Lowassa ni zaidi ya Rais, Vivuko vyote kutoa huduma bure

Lowassa ni zaidi ya Rais, Vivuko vyote kutoa huduma bure

TAMKO

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
1,090
Reaction score
763
LOWASSA ni zaidi ya Rais

Thinking yake nadhani ni kubwa sana. Huu ni ukweli usio pingika. Nawaza kwanini sikuwa wa kwanza kufikiria hili.

Kwanini watu wanavuka kigamboni?? Jibu lake Rahisi W anakwenda Kwenye makazi Yao. Kivuko ni kama Daraja. Serikali haina fedha kwa Sasa kuweka Daraja la zege badala yake imeweka Daraja litembealo..PANTONI.

Ni Viroja, vituko vipana sana kwamba mkawatoza watu fedha kuvuka Daraja. Ni jukumu la serikali kujenga na kuwezesha miundombinu na pitio. Kivuko ni daraja. Haiwezekani kuwatoza Nauli watumiaji wa Daraja.

LOWASSA sijui kaugunduaje ukweli Huu ambao hatukuugundua tokea awali. Serikali imawajibu wa kuwatumikia wananchi na sio kuwafanya mitaji.

Vivuko vyote nchini Lazima vitoe huduma kwa wananchi na sio mradi wa wachache.
 
Basi na ndege,treni na hospitali zitoe huduma bure kama ndo hivo.no cost sharing
 
Wengi wetu tulikuwa tunashangaa kwanini CCM wanapiga deal ambalo kimsingi ni majukumu ya Serikali ... Hao watu wanakwenda kulitumikia Taifa, wanarejea baada ya kulitumikia Taifa, kosa lao ni kupita kwenye Daraja lenye kutembea.... !!! CCM must go ..
 
Kweli kabisa Tamko. Ni ajbu sana kulipishwa kupita kwenye daraja wakati tunalipa kodi ili tuweze kujengewa hiyo miundombinu!

Ni wizi mtupu. Dara la mkapa kwa nini hatulipii wakati limecost mamilioni mengi kuliko hilo daraja? je lile daraja la nsssf tutakuwa tunalipia pia?
 
Tatizo CCM walishajimilikisha nchi na kuwafanya watanzania waone maendeleo ni kama hisani au favor toka kwao.
Serikali ina wajibu wa kuwaletea maendeleo wananchi kwasababu wao ndio walipa kodi.
 
Wakati wote akiwa Waziri Mkuu na aada ya hapo vivuko vimekuwepo. Na nchi zte duniani vivuko vinalipiwa. Ni sawa na kusema kuwa Maji ni hiaji la lazima kwa kila mtu na hivyo inapaswa yatolewe bure. Watu wanaopenda vya bur utawajua tu.
 
Mtoa mada kaongelea daraja na panton wewe unaleta mambo ya ndege wapi na wapi.
Vyote hivyo ni vitu vya maingi. Basi inabidi na zile Boti zinazoenda Zanzibar zibebe bure watu kwa vile hatuna uwezo wa kujenga daraja la kuunganisha Tanzania Bara na visiwani.
 
Kenya vivuko hawalipii...mfano pale Mombasa kuna kivuko kinafika unapanda (magari na watu) unashuka upande wa pili bure kabisa.
 
Ni kweli maana kaahidi Benki ya Boda Boda na Wizara maalum ya Dar,
 
Sasa unafikiri Lowassa ni kama yule anayeogopa hata mjadala/dialogue na wapinzani wake? Hahaha...sijui ni hajiamini au anajua kabisa alichemsha sanaa...
 
wakati wote akiwa waziri mkuu na aada ya hapo vivuko vimekuwepo. Na nchi zte duniani vivuko vinalipiwa. Ni sawa na kusema kuwa maji ni hiaji la lazima kwa kila mtu na hivyo inapaswa yatolewe bure. Watu wanaopenda vya bur utawajua tu.

magufuri alipeleka mv alina katika mkoa mmojawapo wa pwani ya kusini. Akawambia nauli ya kivuko ni 300/=. Wananchi wakamuomba apunguze kwani dar es salaam mzunguko wa pesa ni mkubwa nauli 200/= huku ni wakulima tunaomba mtupunguzie. Jibu lake " nimesema mtu mzima 300/= mwanafunzi bure, kama hauna vaa sare za shule na utavuka bure". Je anafaa huyo?
 
Vyote hivyo ni vitu vya maingi. Basi inabidi na zile Boti zinazoenda Zanzibar zibebe bure watu kwa vile hatuna uwezo wa kujenga daraja la kuunganisha Tanzania Bara na visiwani.

Ww mbulula, hujitambui!!!
 
Vyote hivyo ni vitu vya maingi. Basi inabidi na zile Boti zinazoenda Zanzibar zibebe bure watu kwa vile hatuna uwezo wa kujenga daraja la kuunganisha Tanzania Bara na visiwani.

Jaribu kufikiria kwa kutumia ubongo. Umeambiwa more than 90% ya wakazi wa Kigamboni wanatumia pantoni kwenda kazini then wanarudi makwao jioni. Nina uhakika ni asilimia ndogo mno ya watu wanaotoka Zanzibar kuja Dar kufanya kazi then jioni wanarudi ''makwao' Zenji.

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Lowassa kafikiria outside the box alipokuja na idea hii ya watu kupanda bure to/from Kigamboni.
 
Mmeshangilia tu kuvushwa bure, je mnajua pale ferry wanakusanya pesa nyingi Sana??

Lowasa anauwezo MKUBWA sana

Nadhani baada ya hapo atanyamaza kidogo. ataunda kwenye idara kampuni na taasisi taskforce mbili

moja, itaitwa backup taskforce
itachunguza na kuwa lipisha waliofuja mali ya umma kwenye vivuko watoe mapato na matumizi

Mbili, taskforce, ni Pressure group kuharakisha Maendeleo nchini. Sera moja ya viwanda itaanzisha routine as kifanyakazi usiku na mchana. hapo viwanda vitaamka
 
Back
Top Bottom