Lowassa ni zaidi ya Rais, Vivuko vyote kutoa huduma bure

Kenya vivuko hawalipii...mfano pale Mombasa kuna kivuko kinafika unapanda (magari na watu) unashuka upande wa pili bure kabisa.

Huko Kenya mnakotoa mifano kila siku utadhani maisha ni mazuri sana huko, yangekua mazuri wakenya wangekua wanakuja kutafuta kazi Tanzania? Vipi kuhusu mgomo wa walimu ambao wanagoma kila mwaka kwakutolipwa mishahara yao?
 
LOWASSA ni zaidi ya Rais

Thinking yake nadhani ni kubwa sana. Huu ni ukweli usio pingika. Nawaza kwanini sikuwa wa kwanza kufikiria hili.

Kwanini watu wanavuka kigamboni?? Jibu lake Rahisi W anakwenda Kwenye makazi Yao. Kivuko ni kama Daraja. Serikali haina fedha kwa Sasa kuweka Daraja la zege badala yake imeweka Daraja litembealo..PANTONI.

Ni Viroja, vituko vipana sana kwamba mkawatoza watu fedha kuvuka Daraja. Ni jukumu la serikali kujenga na kuwezesha miundombinu na pitio. Kivuko ni daraja. Haiwezekani kuwatoza Nauli watumiaji wa Daraja.

LOWASSA sijui kaugunduaje ukweli Huu ambao hatukuugundua tokea awali. Serikali imawajibu wa kuwatumikia wananchi na sio kuwafanya mitaji.

Vivuko vyote nchini Lazima vitoe huduma kwa wananchi na sio mradi wa wachache.

Na sisi ambao huku kwetu hakuna vivuko tunafaidika nini? Kama ukimpigia kura kwa maneno haya wewe ni "mpumbavu" wakati ule akiwa prime minista kwann hakushauri au kufanya haya yote?????
 
Mwambie Lowassa Na Daladala Tupande Bure Nazo Maana Nazo Ni Kama Daraja Kutoka Majumbani Kwetu Mpaka Ofisini......!!!
 
Ni raha tupu kwa Lowassa maana elimu bure,matibabu bure,ferry bure,machinga mwaga bidhaa hata barabarani asibugudhiwe,bodaboda bure hadi baharini watembee,wamasai kuchunga mbuzi na ng'ombe Kariakoo rukhsa na mwisho changudoa pia bure mhhh??????!!!!!!! Tuko zaidi ya 40 ml kila kitu bureeeeeeee fankuroooo
 
Huko Kenya mnakotoa mifano kila siku utadhani maisha ni mazuri sana huko, yangekua mazuri wakenya wangekua wanakuja kutafuta kazi Tanzania? Vipi kuhusu mgomo wa walimu ambao wanagoma kila mwaka kwakutolipwa mishahara yao?

mishahara serikali haina pesa. Pale Likoni gate pia la kuingia magari ya nje so there is a business kule njia ya kwenda Malindi kulikuwa na roadtall ya kulipia kila gari inayopita hadi pikipiki sijui kama ipo mpaka leo
 
Ni raha tupu kwa Lowassa maana elimu bure,matibabu bure,ferry bure,machinga mwaga bidhaa hata barabarani asibugudhiwe,bodaboda bure hadi baharini watembee,wamasai kuchunga mbuzi na ng'ombe Kariakoo rukhsa na mwisho changudoa pia bure mhhh??????!!!!!!! Tuko zaidi ya 40 ml kila kitu bureeeeeeee fankuroooo
LOWASSA ni zaidi ya Rais

Thinking yake nadhani ni kubwa sana. Huu ni ukweli usio pingika. Nawaza kwanini sikuwa wa kwanza kufikiria hili.

Kwanini watu wanavuka kigamboni?? Jibu lake Rahisi W anakwenda Kwenye makazi Yao. Kivuko ni kama Daraja. Serikali haina fedha kwa Sasa kuweka Daraja la zege badala yake imeweka Daraja litembealo..PANTONI.

Ni Viroja, vituko vipana sana kwamba mkawatoza watu fedha kuvuka Daraja. Ni jukumu la serikali kujenga na kuwezesha miundombinu na pitio. Kivuko ni daraja. Haiwezekani kuwatoza Nauli watumiaji wa Daraja.

LOWASSA sijui kaugunduaje ukweli Huu ambao hatukuugundua tokea awali. Serikali imawajibu wa kuwatumikia wananchi na sio kuwafanya mitaji.

Vivuko vyote nchini Lazima vitoe huduma kwa wananchi na sio mradi wa wachache.
 
Na umeme nao uwe bureeeee. Maji bureeee. Ospitali bureeee. Treni bureeeeee. Ndege bureeeeee. Mbolea bureeeeeeee. Kila kitu bureee. Akipita lowasa sifanyi kazi tenaaa. Si kila kitu bureeeee
 
Majungu na fitna mwisho October. ..CCM OUT
 
Wakati wote akiwa Waziri Mkuu na aada ya hapo vivuko vimekuwepo. Na nchi zte duniani vivuko vinalipiwa. Ni sawa na kusema kuwa Maji ni hiaji la lazima kwa kila mtu na hivyo inapaswa yatolewe bure. Watu wanaopenda vya bur utawajua tu.
Huyu Babu anataka urais kwa gharama yoyote hata kwa mambo ambayo hawezi kutimiza
 
LOWASSA ni zaidi ya Rais

Thinking yake nadhani ni kubwa sana. Huu ni ukweli usio pingika. Nawaza kwanini sikuwa wa kwanza kufikiria hili.

Kwanini watu wanavuka kigamboni?? Jibu lake Rahisi W anakwenda Kwenye makazi Yao. Kivuko ni kama Daraja. Serikali haina fedha kwa Sasa kuweka Daraja la zege badala yake imeweka Daraja litembealo..PANTONI.

Ni Viroja, vituko vipana sana kwamba mkawatoza watu fedha kuvuka Daraja. Ni jukumu la serikali kujenga na kuwezesha miundombinu na pitio. Kivuko ni daraja. Haiwezekani kuwatoza Nauli watumiaji wa Daraja.

LOWASSA sijui kaugunduaje ukweli Huu ambao hatukuugundua tokea awali. Serikali imawajibu wa kuwatumikia wananchi na sio kuwafanya mitaji.

Vivuko vyote nchini Lazima vitoe huduma kwa wananchi na sio mradi wa wachache.

Jambo jema kwa Lowassa kuwa Rais ili hawa wote wenye kupewa tenda kinyemela waachie ngazi.
 
Mtoa mada kaongelea daraja na panton wewe unaleta mambo ya ndege wapi na wapi.

Hakuna nchi wananchi wake ha walipi kodi. Kodi ziko za aina mbali mbali hata huko Ulaya mnakoomba misaada ina tokana na kodi za wananchi wao, kwa vile anataka kura anataka kuwa hadadaa wananchi kuwa Kila kitu bure ili wamchague. Nyerere alijaribu baada ya Uhuru lakini baadae akachemsha.
 
Basi na ndege,treni na hospitali zitoe huduma bure kama ndo hivo.no cost sharing

Kwlei ccm ni shida. Kwa hiyo kila kitu mnataka UKaWA wawafundishe? Mavuvuzela at work!.

Na kwa ufahamu wenu huu, Watanzania wasishangae Magufuli kuamka asubuhi kesha naye kutangaza vivuko bure huku akisubiri sera zingine za UKaWa apate desa!.

Poleni jamani.
 
hembu acha ujinga kwahyo haya magari yaendayo kasi ya dart kisa ya serikali nayo tupande bure?dawa hospitali tuchukue bure kisa serikali ndo inatoa?umeme nao?

Nimadaraja mangapi unapovuka hapa Tz unatozwa malipo?
 
Jambo jema kwa Lowassa kuwa Rais ili hawa wote wenye kupewa tenda kinyemela waachie ngazi.
Mnajua, ni ukosefu wa ufahamu na kujua wengine wanafanyaje na kuzidisha mapenzi kwa itikadi kusiko kuwa namsingi. Kama kuna mtu ameenda uholanzi, vivuko vya Amsterdam ni bure. Unavuka ng`ambo ya mto, unafanya shughuli zako, kisha unapanda kivuko na kurudi nyumbani kwa gharama za serikali. Na vivuko vipo katika hali nzuri ya kutoa huduma. Sasa sijui ni nini kilituroga watanzania hata tuanze kuona anayetoa wazo kama hili anaongele jambo ambalo haliwezakani. Mambo mengine lazima ufikirie nje ya box ili kulete maendeleo vinginevyo tutabaki walewale.
 
Back
Top Bottom