Lowassa ni zaidi ya Rais, Vivuko vyote kutoa huduma bure

Haya Baba Boti Sio Za Serikali,basi Treni Na Ndege Ziwe Bure!!

Serikali yako ina ndege, basi, treni za maana...??
Na hata ikiwa nazo (sina uhakika kazi zipo) suala la unafuu wa gharama kwa wananchi ni jambo muhimu sana!!
 
Lowassa, the GENIUS... the GREATEST...!!

Mungu ampe MAISHA MAREFU na AFYA TELE..!!

Bonge la KIONGOZI at our current times na miaka mingi sana ijayo Tanzania....!!

Tanzania kupata KIONGOZI aina ya Lowassa itachukua karne kadhaa ijayo...!!!

Wajukuu na vitukuu wetu watamsoma ktk VITABU vya HISTORIA ya nchi yetu...!!
 
Mkuu Nakubaliana Nawewe Time Ni Sifa Muhimu Na Ndo Maana Serikali Inajitahidi Kutoa Ushirikiano Wa Kutosha Kufanikisha Project Hiyo In Time.Mf.Juz Juzi Wafanyakazi Waligoma Kutokana Na Posho Zao Kutolipwa Na Mhandisi Lakini Viongozi Wa Serikali Walifika On Time Na Kusolve Hilo Tatizo....!!

#Gentamycine.

Naona unahangaika sana na IDs mamia huku... unapigwa tigo wewe...!!

Mara, Tony Antony, Gentamycine...etc etc...!!!

Ur IP address, location ndio hiyo hiyo...

Unahangaika saanaaa kumchafua Lowassa, UTAKUFA, utamwacha... na Lowassa ndio RAIS...tushaamua..!!

Acha ukuda...!!
 
Wewe Mimi Na Huyo Mtu Unayemtaja Ni Watu Wawili Tofauti Na Wala Hata Sijawahi Kuonana Nae,kama Huwezi Kujibu Hoja Zetu Better Utulie Sio Unarukaruka Kama Umekalia Jiko La Gesi
 
kwa hiyo hizo nazo ni vivuko?ndugu umekula nn leo?

Kwani Hivo Vyote Si Transportation Services Na Vyote Vipo Chini Ya Serikali,so Why Unajaribu Kudiscriminate Others?Tofauti Hapo Zipo Wap,au Kisa Kivuko Ni Cha Majini Na Vingine Ni Angani Na Nchi Kavu?Dont Try To Run Out Of My Point,hivi Vyote Vinaincur Cost Na Inabidi Watz Tuchangie...
 
Na sisi ambao huku kwetu hakuna vivuko tunafaidika nini? Kama ukimpigia kura kwa maneno haya wewe ni "mpumbavu" wakati ule akiwa prime minista kwann hakushauri au kufanya haya yote?????

Hiv unaelewa nini maana ya mfumo CCM?
 
Akawasaidie kwanza wana monduli hawana maji kutwa nzima wanahangaika, wakati ofisi yake ya mbunge ametumia more than 800 milions
 
Kwani Hivo Vyote Si Transportation Services Na Vyote Vipo Chini Ya Serikali,so Why Unajaribu Kudiscriminate Others?Tofauti Hapo Zipo Wap,au Kisa Kivuko Ni Cha Majini Na Vingine Ni Angani Na Nchi Kavu?Dont Try To Run Out Of My Point,hivi Vyote Vinaincur Cost Na Inabidi Watz Tuchangie...

ndo maana hata yeye akaenda kusema pale ambapo kinahitajika mkuu,mpaka umefafanuliwa kabisa kuwa kivuko ni daraja linalotembea kwann lilipishwe?wakati daraja likiwekwa watu wanapita free?sasa kwann sisi tunaongelea vivuko ww unaleta habari za meli na ndege?mbona uko out of your minds mkuu?kilichoongelewa pale kigamboni si ghalama za usagiri bali huduma ya kivuko na madhumuni yake,hata hii kitu ndogo tu huelewi?duh,shida ipo
 
Mkuu Shida Ipo Kweli....Tatizo Nyie Hamtaki Kutofautisha Daraja Ambalo Lipo Tu Limejengwa Halihitaji Service Na Daraja Linatembea Ambalo Hilo Linahitaji Service...Unahisi Nani Analipia Hizo Service Ikiwa Sisi Ndo Tunaotumia?Juzijuzi Tu Hapa Mmeponda Wanajeshi Kutolipa Nauli Kwenye Daladala Leo Hii Kutolipia Kivuko Mnashangilia,mbona Kwa Wanajeshi Mliponda?
 
Hata umeme ni huduma, maji pia, zahanati na elimu pia, hata kula chakula majumbani kwetu ni huduma, kila kitu ni huduma!Iam just expanding your thoughts, akili za bavicha hizi lazima!Mtaomba mpaka hela za kuchepukia mwaka huu

umekurupuka tu
 
Mkuu Shida Ipo Kweli....Tatizo Nyie Hamtaki Kutofautisha Daraja Ambalo Lipo Tu Limejengwa Halihitaji Service Na Daraja Linatembea Ambalo Hilo Linahitaji Service...Unahisi Nani Analipia Hizo Service Ikiwa Sisi Ndo Tunaotumia?Juzijuzi Tu Hapa Mmeponda Wanajeshi Kutolipa Nauli Kwenye Daladala Leo Hii Kutolipia Kivuko Mnashangilia,mbona Kwa Wanajeshi Mliponda?

Shikilia akili zako this time nikufahamishe. Nani alikwambia madaraja haya (still concrete bridge au truss bridge hazihitaji ukarabati?.

Unadhani wakishalijenga Daraja wanainuka zao na kuondoka forever? Madaraja yote hukaguliwa. Madaraja hufanyiwa uchinguzi kwa mionzi hada (utrasaund) kuangalia mitikisiko (vibrations)na internal flaws ambazo huzaa nyufa. Kipimo cha mionzi hada kwa bei ya kizalendo wakikodi wataalam wetu wa Ndani mfano chuo kikuu ni zaidi ya milioni 20 hadi 60 kwa pulse moja. Na Lazima ifanyike kila baada ya operation hours kadhaa.

Checkup na service hizi zina tofauti gani na kuvuko?..

Kama wakiona pantoni ni gharama kwanini wasiweke Daraja??. na kama hamwezi kuweka Daraja na mnalia gharama za pantoni kwanini mkiite kipande hicho cha ardhi Mali ya nchi. ?
 
umekurupuka tu

Nadhani Lowasa laikurupuka zaidi, akasukuma kila mpenda mabadiliko ya kweli na kujiweka yeye kuwa mabadiliko!Hongereni mmeshapata mabadiliko " Maana wenyewe mnasema Lowasa ndio mabadiliko na mabadiliko ndio Lowasa"!Sisi mabadiliko ni maendeleo baada ya kufanya kazi. Chagua Magufuli "Hapa Kazi tu"
 
Na sisi ambao huku kwetu hakuna vivuko tunafaidika nini? Kama ukimpigia kura kwa maneno haya wewe ni "mpumbavu" wakati ule akiwa prime minista kwann hakushauri au kufanya haya yote?????

Kama hauna cha kuongea kaa kimnya na wenzako wanaosubilia kipigia kura chama konachotoa ahadi kila wakati wa kampeni hakitimizi.
 
ndo maana hata yeye akaenda kusema pale ambapo kinahitajika mkuu,mpaka umefafanuliwa kabisa kuwa kivuko ni daraja linalotembea kwann lilipishwe?wakati daraja likiwekwa watu wanapita free?sasa kwann sisi tunaongelea vivuko ww unaleta habari za meli na ndege?mbona uko out of your minds mkuu?kilichoongelewa pale kigamboni si ghalama za usagiri bali huduma ya kivuko na madhumuni yake,hata hii kitu ndogo tu huelewi?duh,shida ipo

Daraja likijengwa basi ndio washamaliza sasa hicho kivuko unadhani kinajiendesha vipi?

Msichukulie mambo rahisi hivyo.
 
Kwani Hivo Vyote Si Transportation Services Na Vyote Vipo Chini Ya Serikali,so Why Unajaribu Kudiscriminate Others?Tofauti Hapo Zipo Wap,au Kisa Kivuko Ni Cha Majini Na Vingine Ni Angani Na Nchi Kavu?Dont Try To Run Out Of My Point,hivi Vyote Vinaincur Cost Na Inabidi Watz Tuchangie...

Hivi CCM mnalishwaga nini!!??? Ulishaona wapi daraja linapita angani??? Mfano mdogo ni huu hapa: pale daraja la mkapa mnalipa shilingi ngapi?? Kivuko cha Kigamboni ni mfano wa Daraja kwa sababu mtu anaweza vuka mara tano kwa siku akienda na kurudi kulingana na mahitaji yake ya mjini! LAkini pia hili daraja lililojengwa na NSSF litakuwa na tozo! Hii si sawa kabisa kwa watu wa kigamboni! Serikali lazima itoe huduma hizi za jamii bure!
 
Nadhani Lowasa laikurupuka zaidi, akasukuma kila mpenda mabadiliko ya kweli na kujiweka yeye kuwa mabadiliko!Hongereni mmeshapata mabadiliko " Maana wenyewe mnasema Lowasa ndio mabadiliko na mabadiliko ndio Lowasa"!Sisi mabadiliko ni maendeleo baada ya kufanya kazi. Chagua Magufuli "Hapa Kazi tu"

Utakuwa na pipe pale kwenye hivyo vivuko vibovu si bure!! Mwaka 2010 CDM iliposema Elimu bure na kutaka kupunguza bei ya vifaa vya ujenzi mlibeza namna hii ya kitoto! Leo unasema EL amekurupuka!! Hajakurupuka kwa sababu kivuko kile kitaendeshwa kwa gharama za tozo za vyombo vya moto!!
 
Na umeme nao uwe bureeeee. Maji bureeee. Ospitali bureeee. Treni bureeeeee. Ndege bureeeeee. Mbolea bureeeeeeee. Kila kitu bureee. Akipita lowasa sifanyi kazi tenaaa. Si kila kitu bureeeee.
Mijitu mingine bhana bothed kweli kweli
 
Back
Top Bottom