakuna mtu mwenye maono ndani ya ccm tena waliobaki wote ni sawa na makamba hii ni aibu kwa ccm
 
Wakati wote akiwa Waziri Mkuu na aada ya hapo vivuko vimekuwepo. Na nchi zte duniani vivuko vinalipiwa. Ni sawa na kusema kuwa Maji ni hiaji la lazima kwa kila mtu na hivyo inapaswa yatolewe bure. Watu wanaopenda vya bur utawajua tu.


Kama jambo ulifahamu usikurupuke kutoa conclusion!

The Likoni Ferry is a boat service across the Kilindini Harbour, serving both the island city of Mombasa and the Kenyan mainland town of Likoni. Two - four double-ended ferries alternate across the harbour, carrying both road and foot traffic. The ferries are operated by the Kenya Ferry Services (KFS), and is the only remaining ferry service by KFS. The Likoni ferry started operating in 1937. Passenger services are free while vehicles, tuktuks and motorcycles have to pay a ferry toll.
The Mombasa side terminal of the Likoni line is located at the southern end of the Mombasa Island. The distance of the line is about 500 metres.
 
Mwambie Lowassa Na Daladala Tupande Bure Nazo Maana Nazo Ni Kama Daraja Kutoka Majumbani Kwetu Mpaka Ofisini......!!!
Umekosa point. Uwezo wa watu ccm kufikiri ni mdogo sana. Mnatamani na hiyo sera muige
 
Wakati wote akiwa Waziri Mkuu na aada ya hapo vivuko vimekuwepo. Na nchi zte duniani vivuko vinalipiwa. Ni sawa na kusema kuwa Maji ni hiaji la lazima kwa kila mtu na hivyo inapaswa yatolewe bure. Watu wanaopenda vya bur utawajua tu.
Mkuu umerudi lini kutoka kwenye kampeni? N aDR.slaaha ameisharudi?
 
Nyingine bure hizi!!!!

Amsterdam's ferries provide essential, free connections across the River IJ for pedestrians, cyclists and mopeds. Many of these blue-and-white ferries can be found directly behind Amsterdam Central Station, providing a frequent and free service across the water to and from Amsterdam Noord
 
Back
Top Bottom