Lowassa ni zaidi ya Rais, Vivuko vyote kutoa huduma bure

Lowassa ni zaidi ya Rais, Vivuko vyote kutoa huduma bure

Vyote hivyo ni vitu vya maingi. Basi inabidi na zile Boti zinazoenda Zanzibar zibebe bure watu kwa vile hatuna uwezo wa kujenga daraja la kuunganisha Tanzania Bara na visiwani.

Wewe upimwe akili.. Boti ni mali ya serikali au mtu binafc? Kivuko ni mali ya serikali na serikali ni sisi .. Na sio ya CCM, CDM, CUF, NCCR.. NK
 
litakamalika lini mimi sio mhandisi lakini si limeanza kujengwa au halijaanza??afu kuhusu hizo process ni kawaida hata ukitaka kuoa kuna process vilevile...

1. Ukiambiwa litakamilka mwaka 2099, kwasababu wewe sio muhandisi utakubali?

2. Unazifaham sifa za project yoyote? Je muda nimoja ya vigezo kwa project yoyote? Kama ndivyo nini mtazamo wako juu ya hilo daraja?
 
[h=1]The Staten Island Ferry – A Free New York Harbor Cruise[/h] Many people take advantage of the free Staten Island Ferry during their visit to New York. The best way to admire the Manhattan skyline is from the harbor, so this is a really excellent option. Most people, however, take the ferry over and then get right back on to return to Manhattan. This is great, of course, but if you want a little more out of your excursion why not stick around for a bit and see what Staten Island has to offer?
 
1. Ukiambiwa litakamilka mwaka 2099, kwasababu wewe sio muhandisi utakubali?

2. Unazifaham sifa za project yoyote? Je muda nimoja ya vigezo kwa project yoyote? Kama ndivyo nini mtazamo wako juu ya hilo daraja?

huo mwaka uliosema hautafikia kwa sababu mradi upo wa chini ya miaka 4.pili hizo sifa za project ntajie mimi sizijui na naomba uniambie kama serikali ilifuata au hazikufata hzo sifa!
 
huo mwaka uliosema hautafikia kwa sababu mradi upo wa chini ya miaka 4.pili hizo sifa za project ntajie mimi sizijui na naomba uniambie kama serikali ilifuata au hazikufata hzo sifa!

Umeyasoma haya maswali ukayaelewa?

1. Ukiambiwa litakamilka mwaka 2099, kwasababu wewe sio muhandisi utakubali?

2. Unazifaham sifa za project yoyote? Je muda nimoja ya vigezo kwa project yoyote? Kama ndivyo nini mtazamo wako juu ya hilo daraja?
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kujua na kiamini.. Kwa tamko hilo la mheshimiwa LOWASA.. watanzania tunapaswa kujua kua lowasa atafanya makubwa baada ya tarehe25 hatupaswi kusema tuamini atafanya.. No.. Tujue.. Atawafikisha watz mbali.. Within 10yrs atakayo tawala nawaona kenya na Rwanda tukiwa overtake kama china na anavofanya kwa japani.. Naiona tanzania MPYA
 
Ccm ijenge vivuko,barabara na madaraja UKAWA kupiga porojo ndio makubwa!
 
Hata dkt.benson banna alikiri ya kwamba mh.eduward n.lowassa is the political potential in tanzania.
Huyu ndugu hakukurupuka,alijiandaa kuwa rais wa taznania kwa zaidi ya 30 years,his brain is full of leadership and not meanegement,hahitaji king'amuzi wala remote cont.
Anajitosheleza kabisa.
Kwa hili ya kivuko bure,mie naamini amejivutia kwa jana tu zaidi ya 10% ya kura zote za oktoba 20.2015,
kwa hivyo kumbakizia bwana magufuli 25% tu ya kura atakazopata hapo okt.

Mabadiliko....lowassa.....
Lowassa...mabadiliko.....
 
Na sisi ambao huku kwetu hakuna vivuko tunafaidika nini? Kama ukimpigia kura kwa maneno haya wewe ni "mpumbavu" wakati ule akiwa prime minista kwann hakushauri au kufanya haya yote?????

safi sana ila unajisahau ukimkataa lowasa na ukawa utamkubali makufuli na cmm na cjui kwamiaka miongo yote wamefanya nn?
 
Na sisi ambao huku kwetu hakuna vivuko tunafaidika nini? Kama ukimpigia kura kwa maneno haya wewe ni "mpumbavu" wakati ule akiwa prime minista kwann hakushauri au kufanya haya yote?????

Sijajua kwanini umeamua kudakia mada,hii mada inahusu eneo husika,eti hakushauri haya??yapo yaliyo makubwa kwa ubnifu wake leo hii nineema kwa watanzania wote na vizazi kwa vizazi
 
Asiyeweza kulipia kivuko apige mbizi - John Alcohol Masolex akiwaambia wakazi wa Kigamboni
 
Umeyasoma haya maswali ukayaelewa?

1. Ukiambiwa litakamilka mwaka 2099, kwasababu wewe sio muhandisi utakubali?

2. Unazifaham sifa za project yoyote? Je muda nimoja ya vigezo kwa project yoyote? Kama ndivyo nini mtazamo wako juu ya hilo daraja?

Mkuu Nakubaliana Nawewe Time Ni Sifa Muhimu Na Ndo Maana Serikali Inajitahidi Kutoa Ushirikiano Wa Kutosha Kufanikisha Project Hiyo In Time.Mf.Juz Juzi Wafanyakazi Waligoma Kutokana Na Posho Zao Kutolipwa Na Mhandisi Lakini Viongozi Wa Serikali Walifika On Time Na Kusolve Hilo Tatizo....!!
 
lowasa kama wimbo wa prof Jay, ndiyo mzeeeee

atuelelze na chanzo cha mapato basii tumwamini
 
Basi na ndege,treni na hospitali zitoe huduma bure kama ndo hivo.no cost sharing

tumia kichwa basi ndugu,sasa ndege ni kivuko?dah lowassa ingia madaraka elimu iwe maana hawa wengine mpaka wanatia kinyaa
 
Vyote hivyo ni vitu vya maingi. Basi inabidi na zile Boti zinazoenda Zanzibar zibebe bure watu kwa vile hatuna uwezo wa kujenga daraja la kuunganisha Tanzania Bara na visiwani.

hizo boti ni za serikali?acha ufala ----- wewe
 
LOWASSA ni zaidi ya Rais

Thinking yake nadhani ni kubwa sana. Huu ni ukweli usio pingika. Nawaza kwanini sikuwa wa kwanza kufikiria hili.

Kwanini watu wanavuka kigamboni?? Jibu lake Rahisi W anakwenda Kwenye makazi Yao. Kivuko ni kama Daraja. Serikali haina fedha kwa Sasa kuweka Daraja la zege badala yake imeweka Daraja litembealo..PANTONI.

Ni Viroja, vituko vipana sana kwamba mkawatoza watu fedha kuvuka Daraja. Ni jukumu la serikali kujenga na kuwezesha miundombinu na pitio. Kivuko ni daraja. Haiwezekani kuwatoza Nauli watumiaji wa Daraja.

LOWASSA sijui kaugunduaje ukweli Huu ambao hatukuugundua tokea awali. Serikali imawajibu wa kuwatumikia wananchi na sio kuwafanya mitaji.

Vivuko vyote nchini Lazima vitoe huduma kwa wananchi na sio mradi wa wachache.

Vivuko chini ya Magufuli ni miradi ya upigaji tu... Kuingia kwenye kivuko unalipia.. Ukibanwa haja unalipishwa...!!
 
Back
Top Bottom